Search results

 1. Lupamba's grandson

  Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

  Nimejaribu kuwaza hapa vitu, vituko nilivyokutana navyo nyumba ya kupanga nikajikuta nacheka mwenyewe. Sasa basi naamini kila mtu ana vitu na changamoto na vituko anakutana navyo ,so tunaanza kushuka coment na kujibizana kama watu tuishio nyumba za kupanga tufanye wapangaji tuko wengi. Kwahyo...
 2. Lupamba's grandson

  Vituko vya mama kijacho: Nimepikiwa chakula nisichokielewa

  Habarini wadau wa humu ,naamini nyote ni wazima hasa. Twende moja kwa moja. Kwa muda sasa bibi ana ujauzito wa kama mwezi hvi ,ila sasa kiukweli kama mwanaume una roho ndogo unaweza acha nyumba ukakimbia au wakati mmwingine ukatamani ubaki uko kazini. Nimeona mada nyingi umu wanaume...
 3. Lupamba's grandson

  MSAADA WA USHAURI KWA NDUGU YANGU HUYU.

  Habarini tena waungwana. Poleni na majukumu ya siku nzima, ok niende moja kwa moja. Samahanini kwakuwa ni ndefu kidogo kama ntawachosha.. Nina ndugu yangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo, tunalingana kiumri, ana jambo ambalo liko mbele yake ,nimeona nililete hapa maana najua wako watu...
 4. Lupamba's grandson

  Wakwere au wagogo

  Habarini za week end, samahanini kidogo naomba wale wa juvi wa mambo amabo wametutangulia kwenye maswala haya au wamezunguka sana kujua tabia na mila na desturi za makabila haya. Hapa nazungumzia kuoa mgogo je ni tabia gani hasa wanawake wakigogo ambao wanazo zitaniletea shida mbeleni, au...
 5. Lupamba's grandson

  Naomba kutoa ufafanuzi

  Kuna picha imeleta shida sana kwa kusambazwa mtandaoni .na mtu anakutumia alafu anakwambia zoom. Ukiangalia unaweza kusema kuna kitu kilikuwa kinaendelea. Picha namba Moja ukiangalia uwezi jua nini kilikuwa kinaendelea kulee upande wa pili Picha namba mbili ,huo ndio ufafanuzi wa picha namba...
 6. Lupamba's grandson

  Kwanini single mothers wanatetewa sana bila kuangalia upande wa pili nao?

  Habarini wapendwa. Kama kichwa cha habari hapo Juu kimekuwa kinyume na mwandishi mmoja humu JF ambaye amejaribu kuwatetea hawa single mothers na wachangiaji wengine wameenda mbali zaidi nakuona na kuwatupia lawama wababa. Nimejaribu kukaa nakutafakari kuwa kwann single mothers wanatetewa sana...
 7. Lupamba's grandson

  Kila kitu wanaume ,wadada mbona wao hamuwasemi?

  Habarini wana Jei Efu ,naamini ni wazima. Salam za kwanza zimfikie @Faizafox akiwa ughaibuni . Niende kwa mada Moja kwa moja, kjna ili swala la mahusiano mnakaa labda let say miaka 3 kwenye mahusiano au mpka 6 ,mwanaume akimuacha mwanamke ,watu watakulalamikia sana " ooohh Wewe...
 8. Lupamba's grandson

  Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

  Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana . Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada. Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko. ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa...
 9. Lupamba's grandson

  Kijana Usiache kupita hapa

  Vijana wenzangu Maisha ni Kupambana, pambana kijana Mpaka Siku Moja Ex wako aje akwambie: "hebu waambie Kama ulishawahi kudate na mimi Maana nawaambia Wala hawaniamini" Sasa wewe kaa unakula kulala utajua nn maana ya maisha ukisha zeeka.
 10. Lupamba's grandson

  JE ? Hii ni salama kwa watumiaji??

  Nimepita maeneo kimara terminal ,kwa bahati pembeni nilivutiwa na macheza ambayo yamepangwa vizuri ,ila baada ya kusogea kwa nyuma kidogo nikakuta ,shughuli hyo hapo kwenye picha inaendelea, dada ameweka sabuni ya unga kwenye beseni yupo na brush anasugua machenza hayo na machungwa. Swali kwa...
 11. Lupamba's grandson

  Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyifupishwa

  Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi huu ili kusaidia watu kujua virefu vya maneno mafupi tunayokutana nayo. Hii ni baada ya kusoma uzi mmoja na mtu kuuliza nini maana ya LED! LED - Light Emitting Diode LOL - Laugh Out Loudly TTYL - Talk To You Later ASAP - As Soon As Possible SD- standard...
 12. Lupamba's grandson

  Ni busara tu ndio itaamua jambo hili

  *HAPA BUSARA INAHITAJIKA* Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa.Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau nguo yake ya ndani kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile...
 13. Lupamba's grandson

  Jicheki na ujitathini sana

  Ukiona umeajiriwa, ukachukua likizo ya mwezi, mwezi mzima ukiwa home hujapigiwa simu hata moja na mwajiri au mfanyakazi mwenzio kutaka msaada wako, mwezi mzima umekaa nje ya ofisi afu umerudi kila kitu kipo poa kabisa, mambo fresh kama ulivyoyaacha, afu hamna hata mfanyakazi mmoja anayesema...
 14. Lupamba's grandson

  MOROGORO: Ajali yatokea, mabasi mawili na lori la mafuta yagongana

  Ajali ya magari iliyotokea asubuhi ya leo sa 06:46 asubuhi hii maeneo ya Maseyi Morogoro iliyosababisha mabasi mawili na lori la mafuta, Mabasi yote yakielekea upande wa mashariki kama sitakosea Dar es salam. Na lory likiwa linaelekea upande wa Morogoro. MABASI yaliyopata ajali hiyo ni basi la...
 15. Lupamba's grandson

  Hii sio kauli nzuri hata kidogo kutoka kwa RC Mrisho Gambo

  Sidhani kama kauli yakusema upanga haujaribiwi shingoni ni kauli nzuri kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, nadhani ni vyema ungekataza kwa namna nyingine ila sio kwa kutumia maneno ya design hii, msipo angalia yatawarudia. Kauli nzuri ni sehemu moja wapo wa kuwapoza watu na kuwaleta karibu badala ya...
 16. Lupamba's grandson

  Uzi maalum: Uliza chochote kuhusu Drone

  Habarini wana jamvi, Najua wote tuna kila sababu yavkumshukuru Mungu kwakutupa uhai na afya njema japo kuna wenzetu ambao wako na taabu na shida mbali mbali Mungu wetu muaminifua atawaponya. Ok let me start, mimi ni mmoja wa watu wanaotumia drone karibu kila siku kwa sehemu ya kazi zangu na...
 17. Lupamba's grandson

  Nimeumia kwa kauli hii

  Nikiwa ni mmoja wawatu walio bomolewa nyumba zao maeneo ya kimara ,pamoja na biashara kuharibika, jana nilipoona Muheshimiwa Mtukufu Raisi wangu kutamka maneno haya nimesikia moyo umekufa ganzi nikawaza kwanini sisi Na kwanini wao?? Of coz Nimeumia nikiwaza nilivyo vuja jasho kubeba zege...
 18. Lupamba's grandson

  Kuna Ukweli wowote Juu ya hili

  Habari za Juma mosi wandugu na ndugu zangu wa humu JF, Moja kwa moja nianze na jambo hili, Nimekuwa nikizunguka mikoa mingi sana hapa Tz na nimekuwa nikiona jambo hili hasa kipindi cha mvua kama hivi sasa, kunapotokea kitu kina itwa radi ,ikianza mwanga nabaadae muungurumo. Namaanisha...
 19. Lupamba's grandson

  Sijaelewa utaratibu wa kukaguliwa vitambulisho Uvinza

  Habarini wapendwa, Niko njiani kuelekea Kigoma kwa kina Brother K ila huu utaratibu wa kugagua vitambulisho hapa Uvinza naona kama hawa jamaa hawako serious. Wamekuja jamaa wawili wakaomba vitambulisho wenzangu wakatoa, wengine wakasema sijui wamesahau, wengine sijui nini, kila mtu na sababu...
 20. Lupamba's grandson

  Kwanini Huwa wanaume tunapenda kuongea kuliko vitendo?

  Habarini wana Jf kitengo hiki cha MMU. Nisiwachoshe sana niseme tu moja kwa moja ,Hakuna tabia inanikera kama mtu kujisifia sana badala yakuonyesha mfano, any way najua hakuna mwanaume anayependa kuonekana awezi, ila kitu nakiona humu na sehemu nyingi tu ,hakuna mahali mwanaume anapost habari...
Top Bottom