Search results

 1. Chujio

  Hili jambo la wazazi kukataa wapenzi wa mabinti zao!

  hii ilinitokea miaka kadhaa nyuma.. moyo ulivunjika, nilisikitika sana kipindi hicho. Ila sasa nimekua, nadhani nawaelea zaidi wazazi sasa kuliko kipindi kile nimezibwa macho na mapenzi. Nakumbuka zaidi baba alikuwa hataki kumsikia kabisa, na mama pia lakini mama alijitahidi kuonesha kuwa upande...
 2. Chujio

  Bebe Anatakiwa kuwa.....

  hahahahaa! kila la heri
 3. Chujio

  Ungepewa nafasi uchague

  Anayenipenda.. alinipenda nikajifunza kumpenda mbele ya safari na sasa tupo tunapendana
 4. Chujio

  Leo yamenikuta, sirudii tena

  Amedai evolution ilimpita pembeni ikabidi niulize:confused:
 5. Chujio

  Leo yamenikuta, sirudii tena

  Alikuwa na kwato?!
 6. Chujio

  Mwanamke Umejitunza Sanaa, Sawa but Where Is Your Happy Ending? Part 3. Yamkuta Mazito.

  Katika mazingira na hali nyingine tunazokutana nazo, all we say is "fix it Lord" maana there's nothing more that can be done to make it better, unajikusanya maisha yaendelee
 7. Chujio

  Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

  Christina Shusho
 8. Chujio

  Natafuta mchumba

  ..Anayejua kuxoma? Usichekeshe taifa, Mbona wewe hujui kuandika?
 9. Chujio

  Huu ni unafiki katika mapenzi, kwanini uliamua kuwa nae?

  We make alot of excuses in the name of love.. tunasahau unachokiona ndicho unachopata
 10. Chujio

  Wanawake wa sikuhizi hawajishughulishi kitandani

  Hahahaaa..mbona umekuja kumsemea kwetu, si umwambie?!
 11. Chujio

  Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

  Pole sana kwa kufiwa, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu
 12. Chujio

  Ushauri: Mtoto wangu wa nje ya ndoa kapewa baba mwingine

  Unataka kipi kati ya haya: -mtoto? -utambulike kama baba wa mtoto? -uharibu mahusiano aliyonayo sasa?
 13. Chujio

  Ukweli mchungu: Ndoa bila watoto sio ndoa

  Mmmmmh.. wapo wenye vizazi vyao, kila kitu kipo sawa na mtoto bado asipatikane. Hawakukosea kusema mtoto/watoto ni majaaliwa. Kitu kingine, pamoja na mtoto/watoto, mwisho wa siku wanakuwa na kuondoka nyumbani, mnabaki wawili mnatazamana. Kinachotakiwa upendo bwana katka ndoa hiyo, watoto wawepo...
 14. Chujio

  Holiday Greetings, Tuma salaam

  Heheheee.... najuta kuuliza kwa sauti kubwa! Nipo salama kabisa, wasiwasi wangu kwako
 15. Chujio

  Holiday Greetings, Tuma salaam

  Baba paroko Eiyer nachukua nafasi hii kujikaribisha parokiani kwa misa ya sikukuu. Khantwe jina lako huwa linafanya nicheke maana kikwetu linamaanisha mtu mwenye kichwa kidogo hahaa! Nawatakieni sikukuu yenye heri za kutosha na kupitiliza
 16. Chujio

  Holiday Greetings, Tuma salaam

  Koh kooh! Nilitoka mara moja ila nimerudi best.. nimepitwa na nini?
 17. Chujio

  Holiday Greetings, Tuma salaam

  Hahahahaaa... itakuwa umeona kivuli kinakatiza. Btw, hali yako naona ni njema sana mkuu
 18. Chujio

  Holiday Greetings, Tuma salaam

  Shukrani sana sana kunikumbuka Himidini , amani na furaha viwe na wewe! Hahahaa.. Mashaxizo na wewe kila jema ktk kipindi hiki cha x-mas na mwaka mpya
Top Bottom