Search results

 1. Rock City

  House for sale - Mwanza

  Wadau Salaam! Nauza nyumba iliyopo katika jiji la Mwanza. Ina vyumba 3 vya kulala ambavyo 2 ni master room, jiko na sitting room. MMILIKI: Mimi mwenyewe MAHALI ILIPO: Mwanza city, Luchelele HATI: Ipo (66 years) MIUNDOMBINU: Umeme/Maji vipo BEI: TZS 55,000,000 CONTACTS: 0785099995 PICHA: Will...
 2. Rock City

  Mjadala Star TV: NCCR, CUF & CCM wakijadili 'Utenguzi wa Mawaziri tutegemee nini?'

  Ni katika kipindi cha tuongee asubuhi ukiwajumuisha Sungura (NCCR mageuzi), Nape (CCM), Mtatiro (CUF). Wapo kujadili "utenguzi wa mawaziri". Nape: Viangaliwe mifumo, sheria na watu katika kusimamia. Adai tume huundwa na kutumiwa kama vichaka vile. Mtatiro: Yapo matatizo ya ombwe la kiuongozi...
 3. Rock City

  Compressor FOR HIRE.

  Wakuu, Nakodisha Compressor kama ifuatavyo: 1. AtlasCopco compressor 2. 10 bars 3. 3-ways 4. Brand new with 0hrs 5. Ipo Mwanza Kwa anayehitaji naomba tuwasiliane kwa PM au kupitia mawasiliano yafuatayo... 0754539812 0759988889 Karibuni.
 4. Rock City

  Pope FRANCIS-"Person of the year"

  Hii ni kwa mujibu wa jarida la "TIME INTERNATIONAL MAGAZINE" lililotolewa hii leo, na kurushwa na vyombo mbalimbali vya habari. Hongera pope Francis, ni miezi 9 tu tangu kuushika wadhifa huo.
 5. Rock City

  Mgodi wa marudio ya dhahabu - unauzwa.

  Ndugu wadau, Napenda kujitokeza mbele yenu kwa lengo la kuwatangazia juu ya uuzwaji wa mmoja wa mgodi wa kuzalisha dhahabu kupitia marudio kama ifuatavyo: 1. Mgodi huu upo mkoani Mbeya, wilayani Chunya katika eneo la mamlaka ya mji mdogo wa Makongolosi, katika eneola kijiji cha Mwaoga...
 6. Rock City

  Barber shop

  Salaam, nahitaji kufungua moja ya barber shop ya kisasa hapa Mwanza mjini. Ila sina ufahamu wa jinsi ya upatikanaji wa vifaa kwa ufunguzi huo, je naweza kupata msaada kwa yeyote yule ambaye anauzoefu wa aina hii ya biashara? Nitashukuru kwa msaada wowote juu ya barber shops.
 7. Rock City

  Cutting edge & Tips...available

  Wakuu, Kwa wale wadau wa heavy duty machinery, ninazo bidhaa kama ifuatavyo kwa bei maridhawa: Cutting edge (6ft) Cutting edge (7ft) Tips Hivyo kwa yeyote anayehitaji bidhaa hizo basi tutakuletea mpaka mlangoni kwa gharama zetu. Tunaweza kuwasiliana kwa PM na kupeana mawasiliano...
 8. Rock City

  Nahitaji ARDHI Lindi

  Salaam wakuu, ninatafuta eneo la kununua hekari 10 katika manispaa ya LINDI. Naomba tuwasiliane, ahsanteni.
 9. Rock City

  Barua ya wazi kwa JK juu ya kikao cha KAMPALA.

  Kwako mpendwa rais wetu. Salaam na pole kwa safari ya ughaibuni. Nikiwa ni mtanzania niliye chini ya uongozi wako, nakuthamini ukiwa ndie amiri jeshi mkuu wa nchi yetu Tanzania na ndie mlinzi mkuu wa usalama wetu na wako pia. Katika khotuba yako uliyoitoa mwisho wa mwezi Julai 2013...
 10. Rock City

  Benki gani YAFAA Tanzania?

  Salaam wakuu, Kwa wale wazoefu, naomba msaada wa kujua yafuatayo ili kunisaidia katika nikusudiayo kuyatekeleza. 1. Ni benki gani nzuri Tanzania kwa huduma za kampuni binafsi, kwa huduma za kikampuni? 2. Ni benki gani ambayo mimi kama mteja mwenye kampuni nikaitumia kwa huduma za...
 11. Rock City

  MUALIKO: The JF 'Rock City Wing'

  Salaam wakuu, Karibuni The JF Rock City Wing. Hii ni kuwaarifu wadau wote wa Mwanza na ng'ambo kuwa, tunataraji kufanya kikao chetu cha wing yetu hii mpya siku ya Jumatano 01.05.2013 tujaaliwapo. Muda ni kuanzia saa kumi kamili jioni. Baada ya mashauriano ya karibu kabisa yaliyofanyika...
 12. Rock City

  Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

  Wakuu kabisa, Heshima mbele. Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini yaani (JF Mwanza wing) au (JF Rock City wing). Kwa kuwa ongezeko hili la wadau linazidi kukua, kwa...
 13. Rock City

  Natafuta TENDA za miradi

  Heshima kwenu wadau, Ninayo kampuni iliyosajiliwa vema kwa sheria zote za nchi tangu mwaka 2008, na inafanya kazi katika miradi midogo-midogo hususan mikoani (lake zone). Kampuni hii ni 'limited' na imekamilika katika safu zake kiutendaji, inajishughulisha zaidi na:- 1. General Supply 2...
 14. Rock City

  Mgodi TULAWAKA kufungwa

  Sasa kitendawili kimeteguka. Akiongea na wafanyakazi wake tarehe 13.02.2013 mkurugenzi mkuu wa mgodi huo akatangaza rasmi kufungwa kwa mgodi huo ifikapo June mwaka huu. Taharuki kwa wafanyakazi na sintofahamu yao. Source: From a reliable personnel at ABG
 15. Rock City

  NGARA ni Tanzania ama?

  Wadau, Tuache masikhara ya kijiografia na tujikite kiuhalisia, wilaya ya NGARA ni Tanzania ama? Kama ni Tanzania, basi imetelekezwa na warundi/wanyarwanda wamejiotea mizizi na himaya zao,, amini usiamini hakuna tamaduni za kitanzania katika wilaya hiyo, tembelea ujionee
 16. Rock City

  Mchumba wa KUOLEWA

  Wapendwa ladies, Salaam! Kwa dhati natafuta mchumba wa (Mola ajaaliapo) kuja kuoana, kama jinsi ID yangu inavyoonyesha uhalisia, nipo ukanda wa Ziwa yaani rock city Mimi ni muislam na napenda atakaejitokeza awe ni mwenye imaan yangu kuepusha mambo kadhaa hususan kifamilia, Napenda walau awe...
 17. Rock City

  Natafuta shamba sengerema

  Wakuu, Kwa aliye mwenyeji wa lake zone, natafuta shamba eneo la Sengerema (highway ya Mwanza-Sengerema) Yaani liwe ni jirani ya Kigongo ferry au hata vijiji vya jirani yake, likiwa kwenye ukingo wa ziwani litanifaa zaidi Tafadhali niPM kwa mawasiliano zaidi
 18. Rock City

  Natafuta KIWANJA/SHAMBA-TABORA MANISPAA

  Wakuu, Ninatafuta eneo la kiwanja au shamba ndani ya maeneo jirani ya mji. Iwe ni eneo la pembezoni mwa barabara kuu hususan SIKONGE ROAD au URAMBO ROAD. Kiwanja kiwe manispaa ya mjini, au hata zile nyumba za miti zilizobaki magofu, tunaweza kuelewana na kuuziana. Sipendelei sana madalali...
 19. Rock City

  Hodi hodi wakubwa

  Jamani mie ndo nazaliwa JF, naomba ulezi wenu na mwongozo mwema. Karibuni kwangu 'rock city', naimani mnaelewa nimaanishacho....Mwanza. Mnipokee kwa kheri.
Top Bottom