Search results

 1. mkubhi

  Huyu mchungaji n noma!!

  Huyu mchungaji aliyekuwa anaombea huyu mheshimiwa ni noma yaani natamani nimfaham kwakweli ili siku moja nikiwa na tatizo nimuone na mimi anifanyie huduma! Mwenye kumfaham huyu mchungaji naomba anijuze Sent using Jamii Forums mobile app
 2. mkubhi

  WHY YOU SHOULD HAVE SEX EVERY DAY!

  REASONS WHY YOU SHOULD HAVE SEX EVERY DAY (OR WHENEVER YOU CAN) Sharing is caring! Besides being something fun, the reasons for having sex every day go beyond pleasure. During sexual activity many muscles of the body work, calories burned, the skin is oxygenated, the mind clears and...
 3. mkubhi

  MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

  Waku habari ya kutwa? Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya majirani haohao! mke wa hivi anapaswa adhabu gani kwa hali kama hizi?
 4. mkubhi

  MSAADA WA KUPATA FLAT SCREEN NZURI

  Ndugu wanajamii wenzangu habari ya siku nzima? Naombeni ushauri wa flat screen ipi nzuri naweza chukua kwa gharama nafuu ambayo haisumbuwi, ninabajeti ya laki tano(500,000) tu. Natanguliza shukurani na Mungu akubariki! Sent using Jamii Forums mobile app
 5. mkubhi

  Kugeuzwa mwendawazimu maana yake ndo hii

  KUGEUZWA MWENDAWAZIMU. Askari wa serikali, wanawasumbua wachuuzi wadogo wadogo wa nyanya, mchicha, mama ntilie nk Raisi anakuja anakwambia, "Mimi natambua jinsi mnavyosumbuliwa na askari katika biashara zenu na nawaonea huruma sana. Kutokana na upendo wangu kwenu, nimeleta vitambulisho...
 6. mkubhi

  Hivi watumishi watafanya nini siku Serikali ikisema mwezi huu hakuna mshahara?

  Najaribu kufikilia hivi sasa wapinzani , makanisa na misikiti na vyombo vya habari vipo kimya kama vile havipo Tanzania, siku serikali ikisema mwezi huu mushahara hautakuwepo mpaka mwezi ujao watumishi watalibeba vipi hili? Wakuu naleta kwenu ! Sent using Jamii Forums mobile app
 7. mkubhi

  Wadau msaada wa gari nzuri ya kusafaria kutoka Tukuyu kwenda Sumbawanga

  Wadau husika na kichwa tajwa..... Naomba kusaidiwa ili niweze kupata wepesi wa safari hiyo! Natanguliza shikrani!
 8. mkubhi

  Wadau msaada wa gali nzuri ya kusafaria tukuyu kwenda sumbawanga

  Wadau husika na kichwa tajwa..... Naomba kusaidiwa ili niweze kupata wepesi wa safari hiyo! Natanguliza shikrani!
 9. mkubhi

  Anaandika Semeni Nyerere mwaka 2016

  (Hii nimeikuta sehemu) Anaandika Semeni Nyerere mwaka 2016 Kwamba;- [emoji117]Ukisikia Rais Nyerere yuko sehemu kuongea na wananchi, wananchi walikuwa wanajawa na shauku,walikaa kando na redio zao, Hapo sasa inamwaga shule kuhusu historia ya taifa litokako, lilipo na dira linakoelekea...
 10. mkubhi

  Kwanini wanaume wanawapiga wake zao?

  Wakuu poleni na majukumu ya siku! Wakuu ni kwanini wanaume wengi hawawezi kuishi na wake zao bila kuwapiga hata mara moja!?
 11. mkubhi

  Nachelewa sana kukojoa na kumkera mpenzi wangu. Nifanye nini twende sawa?

  Za asubuhi washilika wa jukwaa hili? Wadau naombeni msaada wenu , wadau nimekuwa natabia yakufanya mgegedo mda mrefu sana bila kufunga goli inayopelekea mwenzangu kulaumu sana kuwa amechoka ilihali mwenzake bado natamani kuendelea na hii inaweza kuwa tumefanya sichini ya dakika 45 hapo unakuta...
 12. mkubhi

  Je, hii picha imebeba ujumbe gani?

  Habari zenu wana jukwaa? Hivi hii picha inaa maana gani? kwa asili huwa najitahidi kufikiri ila kwa hii picha nmeshindwa kuilewa!! Msaada wenu unahusika zaidi hapa kufumbua!
 13. mkubhi

  Msaada wa kimawazo, nataka kuacha kazi

  Wakuu habari ya jumapili? Mimi kikazi ni mwalimu wa somo moja la hesabu secondary.... Nimekuwa na mawazo mgongano kila kukicha na sijaweza kupata uelekeo halisi wa nini nifanye kwa kuacha kazi yangu ya ualimu... Kipindi cha nyuma nikiwa nimehitimu form four 2009 niliweza kupanda msitu wa ekari...
 14. mkubhi

  Proximity sensor kwenye simu ina kazi gani!?

  "Proximity sensor" kwenye simu inakazi gani!? Na nikwajinsi gani unaweza kuitumia!? Naomba kujuzwa kwa upande huo naona technology mpya kwangu!!
 15. mkubhi

  Msaada wa ufahamu wa simu ya Nokia 6 au 7 mliopata kuitumia

  Wadau poleni na majukumu ya siku, Naombeni maarifa juu ya simu ya Nokia 6 kama ni nzuri na upungufu wake , nimepata kufikilia kuinunua ila naombsni msaada wenu kwanza hela yangu nisije nikaizika bule kwa usawa huu wa vyuma mkazo!!
 16. mkubhi

  Msaada wa kupata simu nzuri toka dukani

  Wadau habari ya muda!? Mwenzenu nimeweka bajeti ya laki NNE(400,000) kwa ajili ya simu ya aina ya android!! Naombeni ushauri simu gani nzuri naweza ipata kwa hela hiyo!
 17. mkubhi

  Tupeane uzoefu wa kuweza kuchukua hela ya madai NSSF

  Habari ndugu washiliki wa jamvi hili!? Ndugu naomba tufahamishane ambao mmemeweza kuchukua hela ya kuchangia kupitia mfuko wa kijamii wa NSSF baada ya kujitoa uanachama yaani kuacha au kuachishwa kazi kwa taasisi binafisi. Kwa upande wangu nimefungua madai mwaka huu kuanzia tarehe 2/3/2017...
 18. mkubhi

  Msaada: Upatikanaji wa tume ya uchaguzi Kenya

  Ndugu wanajamvi habari zenu!? Naombeni kujua jinsi tume ya uchaguzi kenya inapatikanaje! Pia napenda kujua kwa jinsi gani iko huru au kwa jinsi gani haiko huru!!
 19. mkubhi

  CCM waanza kuweweseka kwa kamatakamata inayoendelea

  Hii imetokea mkoa wa geita baada ya mbunge msukuma kukamatwa na kuwekwa ndani.... Hii ni hoja ya mtu wa ndani ya ccm yaani mwana uvccm jina limehefadhiwa.... Twende wote "Nimepata taarifa hizi za Msukuma kuwekwa ndani Leo SAA 1,30usiku,nikajiuliza in kwanini ?sikupata jibu? kama ni ile ya...
 20. mkubhi

  Ndoto inayonisumbua

  Wakuu habari zenu, Mimi naitwa Elias. Nikiwa chuoni mwaka wa kwanza mwaka 2012 nilipoteza kaka yangu niliyekuwa namfatia kuzaliwa, ifikapo tena mwaka 2014 nikiwa bado chuoni nikafiwa tena na baba mzazi kabisa. Ila kinachoniumiza zaidi nikuendelea kumuota kaka yangu nikiwa nae tangia kwa...
Top Bottom