Nillikuta Leo kipindi cha JE TUTAFIKA cha chanel 10 kikiendelea na wageni walikuwa ni Mh Ole Sendeka na Makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba. Inaelekea wageni waalikwa walikuwa hawajui kama wanarekodiwa hivyo wao na mwandaaji wa kipindi walikuwa wanabwabwaja tu kumbe kipindi kilikuwa...
Ninafuatilia Kipindi cha Bunge cha maswali na majibu asubuhi hii hapo TBC 1 na nimemsikia WAZIRI Chiza wa Kilimo, Chakula na Ushirika akisema ule mswada mpya ya Ushirika uliopitishwa na Bunge miezi miwili iliyopita Rais ameshautia saini na kuwa Sheria.
Sheria hii pamoja na mambo mengine...
Nimefarijika leo kwa kuona Channel Ten inaonekana kwenye DSTV (CHANNEL 292). Ingawa haijawa clear sana ninaamini itaboreshwa na kuonekana vizuri. Tunafarijika tunavyoona local channels zinajiunga kwenye visambuzi kama hivi na vinginevyo. Amen
Nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayohusu afya zetu lakini mojawapo ya jambo linalonitia hofu ni kuibuka kwa watu wengi wanaodai wao ni mabingwa wa kutibu magonjwa mbalimbali na ambao wanajitangaza bila kuogopa. Vilevile hata huduma katika hospitali zetu na wataalamu wa afya katika vitua...
Habari, nina shida imenitokea siku ya tatu sasa, kila niki 'log in' email yangu (yahoo)inaniambia 'wrong password' ingawa 'password' yenyewe ndio nimekuwa nikiitumia wakati wote. Ilianza tatizo kama wiki mbili zilizopita ninapokuwa niki 'log in' inaniambia wrong password ingawa baada ya sekunde...