Search results

 1. V

  Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

  Uzi umepoteza mvuto baada ya kuingiliwa na vijana wa udsm ambao wanaamini chuo ni udsm tu, vingine vyote ni takataka.
 2. V

  Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

  Kwa swala la kusomea MD kupitia advance ni kimbembe sana..kati ya wanafunzi 60 wa PCB katika shule niliyotoka mwaka jana ni mmoja tu ndo alifanikiwa kuchaguliwa kusomea MD muhimbili maana inatakiwa biology uperfom vizur(B au A) ushindan ni mkubwa. Kama una uhakika utaweza kufaulu vizur unaweza...
 3. V

  Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

  Hivi yule kiongozi wa Iran aliyesema kuwa atajiuzuru kama vifo kutokana na Corona vitafika 25(sijui nipo sahihi).Je,amejiuzuru?
 4. V

  Vyuo vimejaaa awamu ya kwanza ya udahili kinachofanyika second round ni siasa tu

  Kwani waliokua multiple selected si wanatumiwa code maalum ya kuconfirm chuo kimojawapo? Tatizo liko wap?
 5. V

  MSAADA KATIKA MAOMBI VYUO VIKUU

  Vyuo vingine ni email...na vingine namba ya mtiani wa form four Sxxxx/xxxx/year to complete o level studies
 6. V

  MSAADA JINSI YA KU UNCOMFIRM

  Mi najua hicho..au ikishindikana piga simu tcu au chuo husika uwapange
 7. V

  MSAADA JINSI YA KU UNCOMFIRM

  ile code uliotumia kuConfirm..itumie katika kuUnconfirm kwenye chuo husika
 8. V

  TCU Kuna tatizo gani jamani mbona ninaimani kubwa nanyi

  Tumbo joto kiVp..Umerequest code katika chuo husika?
 9. V

  TCU Kuna tatizo gani jamani mbona ninaimani kubwa nanyi

  Ingia ktk website ya mzumbe..kisha Log In..kuna kipengele cha kurequest code..kisha Request
 10. V

  TCU Kuna tatizo gani jamani mbona ninaimani kubwa nanyi

  Nenda chuo unachokipenda..kisha Request code..utatimiwa..kisha utaConfirm
 11. V

  Kipi ni chuo bora kwa kozi za Engineering kati ya UDSM,DIT na MUST ?

  Hilo swali limetoka kwa dogo aliechaguliwa katika hivyo vyuo kwa kozi ya electrical.Waliosoma kwenye hivyo vyuo
 12. V

  Kipi ni chuo bora kwa kozi za Engineering kati ya UDSM,DIT na MUST ?

  Hivi kati ya vyuo tajwa hapo juu kipi kinanoa vizuri wanafunzi kinadharia na vitendo katika kozi za engineering?,hasa Electrical engineering.
 13. V

  Msaada wa haraka;naaply chuo nashindwa kuverify malipo

  Kaka unaapply chuo siku ya deadline,ulikua wap siku zote hizo..Ukilipia wanatambua muda huo huo,then unarefresh tu
Top Bottom