Search results

 1. Umkondo wa Swize

  Huduma mbovu kituo cha afya Sinza Palestina

  Jana mwanangu alizidiwa usiku alikuwa anatapika nikamwahisha kituo cha afya cha serikali Sinza Palestina, kufika pale nikapata huduma kama kawaida kwa daktari akaniambia nimpeleke mwanangu maabara akachukuliwe vipimo ili wajue tatizo ni nini. Kufika maabara nikakuta watu wengi wanamsubiri...
 2. Umkondo wa Swize

  Wafadhiri wadondosha machozi baada ya kuona wanafunzi wanaketi chini

  MBUNGE wa Viti Maalumu, Susan Kiwanga (CHADEMA) na maofisa wa Benki ya NMB Tawi la Kilombero, wamejikuta wakidondosha machozi baada ya kushuhudia wanafunzi wakiwa wamekaa kwenye tope huku wakiendelea na masomo. Tukio hilo lilitokea juzi katika shule za msingi Ntyangimbole na Kidete...
 3. Umkondo wa Swize

  Unyama wa polisi Dodoma

  MTU MMOJA APIGWA NA KUUMIZWA VIBAYA NA POLISI Kushoto ni kijana ambaye jina halikutambuliwa mara moja akipigwa na polisi. Kijana ambaye hana shati akichapwa na polisi aliye mbele yake. Nyuma ya pikipiki ni jana anayeendelea kupigwa na polisi baada ya...
 4. Umkondo wa Swize

  Ewe mwanaume unae nyanyasika na mwanamke kijue chama cha kukutea

  TANZANIA MEN’S RIGHTS ASSOCIATION CHAMA CHA KUTETEA HAKI ZA WANAUME TANZANIA ”TAMRA” Equal treatments for all UTANGULIZI TAMRA ni Asasi ya kiraia iliyoanzishwa na wanaume wa Tanzania kwa lengo la kutoa msaada wa Kisheria pamoja na Elimu ya Haki na Wajibu katika mahusiano...
 5. Umkondo wa Swize

  Hodi hodi wenyewe humu!

  Jamani nipokeeni kijana wenu nimekuja kwa lengo la kuelimishana na kutetea masrahi ya Taifa hili yanayo liwa na wachache ambao tunaweza kuwaita mafisi. Naombeni ushirikiano wenu.
Top Bottom