Search results

 1. sinza pazuri

  Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

  Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending. Jabali la muziki wa Africa almaaluf Diamond Platnumz amempa elimu ya bure Majizo umuhimu wa views na...
 2. sinza pazuri

  P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

  Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo. Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili. Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika. Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
 3. sinza pazuri

  Fahima wa Rayvanny ateswa na wivu wa mapenzi

  Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula. Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂 Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali...
 4. sinza pazuri

  Wakati watu wanamkejeli Baba Levo, yeye aendelea kulamba madili ya ubalozi

  Wakati watu wanaendelea kumpiga vijembe Baba Levo na kumuita majina ya ovyo. Yeye anageuza kejeli na matusi kuwa pesa. Amesaini dili mpya tena leo, wale wajuzi wa kila kitu mnaojua kufanya uchambuzi mje mtuambie kwa nini kelele za Baba Levo zinaleta pesa, ila wale waliotulia na kufanya muziki...
 5. sinza pazuri

  Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

  Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni. Nitawapa updates soon Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
 6. sinza pazuri

  Rayvanny afunguka kuhusu Harmonize, Paula, lebo ya NextLevel na mengine kuhusu muziki wake

  Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo " Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
 7. sinza pazuri

  Zuchu vs Kondegang wote

  Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah. Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla. REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG: VIEWERS WA IBRAAH 1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12 2...
 8. sinza pazuri

  Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

  Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda. Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
 9. sinza pazuri

  Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

  Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. ---
 10. sinza pazuri

  Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

  Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
 11. sinza pazuri

  Utapenda namna Babutale, Fella na Sallam walivyo professional kwenye kazi yao

  Lazima tukubali huu utatu wa mameneja wa WCB wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa. Ni ukweli usiopingika hata wewe unaesoma hapa, mtoto wako akiwa na kipaji kikubwa cha kuimba. Ukiambiwa umtafutie management serious ya kumpa mafanikio huu utatu ndio utakuwa wa kwanza kuja kichwani mwako...
 12. sinza pazuri

  Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

  Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni. Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya...
 13. sinza pazuri

  Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

  Nataka tumzungumzie kidogo huyu fundi muziki kutoka WCB yaani Rayvanny aka Chui. Rayvanny ni msanii anaeujua muziki haswa na anaweza kuufanya muziki vile anavyotaka. Kipaji chake sio cha nchi hii naweza kusema yupo mbele ya wakati. Anaweza kufanya aina mbali mbali za muziki na akaua. Anaweza...
 14. sinza pazuri

  Nandy anazidi kupotea

  Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku. Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge. Nandy amefikia kufanya wimbo na...
 15. sinza pazuri

  Ali Kiba apagawishwa na nyimbo za Wasafi

  Leo kupitia insta story msanii mkongwe wa bongofleva Ali Kiba aka King Kiba ameonyesha uwezo wake mkubwa wa kuujua mziki mzuri. Ametumia siku yake ya leo kupitia insta story kuonyesha mahaba yake kwa nyimbo za wasanii wanaoongoza nchi hii wa WCB. Amecheza nyimbo zifuatazo 1. Sukari - Zuchu 2...
 16. sinza pazuri

  Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

  Zuchu ndani ya Yeezy. Amevaa boda boda mbili mguuni.
 17. sinza pazuri

  Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

  Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi. Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo. Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto...
 18. sinza pazuri

  Wafahamu watu wanaoingiza pesa nyingi kwenye media industry

  1. Millard Ayo - Clouds FM 2. Jamal April - Wasafi TV 3. Nelson Kisanga - Wasafi FM 4. Tido Mhando - Azam TV 5. Reuben Ndege - Clouds Media 6. Maulid Kitenge - Wasafi FM Utafiti huu umeangalia mishahara, bonus na deals zao.
 19. sinza pazuri

  Tusherekee views million 100 za Zuchu

  Zuchu amefikisha views million 100 kwenye mtandao wa YouTube ikiwa ni miezi 9 tu tangu aingie rasmi kwenye muziki. Mpaka sasa hakuna msanii wa kike Africa Mashariki na Kati aliyeweza kufikia hizi number. Hii ni hatua kubwa kwenye muziki wetu kwa ujumla kuona msanii mpya kabisa tena wa kike...
 20. sinza pazuri

  Zuchu aweka rekodi mpya Afrika kwa wasanii wa kike wa muziki

  Leo record mpya imeandikwa na Zuchu katika bara la Africa. Amekuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha views million 1 kwenye YouTube ndani ya masaa 22. Hongera queen wa bongofleva.
Top Bottom