Search results

 1. albert_speer

  Mashimo ya choo ya kisasa yasiojaa maji, njoo nikujuze

  Suala uwembamba wa shimo hii inategemea na site analysis, nina eneo kiasi gani, hapa sasa unakuta shimo jembamba, kingine septic tank kwa ajili ya nyumbani shimo la ujazo wa lita 2000 linatosha kama una system ya soakway pit
 2. albert_speer

  Mashimo ya choo ya kisasa yasiojaa maji, njoo nikujuze

  Hapana, hilo apo juu ni mita 8 urefu,upana ni mita 4 na urefu mita 2.6 tukifanya maesabu ya ujazo tunapata lita elfu themanini na kitu hiv. Kingine cha kuongezea kumbuka hayo maji kwenye hilo shimo tunaya drain huko kwenye soakway pit
 3. albert_speer

  INAUZWA Mfumo wa makaro ya kisasa yasiyojaa (BIODIGESTER SEPTIC TANKS)

  Na kuna dawa maalum zinauzwa, septic enzyme hii unamimina ktk septic tank yako hii dawa ina speed rate ya hiko kinyesi kuliwa
 4. albert_speer

  INAUZWA Mfumo wa makaro ya kisasa yasiyojaa (BIODIGESTER SEPTIC TANKS)

  Mkuu kinachofanya haya mashimo yajae ni maji kwa kuwa tumeshapata sehemu ya kuyatolea ambayo ni hiyo soakway pit, ishu ya kinyesi , inakuwa hiv, kinyesi hiko kinapo changanyika na maji baada ya masaa kumi naa hiv kinatengeneza sludge ambayo hujitenga chini kabisa, hiyo sludge huliwa na bacteria,
 5. albert_speer

  Mashimo ya choo ya kisasa yasiojaa maji, njoo nikujuze

  Hii ni moja ya design ya septic tank niliyoifanya kwa ajili ya hoteli , septic tank hiyo apo juu ina uwezo wa kuhifadhi takribani lita 80,000 , Nimeweka chemba tatu ili maji yatakoyekwenda kwenye soakway pit yawe clean, kinachofanyika kwenye soakway pit, ni kwamba hii soakway pit hufyonza au...
 6. albert_speer

  Mashimo ya choo ya kisasa yasiojaa maji, njoo nikujuze

  Kwa lugha ya kitaalam tuayaita septic tank,. Huu mfumo hujumuisha septic tank na soakaway pit, hii septic tank ina sehemu ya kutolea maji ambapo yanakwenda moja kwa moja hadi kwenye soakway pit, kazi ya soakway pit ni kuyafyonza,kuyanyonya ua kuyanywa haya maji.. kinachofanyika kweye soakway pit...
 7. albert_speer

 8. albert_speer

  INAUZWA Mfumo wa makaro ya kisasa yasiyojaa (BIODIGESTER SEPTIC TANKS)

  Hii ni moja ya design ya septic tank niliyoifanya kwa ajili ya hoteli , septic tank hiyo apo juu ina uwezo wa kuhifadhi takribani lita 80,000 , Nimeweka chemba tatu ili maji yatakoyekwenda kwenye soakway pit yawe clean, kinachofanyika kwenye soakway pit, ni kwamba hii soakway pit hufyonza au...
 9. albert_speer

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Karibuni tubashiri mechi za leo!

  Wazee wezangu naona Leicester leo anaweza sepa na mali ya bwana!
 10. albert_speer

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Karibuni tubashiri mechi za leo!

  Wee kurlzawa njoo uchukue odds hiz, uache kuomba omba humu, usisumbue raia humu kutaka buku buku zao, maana unatangaza unauza fixed kwa buku tu.. 😆😆😆
 11. albert_speer

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Karibuni tubashiri mechi za leo!

  unauza fixed wapi ww, wakati ulikuwa unaomba sgr kwa Sultan S. Abdallah.. hahahhah
 12. albert_speer

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Karibuni tubashiri mechi za leo!

  Naona hii ni maalum kwa wapenda vitonga, hasa hasa akina kurlzawa . haya chukua odds hizo
 13. albert_speer

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Karibuni tubashiri mechi za leo!

  Haya wazee muda wa ku download pesa huuu
 14. albert_speer

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Karibuni tubashiri mechi za leo!

  Haya odds 5 hizoo za moto 🔥🔥🔥🔥
Top Bottom