Search results

 1. cjilo

  AJALI: Mabasi ya Mwendo Kasi yagongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa Morogoro road

  Wanajamvi nipo hapa Korogwe kwa zaidi ya nusu saa hakuna gari inayoenda wala kutoka Kimara, watu ni wengi kiasi hata kusogeza mguu huwezi. ------Updates----- tramadol said, Kuna ajali mbaya ya mabasi ya mwendo kasi maeneo ya Shekilango baada ya basi moja kuligonga basi lingine kwa nyuma...
 2. cjilo

  Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

  Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu Tumaini. Baba Askofu akitoa salamu za Xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika. Kukazia hilo akasema...
 3. cjilo

  Bei ya vifaa vya kushuka ni ndoto?

  MICHUZI BLOG: MAGUFULI AFUNGA KAZI MKOANI MTWARA, AAHIDI KUSHUSHA BEI YA VIFAA VYA UJENZI Kama alivyoahidi mheshimiwa katika kampeni, Napenda tujadili hili.jf ni mtandao mkubwa hata ccm na serikali yao huwa wanapita hapa ni nn kinashindikana mpaka bei ya hivi vifaa haishuki? Tumebomolewa...
 4. cjilo

  CHADEMA mmezubaa, hamjajiandaa kushinda

  Inanisikitisha sana kwa CHADEMA kutojipanga, ni kwamba haitoi taarifa zake kwa wakati. Makamba amewazidi sana. Kumruhusu mgombea kuongea na waandishi wa habari hakuna tija. Mmekuwa mkiwaachia maswali wanachama wenu mpaka majibu wayapate basi inakuwa too late. Mbadilike nafasi bado mnayo ya...
 5. cjilo

  Nauza kuku wa kienyeji 13000

  Nipo maeneo ya dar es salaam ubungo, Nauza kuku wa kienyeji mtetea 13000, jogoo ni wakubwa tu kwa 15000. Karibuni. Wamebaki wachache tu kama 40 hivi 0713419730
 6. cjilo

  Nauza kuku wa kienyeji 13000 tu

  Nauza kuku wa kienyeji, tembe 13,000 na jogoo ni 15,000 wamebaki wachache. Kwa mawasiliano 0713419730
 7. cjilo

  Ushauri: ndugu alikimbia shule hivi sasa anajuta na anatakakuendelea na shule

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna mpwa wangu aliishia darasa la tatu na hivi sasa anaumri wa miaka 25, baba yake alifariki muda mrefu akawa anaishi na ***** ambaye pia alikuwa mlevi sana hakujali kabisa hatma ya mwanae. Mazingira na shida za kijijini zikamfanya aache shule. Juzi...
 8. cjilo

  Tukumbushane matukio ya ujambazi/wizi/ugaidi na utata wa jitihada za wanausalama wetu

  WanaJF naomba tutumie uzi huu kukumbushana matukio yote ya uhalifu yaliyokuwa na majibu tata/korofi toka kwa wanausalama wetu.
 9. cjilo

  Serikali itutake radhi kuhusu Katiba mpya

  Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa, serikali ya CCM imetufikisha pabaya sana kiuchumi. Pamoja na ushauri uliokuwa ukitolewa na viongozi wa dini, asasi za kiraia na wapinzani kuwa mchakato wa katiba mpya uvunjwe na bunge lisiendelee na vikao vya kuijadili serikali ikiongozwa na Sita...
 10. cjilo

  New song; Professor Jay ft Diamond -Kipi sijasikia

  katika pitapita nimekutana na song jipya la professor Jay, naliona limetulia mashairi yana ujumbe tosha, beat kasimama mtu mzima Kinywele, chorus safi kabisa kasimama Diamond, mtu mzima J kachana kwa style ya kipekee kama enzi zile za majoshi jasho na damu. Bado najiuliza track hii itampaisha J...
 11. cjilo

  Msaada; HP inahitaji ku-restart kila baada ya muda mfupi

  Nnatumia laptop aina ya hp windows 8 toka niinunue haijawahi kuwa na shida yoyote ile. N i hivi juzi imeanza tatizo la kuhitaji ku-restart kila baada ya muda mfupi ili ikamilishe updates, na nikishafanya hivyo ikiwaka baada ya sekunde chache tu inanipa tena options za kufanya hivyo, nimekuwa...
 12. cjilo

  Msaada: Matatizo ya internet katika NOKIA 310

  NImenunua kacm kangu kama week imepita, nika-instal pia whatsapp maana ndo ilinifanya niipende hii cm mwanzoni ilikuwa nikihitaji kuingia internet inaniuliza kama nataka kutumia sim 1 au 2 mara nyingi huwa natumia sim 2, tatizo limeanza siku ya xmas, ghafla nikaona whatsapp ina-load tu kwa mda...
 13. cjilo

  Polisi wapiga mabomu ya machozi kabla ya mkutano wa Chadema kufanyika

  taharuki ni kubwa, ntawajuza, ni bomu la machozi ni mbunge alienda kuwasalimia polisi kwenye gari lao, mara tukasikia kishindo cha bomu mtu mmoja amejuruhiwa updates; bomu la machozi limejeruhi mtu mmoja na amekimbizwa hospital updates, mkutano huu wapigwa marufuku na polisi leo mchana kwa...
 14. cjilo

  Breaking news: Watu 6 wahofiwa kufa mkoani Lindi baada ya kufunikwa na kifusi mgodini

  watu wapatao sita wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa chimbila (mnacho) wilayani ruangwa –mkoani lindi. Jitihada za kuwaokoa watu hao zimekuwa zikiendelea japo zinaendelea kufanywa katika hali ya ugumu kutokana na ukosefu wa zana/vifaa vya kuokolea. Hadi muda huu kufuatia...
 15. cjilo

  Mwenyekiti wa CCM kata ya Msagati ahamia CHADEMA huko Ifakara katika operesheni ya m4c

  M4C huko Morogoro wilaya ya kilombero kata ya masagati imeanza tena kuiaibisha CCM, Mwenyekiti huyo pamoja na waliokuwa wana ccm zaidi ya 170 nao wamfuata,wahamia CHADEMA. Mytake: CCM Pamoja na single yao ya CHADEMA ipo Arusha tu kutouza wakawa wanailazimisha isikilizwe tu, Walisema chama cha...
 16. cjilo

  Ni ipi kauli ya Mh. JK Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kuhusu MwanaHalisi?

  Maana nae lilimsema vibaya sana yeye pamoja na chama chake katika matoleo yake, nataka kauli yake, walau aonyeshe furaha yake adharani, kwani Mh. Na CCM yake alishawahi kukubali pia kuwa gazeti hili lilichangia kupungua kwa kura za chama chake kwenye uchaguzi wa 2010 Pole, Mama Salma Kikwete...
 17. cjilo

  Katiba mpya na Muungano kipi kianze?

  Nmekuwa nasikitika sana jinsi serikali inavyotaka kufanya kiini macho cha muungano katika katiba mpya. Serikali imeruhusu watu kujadili swala la muungano katika katiba mpya, je katiba mpya ikiwa tayari na wananchi wakaukataa muungano, je serikali itakubali hilo kama ndio je itakuwa tayari...
 18. cjilo

  Natafuta ajira, electrical engineer

  Nimemaliza Bacholor of Science in Electrical engineering chuo kikuu cha Daar es Salaam hapo jana tar 22/06/2012
 19. cjilo

  Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

  Ndiyo wakuu ! Dr Slaa ndo anaelekea saut malimbe kwa ajili ya kongamano katika viwanja vya Nyamalango. Naomba kuwasilisha. picha hizi nmezikuta kwenye ukurusa wa fb la cdm mwanza update wakuu Asante PRISCUS navojua huku ni bondeni kabisa ziwani ambako hata gari hazifiki zinaishia njiani.
 20. cjilo

  Polisi waendeleza mauaji

  hivi karibuni nilikuwa katika wilaya ya urambo mkoani tabora ambapo kijana mmoja aitwae hassan mgalu akiwa katika soko la wilaya hiyo aligongwa na baiskeli na aliye mgonga alikuwa askari aliyevaa nguo zakiraia baada ya hassani kugongwa na askari huyo hali ilikuwa hivi hassani; kwanini...
Top Bottom