Achana na tabia ya kumuita mtu muongo ilihali huna ushahidi na uongo wake. Wanaume hatufanyi hivyo. Amarula unaweza ukachanganya na pombe kali unavyotaka.
Nakumbuka nilivyokuwa kijana nilipelekwa mkoa mwingine kikazi. Nilipofika ule mkoa, fasta nikatafuta chumba nikapanga badala ya kulala guest.
Chumba cha jirani yangu alikuwepo amepanga jamaa na wife wake japo walikuwa wanasafirisafiri.Tatizo wakiwepo, mke wa jamaa alikuwa anatoa miguno mpaka...
Mke wako anasemaje kuhusu hilo? Kwa scenario kama hiyo na kama mke ana akili zake timamu, yeye ndiye anatakiwa amnyooshe ndugu yake. Ila kama anaona ni sawa tu, ujue huo ni mtego kwako.
Boss, kuna vitu vingi vinasababisha chunusi. Inawezekana kuna kitu huwa anakula na kinasababisha chunusi au inawezekana ni fungus. Ohh yes fungus.
Nakushauri ununue ketaconazole shampoo. Aoshe nywele na uso wake kila siku asubuhi na jioni. Atleast akishapaka akae kama dakika 15 ndiyo asuuze...
Upo sahihi kwa njia moja au nyingine. Usafiri wa helicopter ni salama kabisa kuliko gari. Ila tambua usalama unaokuwepo wakati wa msafara wa Rais ni mkubwa sababu panakuwa hamna magari mengine zaidi ya yale ya msafara na hamna magari wanayopishana nayo.
Rais John Pombe Joseph Magufuli anaendelea na kampeni kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Octoba 2020.
Mimi kama mwananchi wa kawaida, naomba nitoe angalizo kuhusu kutumia helicopter kama usafiri afanyapo kampeni.
Wana anga wanasema rate ya helicopter kupata ajali ni kubwa ukilinganisha...