Search results

 1. impongo

  Ndugu zetu wa Mara mnakwama wapi

  Mara
 2. impongo

  Andrew Felix Kaweesi (AIGP) nyota ya wananchi wa Uganda iliyofifishwa na wanasiasa

  Kaweesi alizaliwa katika Kyazanga, wilaya ya Lwengo. Wazazi wake (Esther na Alfonse Mutabazi) waliendelea wakati wa utoto wake na hii ilimuacha yeye na nduguze mikononi mwa jamaa zake. Wazazi wa Kaweesi waliwaachia ardhi ya ekari 640 katika kijiji cha Kitwekyagonja wilayani Lwengo. .baadaye...
 3. impongo

  Kauli mbiu 2020 Mtanzania Pambana usikate Tamaa (ugumu wa maisha iwe changamoto ya mafanikio)

  Heri ya Mwaka Mpya. Unakata tamaa unamkatia nani? Pambana Pambana Pambana Usikate tamaa Ugumu wa maisha iwe changamoto ya mapambano kutafuta mafanikio. Hakuna mafanikio pasipo mapitio magumu Sent using Jamii Forums mobile app
 4. impongo

  Kada wa CCM atimuliwa nyumbani kwao anaomba msaada wa hifadhi

  https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/33498286
 5. impongo

  Hai Kilimanjaro: Video ya kutekana nini kifanyike kukomeshwa huu upuuzi?

  Katibu mwenezi CHADEMA jimbo la Hai, Humphrey anasema "alitekwa na kulazimishwa kufanya mahojiano na @ayotv_ kupinga maamuzi ya kujitoa uchaguzi serikali za Mitaa". 'syndicate' ya watekaji ni kubwa lakini inafanywa kiboya sana. Inawaacha uchi watekaji
 6. impongo

  Sheria ya kushitaki makampuni ya mitandao na simu kwa usumbufu na hasara

  Leo nimejiunga kifurushi cha Tzs. 5,000 kupitia Tigo Pesa nimekatwa pesa na sikupata kifurushi nimepiga simu huduma kwa wateja nikaambiwa nisubiri masaa 72 nitarejeshewa pesa yangu iliyokatwa kuna tatizo la mtandao. Je kwa huu usumbufu hatuna sheria ya kuwashitaki mitandao ya simu? Mwaka huu...
 7. impongo

  Birthday ya Mbwa (hili stokuja kusahau)

  Tulipewa dili la kazi ya kubadilisha mazulia katika nyumba ya tajiri mzee mmoja wa KIHAYA Masaki na siku hiyo ilikuwa siku kuzaliwa ya mbwa wake aina ya (Germany shepherd) ilikuwa 2007 siku kama ya leo. KEKI KUBWA ILIKATWA NA TUKAFURAHIA Ilifanyika tafrija kabambe tulikunywa na kula kusaza...
 8. impongo

  Chama Cha Kijamii (CCK) chajiondoa kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa

  Ndugu viongozi na wanachama wa Chama Cha Kijamii - (CCK) pamoja na watanzania wote kwa ujumla, naomba kuchukua fursa hii kuwataarifu kwamba Chama chetu kimejitoa rasmi katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mtaa kutokana na ukandamizwaji wa haki za kisiasa
 9. impongo

  Chama cha CHAUMMA chajitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019

  Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake kimatangaza hivyo leo Novemba 09, 2019 ili ni takribani siku 15 kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini kote
 10. impongo

  Uchaguzi S/Mitaa Hat Trick Hongera CCM, Hongera Serikali ya CCM

  Hongereni kwa ushindi wa kishindo. Sioni haja ya kutupangisha foleni tena wakati tayari Watendaji wamekipa chama na Serikali ushindi wa 99%. NASEMA HONGERENI SANA CCM HOYEE KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 11. impongo

  Bila CHADEMA huenda mpaka leo tusingefahamu ufisadi na Madudu ya watawala wetu.

  Upinzani umesaidia leo hii hata mlala hoi wa kule kwetu sigimbi anafahamu maana ya ufisadi upinzani si uadui bali ni wenye mrengo wa kusaidia pale ambapo serikali imejisahau kukumbusha. Leo hii bila upinzani tujiulize tungekuwa wapi? Upinzani ni ukombozi wetu kifikra leo tunatembea kifua mbele...
 12. impongo

  Kuchapwa viboko wanafunzi wakuchoma mabweni wa mali za shule hakutoshi tuwe na sheria ya KUNYONGA watakaobainika.

  Nimpe pongezi kidogo Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Adhabu ile haitoshi (angechapa viboko 100) uharibifu ni mkubwa, mno kuchoma mabweni na uharibifu mkubwa wa mali wa namna ile haivumiliki. Hizi ni kodi za walalahoi Zinazojenga na kuweka Samani Mashuleni. Ikitokea wapuuzi 2 wavutaji bangi wahamasishe...
 13. impongo

  Nini tatizo Mabaharia kuomba omba msamaha?

  Humu jamvini na ktk taasisi mbalimbali kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuomba huruma na msamaha je hizi ndio sifa za mabaharia? Mabaharia ni watu dhaifu kiasi hiki?
 14. impongo

  Hii imenishangaza

  https://l.likee.video/s/80lklXcn5tx_1673696024_1113012373?c=cp&b=279789858&l=en&af_sub1=st_t3&af_sub2=1_1844&e=detail
 15. impongo

  CCM Mkoa wa Kigoma wanatumia gari za Jeshi la Polisi kubeba makada kwenda katika mapokezi ya Waziri Mkuu (Kassim Majaliwa)

  Jana nimeshuhudia Polisi wakitumia magari maarufu kama karandinga kubeba makada wa chama cha mapinduzi kwenda katika mkutano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Jeshi la Polisi limejiingiza katika siasa ni fedheha kubwa hakuna wa kuliamini tena maana hapa limekuwa Jeshi la CCM sio la wa Tanzania...
 16. impongo

  Samaki wa ajabu

  Tttt
 17. impongo

  Wanaoweka matangazo ya Biashara JF wawe na vitambulisho vya wajasiliamali

  Uanzishwe utaratibu wote wanaoweka matangazo jf wawe na vitambulisho vya ujasiliamali
 18. impongo

  Nahitaji kununua Container la futi 20

  Nahitaji container la 20ft mwenye nalo ani pm Karibu
 19. impongo

  Hongera Kishimba, Bila kufanya haya Elimu yetu itaendelea kuwa mzigo kwa Taifa.

  Elimu ya kumkomboa masikini ni Serikali kuwekeza kwenye elimu ya ufundi kuanzia Msingi hii itafanyaTanzania yenye Nguvu ki Uchumi katika Elimu inayogusa jamii ya watu wenye kipato cha chini ambao ni wengi. >Elimu ya msingi imebeba kundi kubwa la vijana wadogo ambao wengi wao huishia darasa la...
Top Bottom