Search results

 1. Willard Jonnes

  Nahitaji Mtu wa kunikopesha Computer

  Nahitaji kama laptop ya laki nane ivi nani anaweza kunipa mkopo ili nilipe kwa installment awamu tatu kila mwisho wa mwezi
 2. Willard Jonnes

  Wazee wa porini nipe ushauri

  Wakuu kuna project ambayo ninaenda kuifanya na itaniweke remotely yani maeneo ya vijiji mbalimbali ndani ya nchi sasa nina option mbili za mtandao wa simu Halotel na Airtel, sasa nichague upi interm of coverage ya kawaida tu sio inshu za internet nataka coverage ya kupiga na kupokea simu na Sms...
 3. Willard Jonnes

  Nina uwezo mkubwa wa kutambua hatari iliyo mbele

  Fellow JF members, Wakuu nina Uwezo mkubwa wa kutambua hatari itakayotokea mbele yangu au Kujua mpangilio wa matukio yajayo bila hata kuoteshwa yani niko vizuri sana Kwenye ku connect dots na Ku predict future na Mara nyingi almost 90% Huwa napatia kabisa. Shida yangu ni moja kuwa inshu...
 4. Willard Jonnes

  Je inawezekana ku apply kazi zingine ikiwa umeshaajiriwa kwenye taasisi za Serikali?

  Wakuu mfano mtu ameajiliwa TANAPA hili ni shirika la umma kupitia Utumishi portal je Ikitokea Kazi mfano TANESCO anaruhusiwa ku apply? Na je aki apply na akaitwa interview na akafaulu usaili. Je, ataruhusiwa kuhama Tanapa na kwenda Tanesco?
Top Bottom