Search results

 1. mnyikungu

  TFF Muionee huruma Lipuli FC

  Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) mnapaswa kuionea huruma Lipuli Fc, timu hii inashiriki mashindano mawili yaani Ligi kuu na shirikisho lakini mara nyingi ratiba inazokutana nazo ni kama vile haya mashindano yanasimamiwa na vitu viwili tofauti na si TFF. Mara ya kwanza makosa haya...
 2. mnyikungu

  Kipindi cha viwanjani cha AZAM 2 leo kilikuwa ni zaidi ya kipindi cha michezo

  Leo nimebahatika kusikiliza kipindi cha AZAM cha viwanjani, katika siliza yangu nimegundua walichokuwa wakikiongelea ni zaidi ya michezo, lakini wametumia michezo kufikisha ujumbe. Walipokuwa wanaongelea juu ya mchezo wa simba na ile timu ya misri wamesema kuwa watanzania hatujui kudai haki...
 3. mnyikungu

  Waajiri wa Technolojia ya kompyuta hawajui wanahitaji watu wa aina gani..

  Habari wadau, Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia namna ajira hizi za IT na computer science, katika kufuatilia kwangu nimegundua waajiri wengi ama wanakosa MTU mwenye sifa stahili kwa kazi yao au mtu ana sifa kwa vigezi vyao ila hana uwezo.. Kwanini nasema hivi...technolojia ya komputer ni...
 4. mnyikungu

  shafii dauda na clouds jana mmetuzalilisha wanaIringa na wanaLIPULI

  jana tarehe 7/8/2017 kwenye kipindi cha michezo habari cha sports extra cha clods fm habari iliyotawala ilikuwa ni ya mashabiki wa iringa kuwapiga wachezaji wa mshikamano. zogo lilianza baada ya ripota wa mchezo kuripoti, alipomaliza shafii dauda na wenzake(namtaja shafii dauda kwasababu ndo...
 5. mnyikungu

  Habari ya magari 600 ya Dangote kuwasili mmezitoa wapi?

  habari wadau! hakuna mwaka ambao unaongoza kwa uzushi kwenye mitandao na vyombo vya habari kama huu mwaka wa 2016, baada ya dangote na Raisi Magufuli kukutana, Dangote alisema anampango wa kuleta magari 600 na mengine baadhi ya hayo yameshafika,aliongea kwa uwazi kabisa lakini ghafla kwenye...
 6. mnyikungu

  Wizi wa pesa mtandaoni (M-Pesa, Tigopesa), nani wa kuchukuliwa hatua?

  Habari wadau! Nikiwa ofisini kwangu amekuja mteja lakini alikuwa anamajonzi sana, ikabidi nimuulize kulikoni? Akasema mnamo siku ya ijumaa alikuwa na milioni moja na laki tatu kwenye simu majira ya asubuhi, hakumpa mtu yoyote simu, ilipofika jioni wakati ananunua salio ndipo akagundua hamna...
 7. mnyikungu

  kutana na mwende window snyder wao wanamuita " online security rock star"

  “To raise new questions, new possibilities, to regard old problems from a new angle, requires creative imagination and marks real advance in science." ~ Albert Einstein The daughter of an American father and a Kenyan-born mother, Mwende Window Snyder has worked at some of the largest...
 8. mnyikungu

  Vladimir Putin's annual state of the nation address

  anasema utegemezi wa kiuchumi ni hatari kwa russia anasema lazima russia wawe huru vinginevyo watapotea duniani anaendelea kusema kama siyo mgogoro wa ukraine nchi za magharibi wangetumia kitu kingine kuizoofisha russia anazidi kusema kuwa watu wamejaribu kuiangusha russia toka zamani lakini...
 9. mnyikungu

  Tuanzisha rasmi harakati za kimtandao juu ya escrow

  wakuu habari, nina wazo moja tu siku ya leo... najua wengi wanaaccount zaidi ya social media moja... sasa katika kila account kila mtu aandike "RUDISHENI PESA ZA ESCROW ILI TUNUNUE MADAWA" au ujumbe wowote ambao tunaweza kuupata na kuupendekeza kwa pamoja... tuwashawishi marafiki na majirani...
 10. mnyikungu

  Vikwazo vya Urusi dhidi ya EU ni dhahiri vimeanza kuwaumiza EU

  Hii silaha mpya inayoitwa vikwazo ambayo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiitumia kwa muda mrefu dhidi ya wale wanaopingana na maslahi yao sasa ni dhahiri kuwa safari hii na wao inawaumiza. Ni zaidi ya miezi kadhaa sasa toka Marekani na washirika wake waiwekee vikwazo Urusi. Urusi mara...
 11. mnyikungu

  Kama laptop yako ina haitoi sauti mpaka uweke external speaker fanya hivi...

  Habari wakuu... kama kuna mtu ana tatizo la laptop yake kutokutoa sauti mpaka aweke external speaker...basi ufunguzi wa tatizo lako ni huu....tatizo la hiyo kitu inakuwa zile audio port yaani yale matundu lock za ndani zimelegea....hivyo hazina uwezo wa kuumana tena pale pini itapokuwa...
 12. mnyikungu

  Mwanamke aliyekeketwa ni kama wanawake wengine kutokufika kwa kilele ni kosa la mwanaume

  habari zenu wana MMU Kwa miaka mingi nilikuwa nikisikia story juu ya wanawake ambao hawajakeketwa,kiukweli nilikuwa najisikia uchungu mpaka ikafikia kipindi nikaanza kusoma na kujua sababu za wao kutokufurahia mapenzi na kujua kwa nini walikuwa wanakeketwa Kukeketwa ni mila siyo ya kiafrika tu...
 13. mnyikungu

  mwenye maujanja ya kuactivate iphone msaada tafadhali

  wakuu nimepata iphone4 second hand sasa kuactivate inataka niwe na email na password za mmiliki wa mwanzo sababu alijiunga icloud na ile security system yao, mi mmiliki simjui wala sijawahi kumsikia...mwenye maujanja kama naweza bypass hiyo process wakuu
 14. mnyikungu

  Kila siku humshukuru Mungu kwa kusema "asante kwa kubakwa"

  habari zenu wana MMU, katika dunia hii kuna mambo mengi sana, katika mambo hayo moja linaweza kukufurahisha wewe na likamkera mwingine, we kwako baya kwa mwingine huwa zuri na kinyume chake. sasa katika utofauti huo ndipo nilipouona na kuushudia kwa mama mmoja ambaye ni mtu wangu wa karibu...
 15. mnyikungu

  Habari ndo hiyo.........

  HATA SIKULAZIMISHI USOME, IKIBIDI HATA USISOME BE..... eti mmeachana unalalamika ohoo kanipotezea muda wangu, kupotezewa muda unalalamika? -------- kweli wewe, kuna watu wamepotezewa mpaka roho zao wako makaburini kimyaaa hawalalamiki, kwanza kwani huo muda aliUtumia peke yake? si mlikuwa...
 16. mnyikungu

  mkuki kwa nguruwe..., wanawake mnavyotusemaga mnaonaga raha, mnasemwa mmefura lo!

  uajua hili jukwaa zamani pale zamani lilikuwa la kuelimishana kuhusu mambo yetu yaleeee, wanawake ndo mliligeuza hili jukwaa na kuanza kuwaponda wanaume. kwa muda mrefu mmetuponda sana sisi tukawa kimya au tunajibu kidogo na saa nyingine tunashabikia kupondwa kwetu..... kuna kinadada humu ni...
 17. mnyikungu

  bado miaka minne kuufikia mwaka wa mavuno.........mwaka wa kuwa baba mie

  kila binadamu ana malengo yake katika maisha, tumetofautiana sana katika malengo yetu, kuna wengine wanapendaga malengo ya muda mfupi mda mrefu hawataki, wengine wanapenda ya mda mfupi wanachanganya na ya mda mrefu, lakini lengo ili litimie mtu anahitaji kuwa na mbinu na mikakati... sasa basi...
 18. mnyikungu

  kwa nini yule dada alitoa chozi?

  Wana MMU jana nilikuwa kwenye harusi ya ndugu yangu, kwa kweli kuna jambo lilitokea sasa nikiwa kama mtu mwenye akili timamu nimejiuliza maswali mengi sana. Kuna mshiriki mmoja wa hii harusi alikuwa wakike, huyu dada wakati wa kwenda kutoa zawadi alipomfikia bwana harusi alipompa tu mkono...
 19. mnyikungu

  Msimamo wangu: Unataka nikusomeshe nizalie kwanza mtoto ndo nikupeleke shule full stop

  raha ya binadamu ni moja tu, huwa tunajifunza kutokana na makosa, yawe yako mwenyewe au ya wenzako. sasa kwa muda mrefu nimegundua asilimia kubwa wanawake wanakadalili kautapeli flani hivi, wakiwa na shida hujifanya wanakupenda sanaaaa, watakupakulia mpaka vya wageni, unyenyekevu juu, wakipata...
 20. mnyikungu

  msaada:, natafuta sevice provider wa internet

  Wadau mimi nafanya kazi kwa shirika moja la microfinance, shirika hili sever zake ziko uholanzi, kutokana na sababu hiyo tunahitaji internet ya kasi zaidi itayowezesha zoezi la uingizaji data liwe la haraka zaidi, kwa sasa tunatumia TTCL, kwa kweli tumekuwa tukikwama sana na huyu ISP, naombeni...
Top Bottom