Tumelala polisi baada ya jana usiku mida ya saa nane usiku tulikuwa kwenye bar jilani na mitaa ya nyumbani wakati tumo ndani kuna jamaa akaja kututonya kwamba kuna difenda nje walio kuwepo inje wamekatwa mwenye bar akatwambia tuwe kimya alafu akafunga mlango kwa ndani mala mlango unagongwa mtu...
Msaada nina mke ananipa changamoto sana yaani hana kazi mama wa nyumbani lakini utakuta nguo ameloweka kwenye dishi toka asubuhi mpaka usiku utakuta narudi usiku toka kazini saa tatu ndio yupo kufua niki muuliza kwanini unafua usiku nguo mchana ulikuwa wapi anajibu nilikuwepo nilisahau na hizo...
Samahani wadau mwimbaji wa nchini Uganda aliyetamba Sana na wimbo wa TINDATINE Kuna mtu kaniambia alikufaga ni kweli au? Naomba msaada mwenye kujua
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Maisha ya ndoa una weza mpenda mwenzako Sana lakini ukimkosea kidogo anakuacha anaondoka unabaki unaumia tuu. Mwingine unaweza ishi naye kwenye ndoa lakini humpendi inakua Kama mliowana kwa bahati mbaya kila ukimfanyia vituko vyote kwamba akuache utakuta nae HAKUACHI na unakuta ata atende jema...
Pole na majukumu wa Tanzania wenzangu kwa kulijenga taifa letu.
Jamani huku kwetu mkoa wa Songwe sasa ndoo ya mafuta ya kupikia elfu themanini nayo ni Toka nchi jirani ya kwetu ni elfu themanini na tatu na hayapatikani .sukari ya Tanzania Hamna kabisa napo ukibahatika ni tsh 3,500kg.
Cement...
Nataka mke miaka 25-30 asitoke Dar awe anatoka mikoani. Elimu kuanzia Darasa la Saba mpaka Form Four, awe anatoka familia ya kipato cha chini, awe mtafutaji na mwenye mawazo positive ya maisha hata kama ana mtoto mmoja sio zaidi, awe mkristu au awe tayari kubadilisha dini, asiwe mwembamba mnene...
Watu wanatafuta wachumba Sana humu lakini mbona ushuhuda hawatupi walio wai pata wachumba kupitia jf humu ndani au tuna poteza muda tuu watu wana tania kutafuta wachumba
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kinauma kulala Gest mwenyeji bila mwanamke nikama umetupa hela bure. Yaani vile umechelewa kazini alafu umesahahu funguo kazini alafu ni mbali au umepanga chumbani unarudi usiku mwenye nyumba amesha funga na upo peke yako huna mke Sasa unaenda lala Gest alafu Ipo karibu na kwako ile...
Hii nadhani kwa Tanzania kila mtu ameshawahi kuona ikipita angani hasa pasipo kuwa na mawingu. Wakati mdogo, mzee aliniambiaga inaitwa roketi ni jamii ya ndege lakini Africa hamna uwanja wa kutua alafu ikitua humwaga mafuta Kwanza lakini niki-Google sioni story yake kwa anaejua nisaidie.
Hivi kuchanganya kiswahili na kingeleza Tanzania tunafeli wapi huyu Alie Andika kwenye jengo hili vipi jengo la CCM Dodoma la Uchaguzi (UCHAGUZI HOUSE) neno UCHAGUZI halina Kiingereza au neno HOUSE halina Kiswahili?
Hapo neno HOUSE halina Kiswahili na neno UCHAGUZI halina Kingereza yake au...
Jamani mimi nina tatizo la nidhamu ya uoga yaani mtu akinifokea kidogo tu hata kama kosa ni la kwake mwili unaanza kutoa jasho. Naaza kuongea kwa kuogopa nashindwa hata kujieleza hata kama mtu nilimkopea nikaenda kudai akanijibu kwa ukali siendi tena hapo.
Nakimbia kwenda kuchukua K-Vanti hapo...