Search results

 1. From Sir With Love

  Usalama wa Rais apandapo Helkopta wakati wa kampeni

  Rais John Pombe Joseph Magufuli anaendelea na kampeni kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Octoba 2020. Mimi kama mwananchi wa kawaida, naomba nitoe angalizo kuhusu kutumia helicopter kama usafiri afanyapo kampeni. Wana anga wanasema rate ya helicopter kupata ajali ni kubwa ukilinganisha...
 2. From Sir With Love

  Serikali ipoge marufuku ulazima wa mzazi kununua sare shuleni

  Heri ya mwaka mpya. Kama mzazi, nawiwa kukinzana na ulazima wa mzazi kununua uniform za shule kwenye shule ambayo mtoto amepata nafasi tena kwa bei kubwa. Kwa wale wazazi au walezi ambao hawasomeshi watoto shule za private, mchezo upo hivi! Mwanao ukimpeleka shule ya private na akatahiniwa na...
 3. From Sir With Love

  Kupanda ndege kwenda kumuona mama imekuwa nongwa. Binadamu bwana.

  Habari za leo wanajamvi. Nimepanda ndege kwenda kumuona mama yangu kwa sababu anaumwa, umri umeenda na hataki kutoka kijijini kuja kutibiwa mjini. Kuna jamaa zangu naona wanatoa manenooooooo kwamba nafuja hela. Acheni hizo rafiki zangu, niache nimuuguze mama. Na mwache kufuatilia maisha ya...
 4. From Sir With Love

  Hata kama wamekuwekea bastola kichwani, usikubali kuondoka na watekaji. Narudia usikubali.

  Kumekuwa na matukio mengi ya kutekwa na kati ya matukio mia moja, inawezekana waliyorudi salama ni wawili au watatu akiwemo Mo Dewji. Tukumbushane rules chache kuhusu utekaji na hasa swanasiasa. Rule no. 1 Uikubali kupelekwa sehemu yoyote na watekaji hata kama wamekuonyesha bastola au kisu...
 5. From Sir With Love

  Naomba kesho jumatatu tarehe 25-03-2019 iwe sikukuu ya ushindi wa Taifa Stars

  Kwa sababu leo, bei ya bia ni nusu bei kwa wakaazi wa jiji la Dar es salaam baada ya Taifa Stars kumfunga mwenye bomba la mafuta, basi tunaomba wale tutakaokunywa bia na kushindwa kufika kazini, kesho iwe sikukuu. Kwa wale ambao tupo Mwanza, tunaomba leo msitoke majumbani. Mkamate mke wako ili...
 6. From Sir With Love

  Rubani wa ndege ya ATC No. TC103 airudisha ndege parking baada ya kuhisi tatizo kwenye runway

  Kwanza nitoe pongezi kubwa sana kwa rubani wa ndege ya ATC No. TC103. Huyu rubani mzungu ameonesha yeye sio risk taker. Hii ndege imeshindwa kutake off mara mbili na akaamua kuirudisha kwenye parking ili aweze kufahamu tatizo. Hii ndege ilikuwa iondoke hapa Mwanza saa nne kasoro usiku huu wa...
 7. From Sir With Love

  Fao la kujitoa na mkutano wa Rais Magufuli na viongozi wa dini.

  I am very discouraged. Highly discouraged. Nilitumai viongozi wa dini wangetoa kero za waumini wao barabra. Kero hizi zilitakiwa zilenge mwenendo wa uchumi na uhusika wake na ziegemee matatizo ya waumini kuhusu kipato. Ama kweli! Hakuna hata kiongozi wa dini mmoja ambaye alishukiwa na mungu au...
 8. From Sir With Love

  Poleni sana kwa Masaibu ya Dunia

  Nimeamka mapema leo, na kabla ya kutoka kitandani, nikawa nawaza watu mbali mbali hapa duniani wanaopitia masaibu tofauti tofauti. 1. Wazazi waliokuwa wanategemea kumzaa mtoto mzima lakini baada ya mama kujifungua, madaktari wanawapa taarifa kwamba wamezaa Mtoto mlemavu - Kama humjui Mungu...
 9. From Sir With Love

  Mgombea Urais 2020: Ili ushinde, tuambie kama utarudisha fao la kujitoa

  Kwa yeyote anayetarajia kugombea urais 2020, aidha nje ya kijani au ndani, chukua huu ushauri. Ahidi kurudisha fao la kujitoa, lakini pia pindua ile 25% papo hapo na 75% ukiwa umefariki.
 10. From Sir With Love

  Umegundua nini kwenye hizi picha za Makamu wa Rais akiwa kwenye ziara mjini Magharibi?

  Declaration of interest. Nampenda sana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Ana haiba ya kipekee kama mama na kama mwanamke. Nikimtizama na jinsi anavyozungumza fikira ya kwanza ambayo huwa inaniijia sio ya Makamu wa Rais bali ya mama. Nafasi zote mbili...
 11. From Sir With Love

  Mwanajeshi wa N. Korea apigwa risasi akikimbilia S. Korea

  Mwanajeshi wa Korea Kaskazini mwenye umri wa miaka 24 kwa jina la Oh, amenusurika kifo baada ya kupigwa risasi 4 kati ya 40 zilizolengwa kumuua. Oh, ambaye kwa sasa yupo hospitali Korea ya Kusini anaendela vizuri na matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji zaidi ya mara nne. Oh, alipoteza nusu ya...
 12. From Sir With Love

  Mhe. Rais Magufuli, usikubali Usalama wa Taifa kudhalilika

  Pole na Majukumu ya ujenzi wa Taifa Mhe. Rais Nina ushauri mdogo kwako kama kiongozi wangu wa Nchi, na nishukuru mitandao ya kijamii kunipa hii fursa. Naomba nijikite kwenye swala la "MTU MMOJA" kumtolea bastola Mhe. Nape siku alipokuwa akutane na waandishi wa habari. Nilikuelewa ulivyosema...
 13. From Sir With Love

  Ombea mfanyakazi wako wa ndani

  Nimekutana na hizi clips kwenye mtandao na inawezekana wengi wetu tumeshaziona. Ombea mfanyakazi wako wa ndani siku zote ili awe na utulivu wa moyo na nafsi.
 14. From Sir With Love

  Vita dhidi ya madawa ya kulevya, Tindu Lissu akamatwa (K24TV - Kenya)

  Nimeikuta hii taarifa ya upotoshaji iliyorushwa tarehe 8, Januari na kituo cha K24TV nchini Kenya. Tizama dakika 0.49 Vyombo vya habari inabidi viwe maakini kuhakiki taarifa zake. Nashauri Tindu Lissu, awasiliane nao ili wasahihishe hii taarifa.
 15. From Sir With Love

  Kuibiwa na dawa ya kumfanya mtu kusema ukweli

  Kuna jamaa yangu tunafanya naye kazi alipatwa na kisa cha kuibiwa hela zake kwenye ATM. Baada ya uchunguzi na taarifa za msichana wake pamoja na kumbukumbu kidogo, iligundulika mara ya mwisho alikuwa baa na akaja jamaa mgeni akakaa kwenye meza aliyokaa. Baada ya muda wakazoeana na jamaa mgeni...
 16. From Sir With Love

  Agha Khan Hospital, ni sawa kulipia parking na huduma mnatoa nyie?

  Hakika Dar imebadilika kwa kipindi kifupi. Naelewa Agha Khan ni mojawapo ya hospitali nzuri nchini, na hasa Agha Khan ya Dar. Ni muda mrefu sasa tangu wazibe kwa mabati parking zao. Wanasema walikuwa wanaboresha parking. KWA SASA HIVI UKITAKA KUPARK MLE NDANI UNATAKIWA ULIPIE elfu 1,000 kwa...
 17. From Sir With Love

  Baadhi ya wanaume wa Dar tatizo ni nini?

  Nina miezi kadhaa sipo Dar kwa sababu ya majukumu ya kikazi. Niliporudi, juzi kati tulienda sehemu na mama watoto, nikawa natoa hela kwenye mtandao. Kuna wazee walikuwa wamekaa pembeni kama kawaida nikawasabahi na nikaendelea na yangu. Baada ya kutoka pale mama watoto akaniuliza. Hivi watu...
 18. From Sir With Love

  Taa za Namanga, mke wa Balozi Mahiga na tamko la rais

  Poleni na Majukumu. Sina nia ya kuendeleza mjadala unaohusisha tuhuma za Mke wa Balozi Mahiga kumtukana askari na baadaye Rais Magufuli kutoa agizo huyo askari apandishwe cheo, lakini natoa angalizo kwa yale yaliyonikuta pale taa za Namanga kama unaelekea kulia kwenda msasani. ANGALIZO 1...
 19. From Sir With Love

  Usemi uliokupa shule JF 2015 na kukumbusha zamani

  Habari wana JF. Mwaka unapoishia ni vizuri tukumbushie semi zilizo tukumbusha mambo tuliyopitia zamani na kwa wengine hizi semi ziliwapa mafunzo mazuri. Binafsi: 1. Mchumba hasomeshwi - Nilishawahi kumsomesha mdada nikiamini ndo atakuja kuwa mke wangu lakini mwisho wa siku akalala mbele...
 20. From Sir With Love

  Tuwapende wake zetu. Nimeamini

  Habari za Leo wanajf. Mimi ni mume wa mtu. Nina ndoa ya miaka mitano. Kwenye ndoa kuna masaibu mengi. Lakini nimekuja kugundua kuwa love u r wife with all u r heart. Mpende mpaka basi. Yeye peke yake inawezekana ndo mwanamke anayekupenda jinsi ulivyo no matter what. Na inawezekana ndo mwanamke...
Top Bottom