Search results

 1. ceicey

  Naitaji mshauri wa mambo ya kimahusiano na ndoa tatizo limenifika shingoni

  Habari wana MMU kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naitaji mshauri wa mambo ya kimahusiano na ndoa nipo na tatizo limenifika shingoni mwenye kujua wanapopatikana na mawasiliano yao.
 2. ceicey

  Jinsi ya kuangalia shule walizopangiwa darasa la saba 2017

  Habari wana JF, Kama kichwa kinavojieleza, naomba msaada jinsi ya kuangalia shule walizopangiwa, darasa la saba 2017. Ahsante!
 3. ceicey

  Dawa za kuweka ukeni

  Habari za sa hizi wana jf.nilkuwa nauliza kunamadahara yoyote ukitumia dawaa ya kuweka ukeni pindi unapokuwa mjamzito....kwa ajili ya tiba ya miwasho??
 4. ceicey

  Nini shida kwa mwenye dalili hizi?

  Habari zenu, Mimi ni msichana wa miaka 24, juzi kati baada ya kukutana kimwili na mume wangu nimeanza kusikia kichwa kuuma asubuhi, tumbo kuwa kama lina gesi na kuuma, mgongo kuuma, na kiuno. Nina wiki sasa tangu nianze kusikia hizi dalili.... Naomba ushauri!
 5. ceicey

  Hodi

  Habarini wapendwaaa mimi ni mgeni humu
Top Bottom