Search results

 1. Saguda47

  Ole wetu sisi! Hata sisi saa zetu zaja

  Taifa limepata msiba mkubwa Sana, limepoteza mkuu wa nchi, amirijeshi mkuu, mkuu wa serikali na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi! Kama ilivyo kawaida wa wanadamu, tupo tunaohuzunishwa na ukomo wa maisha yake hapa duniani, wapo pia waliongojea kifo chake Kama siku ya furaha, wengine...
 2. Saguda47

  Je, syllabus mpya kwa darasa la Saba 2021(for English Medium schools) zimeshatoka?

  Wakuu naomba kuuliza Kama syllabus mpya kwa ajili ya wanafunzi watakaoingia darasa la 7 mwakani waliopo darasa la 6 mwaka huu ambao ilitakiwa wamalize shule mwaka huu, kwa maana kulikuwa na mpango wa kupunguza madarasa kwa kuondoa darasa la 7 lakini ikaahirishwa. Naomba kujuzwa wakuu.
 3. Saguda47

  Pongezi sana kwa Mohamed Dewji ( Mo)

  Wakuu habarini? Nachukua nafasi hii nikiwa mpenda soka na shabiki kindakindaki wa Simba Sports Club kutoa pongezi kwa mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji "Mo" kwa kuiwezesha Simba kuwa club yenye mafanikio nchini na ukanda wa Afrika Mashariki. Tangu Simba iingie katika mfumo wa hisa (51%...
 4. Saguda47

  Umuhimu wa kuwa na utulivu kipindi hiki

  Wana JamiiForums habari? Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake mwingi sana. Wanabodi napenda tushirikishane kupitia andiko hili, wakati huu tupo katika kigumu Sana ambacho dunia na mataifa zake yapo kwenye "mfarakano mkuu" kwa sababu ya huu ugonjwa wa Covid-19. Watu...
 5. Saguda47

  Huu ni mwamba wa aina gani?

  Wakuu hamjambo, nmepita maeneo fulani hivi katika matembezi, nimeona mwamba huu wa rangi kama nyeusi hivi; ikabidi nilichukue kwa uchunguzi zaidi, test ya kwanza nimefanya kwenye sumaku na unavutwa na sumaku ninafikiri una Iron content. Pia nimelipima uzito wake una robo kilo (1/4 kg) Yaani una...
 6. Saguda47

  WanaJF tungekuwa wakweli

  Habari wapendwa! Nimekaa nikatafakari kwa kutumia akili ya kawaida tu ( common sense), nikafikiri ambavyo ingekuwa vyema kama tungeishi maisha halisi humu, Tungekuwa na uwezo wa kusaidiana kwa kupeana fursa na mipango mizuri ya kutuwezesha sisi kufanikisha mambo yetu kupitia network ambayo...
 7. Saguda47

  Neno la faraja

  Najua sote tuna mategemeo ya kuishi maisha bora, tunajituma ama kujitoa kwa kila namna, kwa nafasi zetu na viwango vyetu vya elimu na mafunzo ya aina mbali mbali. Furaha yetu imezidi kutukimbia na kutuacha wapweke na waliokata tamaa, tumefika mahali tukajikuta yote tuliyoyawaza kuwa tukiyapata...
 8. Saguda47

  Uhalifu na Dhana ya "Wasiojulikana"

  Wapendwa hamjambo? Naomba tuangalie hii "jamii" ijulikanayo kama "WASIOJULIKANA" Kabla ya kwenda mbali tujiulize maswali yafuatayo:- 1. Wasiojulikana ni akina nani? 2.Wanafanya hayo wayafanyayo kwa masilahi ya nani? 3. Nani kiongozi wa wasiojulikana? 4.Je, ni kweli hawajulikani? Maswali hapo...
 9. Saguda47

  Msaada kuhusu simu Nokia c6.

  Kama ilivyo hapo juu, kuna simu yangu aina ya Nokia c6 ina tatizo la mkanda unaounganisha processor na kiio/ display screen. Mwenye kujua au mwenye kuniwezesha nipate huo "mkanda" tafadhali naomba msaada tuwasiliane pm.
 10. Saguda47

  CHADEMA jitafakarini

  Kiufupi ni kwamba mimi binafsi nilikuwa mfuasi mkubwa wa chadema Enzi hizo ikiwa CHADEMA halisi, kilikuwa chama chenye mikakati, mbadala na maono makubwa sana, hiyo ilikuwa miaka ya 2014 kurudi miaka ya nyuma kidogo. Mnapoona mmeshindwa msipende kutoa sababu za kujihami ( defence mechanism)...
 11. Saguda47

  Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

  Wakuu hamjambo! Kama kichwa cha Uzi huu kinavyouliza, Mimi nikiri kuwa naamini uwepo wa Mungu mmoja aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana pia. Katika vitabu mbali mbali vya dini, tunaelezwa kuwa dhambi ilitokana na uasi alioufanya shetani dhidi ya Mungu, biblia inaenda mbali kwa...
 12. Saguda47

  Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

  Assalam wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Napenda kuwaongelea vijana/wanaume wanaoishi kwa wazazi, walezi, au ndugu yeyote. Katika maisha Mara nyingi sisi wanadamu huwa ni watu wa kutotosheka ama kudhani kuna ofa fulani tunazostahili lakini hatupewi na wazazi, walezi...
 13. Saguda47

  Mwisho wa ndoa umefika

  Ndugu zanguni, nimejitahidi sana kujishusha na kumpenda mke wangu ambaye ni mjaluo, kosa eti nimerudi SAA mbili usiku nimekunywa pombe kidogo imekuwa taabu, Ndoa zipo hivyo? Nimeshatoa kibali aende, mi ni mwanaume niliye rijali sitaki kuumia nafsi yangu, aendee, --------------------- Account...
 14. Saguda47

  Najuta Kumkwaza mke wangu

  Ndugu zanguni Assalam! Natumai mu-wazima wapendwa wengi wetu mkisherehekea pasaka. Iko hivi, imetokea tatizo kati yangu na mke wangu. Kiukweli nikiri kuwa mimi ndio chanzo cha tatizo. Jana tulipishana kidogo kauli nikatoa matamshi yasiyofaa dhidi yake!! Kiukweli nilipomwambia hizo kauli...
 15. Saguda47

  Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

  Asalaam wanajukwaa!! Katika kutumia mtandao huu ( jamiiforums) mzuri na ninaoupa kipaumbele sana nimepata uzoefu na maswali mengi yakinizunguka akilini mwangu kuhusu members wa hii familia ya jamiiforum. Kutokana na maswali hayo yalinipa hitimisho ama uzoefu mpya kabisa!! Kiukweli namna watu...
 16. Saguda47

  Maisha ni kivuli cha fikra zilizo kichwani

  Wakuu salama? Katika maisha kuna misukumo na changamoto nyingi sana ambazo hutuandama sisi wanadamu, ni kawaida sana kwenye jamii zetu ukaonyeshwa mtu aliyechoka kiafya kwa ulevi wa kupindukia na kuambiwa kuwa '..huyo alikuwa tajiri sana..' Pia unaweza kuonyeshwa mtu mwenye gari Kali, nyumba...
 17. Saguda47

  Vijana kumbukeni kutambikia mizimu yenu

  Habari zenu wandugu? Kipindi hiki tunashuhudia vijana wengi tukijaribu kujikwamua kimaisha lakini tunaishia kuanguka tena kwenye taabu na wasiwasi mwingi, wengi hawana uhakika wa kesho yao ingawa kuna hatua wameshaanza kupiga. Kiukweli sote humu tuna asili zetu kwa jamii na makabila yetu...
 18. Saguda47

  wanufaika wa mikopo watakiwa kuanza kulipa.

  kuna taarifa zinasambaa kuwa eti waziri Ndalichako amesema waliokuwa wanufaika wa mikopo kutoka HESLB waanze kulipa kama mkataba ulivyokuwa unasema au wafike loan board kueleza hali zao kiuchumi.
 19. Saguda47

  Msaada wadau: Nataka nijilipue kilimo cha mpunga

  Habari zenu wadau? Naomba msaada wa kujuzwa mikoa na wilaya ambazo/ ambayo naweza kwenda kulima mpunga kwa msimu huu wa mvua. Naombeni mnisaidie hasa wilaya zinazofaa kwa shughuli ya kilimo hiki. Mungu awabariki!
 20. Saguda47

  Hii mikasa inanipata mimi pekee?

  Ndugu wana jamii forum Nawasalimu kwa jina la Mnyezi Mungu Muumba wetu. Naleta maada hii kwenu ili kuwaeleza maswahibu yanayoniandama moyoni mwangu ili kama kuna yeyote aliyepitia basi tupeane faraja. Mimi ni kijana wa kiume ambapo tarehe 30/12 mwaka huu ntatimiza umri wa miaka 26, nikiwa...
Top Bottom