Search results

 1. SINA JINA1

  Katibu Mkuu (Sophia Kaduma) Arubuniwa Na Mh. George Mkuchika Dhidi ya TANECU Ltd

  Nchiyetu imekubwa na janga kubwa sana ambalo kimsingi limesababishwa namatumizi mabaya ya KATIBA ya nchi. Huwezi kushangazwa na maamuzi yawatendaji wakuu wa serikali tena wa kada ya juu kabisa (KATIBU MKUU)akifanya maamuzi ama anato maagizo kutokana na shinikizo la kisiasabila kujali utaalamu...
 2. SINA JINA1

  Wana Jf mliopo UK ,msaada tafadhali

  Tafadhali wadau kwa usumbufu, Keyboard ya laptop yangu ilipata hitilafu nikajaribu kutafuta Uganda na Kenya nimekosa . Nimefanikiwa kuipata online ila kuinunua imekuwa taabu kutokana na masharti ya wauzaji. Kama kuna Mdau anayeweza nikamtumia hela akaninulia then akanitumia kwa dhl . Link hii...
 3. SINA JINA1

  Safari ya Songea

  Habari zenu wanajumuia ! Natarajia kwenda Songea hivi karibuni kutokea Dar naomba taarifa za nauli na basi zuri la kupanda . Pia naomba taarifa za lodge nzuri gharama iwe kati ya 30,000/= na 40,000/=
 4. SINA JINA1

  CCM inaondoka madarakani rasmi 2015, hili halina mjadala

  Mara zote kufanya mambo bila kujua adhari zake ni hatari sana . Upo uvumi kuwa bwana mkubwa ameamua kufanya mambo kwa manufaa yake na familia yake bila kujali mustakabali wa taifa . Kuna mambo mengi yamejitokeza siku za karibuni bila watu kuhoji ,waliojaribu kuhoji walizimwa kwa kuambiwa kuwa...
 5. SINA JINA1

  Chenji ya mradi wa bomba la GAS inatafutwa irudishwe...

  Kwa hali ya kushangaza na kushtua ni kwamba wale wananchi wa Mtwara vijijini waliokuwa wameshalipwa fidia ya bomba kupita kwenye makazi/mashamba yao, acc zao walizowekewa fedha zimefungwa. Wale ambao walishazichoto imekuwa ni kama neema kwao. maswali ya kujiuliza ; Serikali inapofanya...
 6. SINA JINA1

  Simbachawene alivalishwa Magwanda ya Jeshi.

  Habari za naibu waziri wa Nishati na madini kufika Mtwara na kuzuiwa siku ya Jumatatu tarehe 14/01/2013 zimekanushwa vikali mno na Makanjanja wanaonendekeza bahasha za khaki. Sakata lenyewe ni kwamba Naibu Waziri alifika Mtwara na aliingia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa kutumia usafiri wa...
 7. SINA JINA1

  Mwakyembe na Magufuli mna nia njema na watanzania?

  Kusafiriisha mizigo mikubwa /mizito kwa njia ya barabara ni gharama kubwa ukilinganisha na njia nyingine za usafirishaji kama vile Reli na Maji. Barabara itahitajika kufanya matengenezo ya mara kwa mara ambapo gharama zake kifedha na nguvukazi ni kubwa sana. Fedha nyingi za walipa kodi...
 8. SINA JINA1

  Live kutoka Mtwara-Warsha kwa Kikao cha RCC & TPDC Kuhusiana na Mambo ya Gas/Oil

  Mkurugenzi mkuu wa TPDC amemaliza kwa sasa Aliyoongea kwa ufupi -Kuna visima vya Gas 60 mpaka sasa -Kuna makampuni 18 ya utafutaji wa mafuta yapo nchini -Tanzania utafiti ulianza 1952 -Sosongo kuna gas kiasi cha 880 Bilion CF imehakikiwa -Mnazi bay 262 Bilion CF iliyohakikiwa...
 9. SINA JINA1

  Ni kweli Mh. Mkulo anamtumia Maarifa kwenye Investment zake huko Mtwara?

  Kama kuna mtu ana taarifa za kuibuka ghafla kwa huyu bwana kuwa mmiliki wa biashara hizi tafadhali atoe taarifa humu jamvini. Kwa uchache inasemekana kuwa huyu bwana anayejulikana kwa jina la Maarifa anamiliki biashara za Mh. Mkulo kanda ya kusini hususani mkoa wa Mtwara. Anamiliki Makonde Beach...
 10. SINA JINA1

  Siungi Mkono hoja ya Zitto

  Fikra za mwanadamu zinapotawaliwa na hulka ya ushabiki zaidi ya ukweli ,maamuzi hutolewa pasipo kuzingatia ukweli.Pia maamuzi hayo huambatana na hoja nyepesi zisizo na manufaa katika utatuzi wa tatizo kuu. Serikali ya Jk tokea imeingia madarakani awamu ya kwanza imegubikwa na vitendo vya rushwa...
 11. SINA JINA1

  Msaada kwenye Ubuntu

  Nikiwasha Laptop yangu inaniletea hii message Minimal BASH- like line editing is supported for the first work,TAB list possible command completions.Anywhere else TAB list possible advice or file completions. Naomba msaada
 12. SINA JINA1

  Najikaribisha

  Hodi hodi uwanjani...naomba munipokee
Top Bottom