Search results

 1. rifwima

  Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

  Wachache sana watakuelewa mkuu. Manake naona wengi ni wale wakusikia tu na kukubali bila kufanya analysis. Ukweli ni kama ulivyosema hapo; umeme wa maji siyo wa uhakika kwenye "digital economy". Na hiyo ndo point kubwa ya Prof Muhongo. Mabadiliko ya Tabia nchi na matatizo mengine ya...
 2. rifwima

  Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

  Duh! Kweli Duniani kutegemeana, usimdharau mtu. Hawa wafanyakazi wa umma wamenyanyaswa, wametishwa na wamedharilishwa kwelikweli. Nakumbuka wakati mmoja siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mmoja wa wateule wa Rais, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwatambia wafanyakazi...
 3. rifwima

  Rais Magufuli ampigia simu Zitto na kumtakia apone haraka

  Hivi nyie wapiga kura wa CCM vipi? Hata kuandika kwenyewe hujui! "Lais" ndo kitu gani? "Huluma" ndo nini? Inasikitisha sana CCM inatumia ujinga wenu.
 4. rifwima

  Msaada kuhusu degree courses za CBG

  Tembelea: www.maruco.ac.tz Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 5. rifwima

  Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

  Tembelea: www.maruco.ac.tz Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 6. rifwima

  Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

  Check me hapa: www.maruco.ac.tz Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 7. rifwima

  Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

  Education Science itamsaidia: Atembelee vyuo kama Marian University College. Website: www.maruco.ac.tz Kwa maelezo zaidi. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 8. rifwima

  Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

  Watanzani wenyewe ndo hawa! Kazi kwelikweli. Unaambiwa mradi ungetekelezwa kwa FDI wewe unazungumza Habari za hela ya Serikali! Sijui kama unaelewa maana ya FDI? Kwa aina hii ya watanzania tusitegemee chochote cha maana.
 9. rifwima

  Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

  Labda neno kuropoka lina maana nyingine. Kama lina maana yake ya asili basi unachofanya hapa ni uropokaji; alafu unamsingizia mtu mwingine kabisa kuwa na Tatizo lako.
 10. rifwima

  Bila upinzani, Tanzania ingekuwa zaidi ya Japan kiuchumi

  Kweli mitanzania hamnazo ndo sababu CCM inatenda itakavyo. Yaani hii mada watu wamepita kapa, wameshindwa kabisa kuelewa!!
 11. rifwima

  Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

  Una matatizo makubwa sana. Kujiandaa kubisha, kulaghai na kukandia; ni ugonjwa. Unaumwa ugonjwa mkubwa sana.
 12. rifwima

  Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

  The same wise hakuna mtu anayefanyishwa kazi jumapili kwa sababu zozote zile. Huo ndo ustarabu na uelewa
 13. rifwima

  Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

  Kwa shule za Sekondari ni sahihi. Kwa sababu mojawapo ya kazi ya shule za sekondari za madhehebu ni kufanya missionary activities. This can not be done at a higher education. Kudhibiti uhuru wa watu hasa wa kuabudi kwa sababu za kijinga chuo kikuu ni upumbavu na kutokuelewa.
 14. rifwima

  Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

  Hivi nani aliwadanganya kwamba hivi vyuo vina taratibu zake? Hivi vyuo vimeanzishwa kwa mjibu wa sheria za nchi na siyo sheria za makanisa. Hivi vyuo vipo kwa ajili ya kugudumia pluralistic society na kwa mjibu wa sheria za nchi hasa katiba ibara ya 19, ni haki ya msingi kuwa na uhuru wa...
 15. rifwima

  CHADEMA jifanyieni tathmini

  Kumbe Polisi ni wa CCM? Kumbe serikali ni ya CCM kwa ajili ya CCM na siyo ya Watanzania? Hapa ndipo matatizo yetu yanapoanzia hapa. Vyama vya siasa viwe na majeshi yake yanayotumia mabundiki kuwalinda wanasiasa wa vyama vya siasa. Pamoja na changamoto za ujinga walizonazo watanzania...
 16. rifwima

  Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

  The current problem about being black starts with believing these lies which have been attributed by white race to undermine other races especially black race. Our problem starts by believing these lies, there no way you can become what you don't believe. Hakuna namna itakuwa mwelevu kama...
 17. rifwima

  Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

  Huyu mwanadamu gani huyu anayeweza ku-qualify binadamu wabaya na wazuri? Binadamu gani huyu anayewachagulia wenzake wazuri na wabaya. Tatizo watanzania wengi ni vichaaa na malimbukeni, hawana kitu lakini wamejaa dharau kwa binadamu wenzao. This is a serious mental case. Ebu tujiongeze...
 18. rifwima

  Wadada wanaokimbia ndoa zao na kwenda kuzaa nje, jifunzeni kwenye mgogoro wa Zari na Marehemu mumewe

  Kwani hao watoto wamepokonywa hizo Mali? Yaani mijitu inawaza Mali. Huyo Zari katangaziwa kwamba watoto watokosa hizo Mali za baba yao?
 19. rifwima

  Msaada, nimueleze kaka juu ya tabia hii ya mkewe?

  Hakuna njia nyingine isipokuwa kumueleza mhusika ambaye ni shemeji yako. Mwambie kiume ujinga na ajiheshimu fullstop.
Top Bottom