Search results

 1. ankol

  Kutoka uboss hadi umachinga

  Inasikitisha sana wadau lakini ndio katika kupambana na maisha si lelemama. Ni hivi baada ya kelele za muda mrefu za maboss wetu wenye asili ya Asia. Nimejipanga 2020 niachane nayo na nitafute vya kwangu. Hii ni baada ya uvumilivu wa hali ya juu ya vichambo vya hawa raia ukizingatia hali ya...
 2. ankol

  Jinsi ya kumuacha mpenzi bila kumletea madhara

  Habarini ndugu zangu, Naombeni msaada wenu wamawazo juu ya kumuacha mpenzi mlioshibana nae kisawasawa bila kumletea madhara ama hata yakikuwepo yasiwe makubwa kiasi hicho. Nawasilisha tafadhali.
 3. ankol

  Majibu ya nesi huyu yamenikanganya.

  Ni hivi juzi nilienda hospital kwa dhumuni la kujua afya yangu. Ajabu nilivyochukuliwa damu tayari kwa kipimo nesi yule alichukua muda mrefu kunipatia majibu hali iliyopelekea kuingiwa na hofu labda majibu hayako mazuri na nesi anatafakari jinsi ya kunifikishia. Baada ya muda mrefu akaniita na...
 4. ankol

  Chakula Gani yakuepuka kula kitambi isitokee

  Habarini wana Jamvi. Aki nimetoka kufunga swaumu imenishape kwakweli. Mana nilikua nimefura tumbo iko kama meneja wa epa kitu sio poa kwa kijana kama mimi. Hata nikajaribu ku excise but do zangu ziliisha kwa gym bila kupata matokeo. Sasa ilivyoingia mfungo aki nimekua flat venye ninapenda...
 5. ankol

  Music system ya kuwa nayo.

  Habarini wadau, Kijana mwenzenu nimezichanga nataka kua na mziki wa hadhi nyumbani kwangu. Kwa budget ya 1.5m naombeni mnishauri music system gani itanifaa kwa matumizi ya nyumbani. Ukiongeza na duka nitakaloukuta itakua poa zaidi. Naombeni kuwakilisha.
 6. ankol

  Wizi mpya wa mtandao.

  Habarini za jioni waungwana. Leo nimepatikana mwenzenu. Nilikua Facebook nikapata meseji ya mdada wa kizungu. Nami bila hiyana nikaanza kuchat nae. Baada ya muda flani akafanya video calling nami nikapokea nikaona anavyojishembendua Mara akasaula nguo zote akabakiwa kama alivyo. Akaanza...
 7. ankol

  Nilivyogharamia harusi ya mchumba wangu bila kujijua

  Inauma sana! Ni miezi miwili tangu tukio hili litokee lakini naona kama limetokea jana tu. Aliyekuwa mpenzi wangu ambae tulielekea kufunga ndoa karibuni aliniaga kuwa amepatwa na msiba hivyo basi nimpatie kiasi kadhaa cha pesa ili aweze kusafiri ukizingatia yeye ni mtu wa karibu sana na...
 8. ankol

  Jinsi ya kupata free channel kwa kupitia smart tv

  Habarini wandugu, Ninaomba kuelekezwa njia ya kufanya ili niweze kuona free channel bila kutumia kisambusi kupitia moja kwa moja kwenye tv. Nitashukuru sana.
 9. ankol

  Matatizo ya Meno

  Habari zenu wandugu, Jino langu la mwisho la chini limekua likiuma pale ninapokula ama kunywa vitu vya moto ama baridi, Nahisi ni ishara mbaya huenda likauma zaidi. Naomba mwenye kujua anijuze kitu gani ama dawa gani nitumie ili lisije kuuma zaidi.
 10. ankol

  Gari yangu inawaka vitaa hivi. Msaada plis

  habarini ndugu, Gari yangu inawaka vitaa hivyo pichani sielewi tatizo ni nini. Naombeni msaada wenu nianzie wapi maana siko vizuri sana kwenye nyanja hii ya magari nimeona bora nilifikishe kwenu ili nipate pakuanzia. Msaada wenu ni muhimu kwangu. Wasalam.
 11. ankol

  Hali ngumu ya maisha imenifanya niwe karibu na familia

  Aisee awamu hii si ya mchezo mchezo. Niko nyumbani hapa nimezungukwa na watoto wangu mara paap akili inariwaindi nyuma kidoogo awamu iliyopita juma pili kama ya leo nishapigiwa simu na rafiki yangu bigi tunabadilisha tuu viwanja mpka nane usiku ndio kurudi mahomu. Ila sasa hali ni tofauti naona...
 12. ankol

  Biashara ya kulaza magari

  habari zenu wana JF, Kijana mwenzenu nimefikiria bishara tajwa hapo juu ili kuweza kujikwamua na hali hii ngumu ya uchumi, Nina Kaeneo kangu ambako Nimeshindwa kukaendeleza kutokana na hali ya uchumi ilivyo ambayo imenishawishi kufanya biashara ya kulaza magari kwani mazingira yaliyopo...
 13. ankol

  Wajuzi wa hili nawaomba mnijuze

  Habarini wanandugu. Ni juzi tu nimetoka kuvuta weed kwa mara ya kwanza, ilikua misokoto mitatu tu sasa ajabu leo nimeamka sijielewielewi kabisa yaani najihisi kama kufakufa. Wadau naomba kwa yeyote ambaye anaujuzi na mambo haya anijuze hali hii inatokana na kuvuta hizo ndumu ama kuna kitu...
 14. ankol

  Nataka kununua gari Zanzibar

  Habarini wadau. Kijana mwenzenu nimezichanga za kutosha tu ili nami nimiliki gari. Katika kuangaza huku na huku nimeonelea bora niingie zangu zenji nikanunulie gari iliyotumika huko kwani nasikia huko bei ni rahisi ukilinganisha na hapa dar, kingine nahisi ya hapa dar yamelamba mileage za...
 15. ankol

  Kuna mahusiano gani kati ya pombe na mafua?

  Wadau habari zenu. Samahanini kwa usumbufu. Huwaga napendelea sana kunywa bia hasa castle lite. Tatizo nilokua nalo nikuwa kadiri ninavyoendelea kunywa na hapohapo napata mafua. Yani sielewi kwa nini hali hii hunitokea kila mara navokunywa. Naombeni ushauri kitu gani nifanye ili hali hii...
 16. ankol

  Ni ugonjwa gani huu unitesao?

  Habarini wana JF, Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa. Mwili wangu unachoka kuliko maelezo, Sisikii hamu ya kula, Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa. Inaweza kua...
 17. ankol

  Naenjoi zaidi nikigegeda michepuko kuliko mke wangu

  Habarini wadau. Mimi nimeoa miaka miwili iliyopita na nina mpenda sana mke wangu. Tatizo ni kwamba ninapofanya mapenzi na mwanamke wa nje naenjoi zaidi kuliko mke wangu. Yani ile package ninayopataga navyotembea na mwanamke asokua mke wangu ni zaidi naa ile nayopata napokua na mke wangu...
 18. ankol

  Nichukue ipi kati ya Ractis, IST au Runx?

  Wadau msaada tutani wadu. Nataka ninunue kagari kadogoo ambako hakatonisumbua sana kwenye running cost. Naomba kujua kati ya vigari tajwa hapo juu. Ni kipi ambako kinafaa zaidi katika term hizi 1.Uimara 2.Utumiaji mzuri wa mafuta 3.Urahisi wa spea 4.Car handling/Utumiaji barabarani yaani...
 19. ankol

  Nimekosa mke wa kuoa mpaka leo hii

  Habarini Wadau, Sijajua tatizo ni nini. Mpaka leo hii kila mdada ninaekua nae in relationship kwa lengo la kuja kuoana nae basi nakuja gundua mapungufu mengi tu ambayo yananipelekea kuto kumwamini kama atakua mwema katika maisha ya ndoa. Nimejaribu so many girls lakini la hawajafanania tu na...
 20. ankol

  Nina mkosi wa kupasukiwa na kondoms

  Yaani sijui ni mkosi ama ni nini?Kila mara nitumiapo kondoms ni mara chache sana kutopasuka. But mara kwa mara napata ajali ya kupasukiwa na hivi vitu ninapokua tendoni. Huwaga natumia tu hizi za kawaida. Na huwa makini katika kuzivaa lakini ajabu ni pale ninapoanza nje ndani mara najikuta...
Top Bottom