Search results

 1. funzadume

  Tujadili tamko hili la Waziri wa Mifugo kuhusu usajili wa wafuga kuku

  Je, utaratibu ukoje? Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi? Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna mifugo mingi nchini
 2. funzadume

  Natafuta ubao wa mchezo wa Darts

  Natafuta ile board ya kuchezea darts pamoja na ile mishale yake yaani full set. Nataka nitumie kama pambo ukutani na pia kuwafundisha watoto michezo tofauti na waliyozoea. Sehemu gani wanayouza hapa jijini Dar es Salaam.
 3. funzadume

  Umewahi kukuta watu wanakula tunda live?

  Wakati nasoma kulikuwa na dada mmoja class (chuo) aliniazima calculator yake akaenda nayo chumbani kwake kwa minajili ya kwamba ataniletea usiku saa tatu kwenye discussion (tulikuwa na test ya QMS kesho yake). Ilipofika usiku tumepiga discussion demu hajatokea mpk saa tano usiku na mie...
 4. funzadume

  Nataka nimnunulie wife Nissan Dualis

  Wataalam wa hizi kazi nataka nimchukulie wife Nissan Dualis baada ya kukaa sana kwenye Toyota. Je, wajuvi mnasemaje kuhusu uimara na ubora au udhaifu wa hizo gari?
 5. funzadume

  Leo naomba tutubu kwa wapenzi tuliowakosea zamani

  Katika pilika pilika za mapenzi kuna makossa ambayo tunayafanya na kujuta sana baadae na kutamani hata wakati urudi nyuma ili uweze kurekebisha makosa. Mie nilikuwa na demu mmoja alinipenda sana na mimi pia nilimpenda mnoo na nilitegemea ndio atakuja kuwa mke wangu baadaye. Yule demu alikuwa...
 6. funzadume

  Kuna dada kaniambia "I love you"

  Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice. Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much...
 7. funzadume

  Chata kali ya jezi au viatu vya michezo

  Wadau wapenzi wa mazoezi je ni chata gani kali ya jezi unaipenda Zaidi na kwa sababu gani? Mie napenda Under Armour au Nike yaani nikivaa wakati nafanya jogging najihisi kupendeza na kwenda na wakati. Wewe unapebnda sport brand gani?
 8. funzadume

  Mirathi katika ndoa ya wawili

  Wajuzi wa sheri.a naomba mnisaidie kuhusu yafuatayo yanayohusu mirathi haswa kwa ndoa za kikristo za mme mmoja mke mmoja: 1) Je mali mlizochuma ndani ya ndoa umiliki wake ukoje? mfano tuna nyumba tatu na zote zimeandikwa jina la baba je mama hana umiliki katika mali hizo na je kama baadhi ya...
 9. funzadume

  TUMEPIGIWA BONGE YA PROMO

  Jamaa katupaisha sana maana hata matangazo yetu hayaonyeshi uzuri aliouonyesha mshikaji
 10. funzadume

  Kilimo cha bustani mjini (video)

  Ndugu wakulima na wananchi kwa ujumla, kama una eneo dogo katika nyumba yako usiridharau linaweza kukusaidia ukaweka mimea michache ambayo itasaidia kukupatia chakula kama nyanya, vitunguu, pilipili, spinachi, mchicha, nyanya chungu, bamia n.k. Sio kazi ngumu maana hata mtu anayefanya kazi...
 11. funzadume

  Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

  Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi na pia ningependa niweke wazi kuwa sitataja jina langu wala sehemu ninayofanyia kazi
 12. funzadume

  Je, inawezekana Mwanaume kuwa na urafiki wa kawaida na binti aliyezoeana naye sana?

  Nimekua na urafiki wa karibu na binti ambaye nimempita miaka zaidi ya 15 yeye ni mwanachuo mimi ni mfanyakazi. Amenizoea mpk imefikia anaomba tutoke lunch na sometimes dinner Mimi nimeoa ila yeye pia ana bf wake but she is so close to me. Nimemuomba unyumba anakataa ila anasema tubaki kuwa...
 13. funzadume

  Tuliowahi kudundwa siku ya kufunga shule primary tukutane hapa

  Kama kichwa cha habari kinavyosema. Enzi zile tunasoma kulikuwa na list ya wakali wa masomo darasani (kumi bora)ambayo ilikuwa official na pia kulikuwa na list ya wababe katika kupigana kuanzia wa kwanza mpk wa mwisho. Sasa mie nilikuwa mkali sana darasani ila kwenye kupigana nilikuwa kama wa...
 14. funzadume

  Tuliotoka tangu Darhotwire tukutane hapa

  Habari wanajamvi. Kabla ya kuanza kwa mtandao wa JF kulikuwa na mtandao wa DHW ambao member wengi tulihama tukahamia huku Kama ulikuwepo Enzi zile naomba nyoosha mkono juu
 15. funzadume

  Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

  Wadau najua teknolojia inakuwa kwa kasi sana na kuna vingi vipya vya kujifunza kila uchao. Mie ni muhenga ila napenda sana mziki mkubwa. Kuna hii teknolojia ya Bluetooth speaker je nzuri ni zipi na zinafanyaje kazi kama unataka kutumia nyumba nzima mpk jikoni vyumbani nk. Na je speaker zipi ni...
 16. funzadume

  Hotel nzuri na nafuu za kwenda mapumziko sikukuu

  Wadau habari za leo Ningependa tujadiliane kuhusu hoteli nzuri za kwenda mapumzikoni zenye gharama ya kawaida haswa zilizoko ufukweni kuanzia Dar, Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga na kama kuna sehemu nyingine mikoani yenye hoteli nzuri ambazo unaweza kwenda kuburudisha nafsi baada ya kufanya kazi...
 17. funzadume

  Nimemzimia huyu dada kwenye wimbo wa Somo

  Wadau nimemzimia sana huyu dada (video vixen) katika wimbo wa Somo wa Kassim Mganga na Nyota wa Njenje kama kuna mtu anaweza kueleza lolote juu yake kama jina anapoishi kabila gani n.k roho yangu itasuuzika sana sijui hata nielezeje.
 18. funzadume

  Ex- mchepuko siuelewi

  Habarini wadau Nina mchepuko wangu mmoja kama mwezi sasa ulikuja kwangu na hoja kuwa tuachane kwani unahisi hautendi haki kuwa na mimi kwa mke wangu na familia yangu. Huu mchepuko una jamaa yake. Sasa cha ajabu ni kwamba kila mara unapiga simu na pia unakuja sehemu yangu ya kazi kupiga story na...
 19. funzadume

  Mke wa Barnaba akiwa na mume mwingine

  Picha iliyozua maneno kuhusu mke wa Barnaba Boy ambayo yeye anasema ni ya kawaida tuichambue kidogo
 20. funzadume

  Naomba ushauri juu ya huyu trafiki

  Jana nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Moro njiani maeneo ya karibia na Moro kwenye ofisi za TAFORI nilikamatwa na trafiki akaniambia nilizidisha speed maeneo ya Kingulwira na kuna askari alinipiga tochi. Tulikamatwa kama magari 10 hivi ingawa mimi nilikuwa makini sana na spidi na nina...
Top Bottom