Search results

 1. Njunwa Wamavoko

  Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

  Sasa UTI na dox wapi na wapi! Muache kwenda vichochoroni, mtu unaenda maabara ubamkuta lab technician, anakupima na anakupa dawa. Sasa Lab technician dawa amezisomea wapi?
 2. Njunwa Wamavoko

  Mimi nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja

  Mm nimekulia kwenye Medical professional nakwambia moyo mmoja mkunjufu, Magonjwa ambayo ni magumu kuya Diagnose na kuyatibu ni Magonjwa ya Ngozi. Ndio maana unaona kuna Hadi madaktari bingwa wa Ngozi. Usitegemee utibiwe tatizo la ngozi kwa mitandao upone kirahisi, bila kuwa evaluated na daktari...
 3. Njunwa Wamavoko

  Mimi nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja

  Sasa kama ushajua ni fangasi si uende kutatibiwe hospitali mkuu. Fangasi ni fangasi Mkuu uite mba au uite fangasi unazunguka palepale. Labda kama unataka uthibitisho tu. Tatizo la zama hizi ndo maana watu hata mahospitalini hawaponi wanakuja wanajua wanachoumwa, na vipimo na matibabu...
 4. Njunwa Wamavoko

  msaada wa kimawazo kwa mke wangu amepata ujauzito wa kumfatisha mtoto wetu wa pili

  Unatakiwa ujue kuwa ukishazaa kwa Operation, inatakiwa walau ukae hata miaka mitatu ndo uzae tena, Miaka mitatu ni mda unaotelewa kuhakikisha lile kovu la kizazi linakua imara kubeba mtoto mwingine. Ifahamike kovu likiwa legelege uwezekano wa kupasuka kizazi ukiwa na kovu kwenye kizazi ni...
 5. Njunwa Wamavoko

  Tatizo la homa za mara kwa mara

  Mkague mtoto kinywani awapo na homa, je kuna meno yanaanza kuchomoza? kuna kitu kinaitwa pia Fever of Unknown Origin kwa watoto Dr wa watoto alitakiwa aende extra Mile akufanyie Blood culture, na kutafuta vyanzo vya homa vinginevyo Vyanzo vya homa kwa watoto sio tu kufanya FBP,Urine na Malaria...
 6. Njunwa Wamavoko

  Kuna uwezekano wa kupata mimba siku za bleed?

  Bila kujua mzunguko wa mwanamke hesabu zinakua Ngumu. Wanawake wengi wanazungusha siku 28. Katikati ya mzunguko wa siku 28 ndio huzalisha yai, na kuanzia siku hiyo unahesabu siku tatu mbele na siku tatu nyuma utalata Jumla ya siku saba ambazo ndo zenye hatari ya kupata Mimba. Kama mwanamke...
 7. Njunwa Wamavoko

  Kuna uwezekano wa kupata mimba siku za bleed?

  Sijawai kuona Mkuu!
 8. Njunwa Wamavoko

  Kuna uwezekano wa kupata mimba siku za bleed?

  Mbona maelezo yako straight, issue kubwa hapo ajue mzunguko wa mke wake, Ni very rare kukuta mtu anazungusha siku kumi na nne 14 ambazo technicaly ndo zina possibility ya kuwa siku ana bleed na ndio ana ovulate na hapo ndo science inaanza kugoma. Wonders kwenye tasinia ya afya zipo na kuna vitu...
 9. Njunwa Wamavoko

  Kuna uwezekano wa kupata mimba siku za bleed?

  Sio wanawake wote wana follow hiyo scheme. Kuna watu wana bleed after every 14 au 21 Days. Unafikiri hao watatunga mimba sawa na anae bleed kila baada ya siku 28?
 10. Njunwa Wamavoko

  Kuna uwezekano wa kupata mimba siku za bleed?

  Mara ya mwisho mke wako kuona siku zake ni lini, alianza tarehe ngapi na akamaliza tarehe ngapi? Mzunguko wake ni siku 21, 28 au 35? au siku ngapi?...Kujua hili muulize period aliza lini january, february na March then hesabu kutoka bleed moja kwenda nyingine zinapita siku ngapi ndo utajua...
 11. Njunwa Wamavoko

  Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

  Transmission inategemeana na Viral Load ya mgonjwa iwapo ana undetectable Viral Load basi uwezekano wa wewe kupata ni mdogo sana tena sana au tuseme haupo kabisa. Lakini pia kuna watu wamezaliwa na Genetic Mutation ya CCR5 Receptor, hii ni sehemu ya kwanza ambapo kirusi ushika ili kuingia...
 12. Njunwa Wamavoko

  Msaada: Nina vidonda vya tumbo sugu

  Anza clinic Muhimbili wewe matatizo yako ni makubwa Hiatus Hernia tu yenyewe kama yenyewe ni risk ya kupata vidonda. Unaitaji uonane na daktari Mbobezi N:B Mbobezi sio Bingwa
 13. Njunwa Wamavoko

  Msaada tafadhali: Huwa inanitokeaa napata choo yenye damu

  Kutoa damu inayoonekana kwenye choo kwa mda mrefu ina sababu nyingi! 0. Duodenal Ulcers( Vidonda vya utumbo) 1. Ulcerative Colitis(Huwa ina episodes za kuharisha choo chenye damu pamoja na tumbo kuuma, utulia na kujirudia) 2. Hemorrhoids(Bawasili) 3. Anal Fissure(Hii umbatana na maumivu makali...
 14. Njunwa Wamavoko

  Nini sababu ya kinga ya mwili (Immunity) kuwa chini tofauti na virusi?

  1. Malnutrition 2. Stress 3. Immunosuppressing Disease e.g Kisulari naturally kinashusha kinga 4.infections kama HIV 5. Steroid drugs(Kuna dawa hushusha kinga) 6. Cancer au Matibabu yake 7. Age (Wazee au watoto) Baadhi ya causes/Risk factors zina sign ila ulishaona una fall katika hizo...
 15. Njunwa Wamavoko

  Nina tatizo la kutopata hedhi kwa wakati, kwa mwaka naweza kupata hedhi mara tatu

  Unatakiwa kuelewa kuwa kupata siku zako ni pale kuta za kizazi zinapomomonyoka kutoka na kwamba mwezi huo haukubeba mimba. Vitu vinavyomomonyoka huwa ni tezi zilizotengenezwa na Hormone ya Prpgesterone kama maandalizi ya kumpokea mtoto atakayetungwa Amenorrhea ni neno la kitaalamu la kukosa...
 16. Njunwa Wamavoko

  Msaada wakuu nimepata tatizo la macho

  Maradhi ya tumbo yapi? Kuna maradhi ya tumbo yanashusha wingi wa damu. Dalili za wingi wa damu kupungua ni pamoja nakuwa na blurred vision,diziness, Heart Racig[emoji6], Fatigue
 17. Njunwa Wamavoko

  Msaada wa kupata diagnosis

  Diagnosis yako iko sahihi kuwa makini na wagonjwa wanaptoshaga sana. Wanakua na Illusions wakishatumia dawa, atakwambia dawa imemsaidia, kitu fulani kimepungua. Otherwise huyo anaweza kuwa na inaleta Condyloma Latum ambayo ni Secondary Syphilis.Fanya VDRL kujiridhisha atakwambia walipima...
 18. Njunwa Wamavoko

  Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

  Hiyo sio screenshot hiyo ni picha umepiga kwa simu maneno hayasomeki.
 19. Njunwa Wamavoko

  Msaada wa kupata gynaecologist

  Mkuu maumivi wakati wa tendo la ndoa nayo unataka huenda kwa Gynaecologist au ushajua chanzo chake? Are you sure sio Psychological? Uke mkavu au? Tumbo linauma na anatoa uchafu ukeni! Nakushauri uonane na General Practitioner ambae atakupa Proper channeling ya specialist gani umuone!
Top Bottom