Hizo nchi unazotolea mfano zinaidad ya wat wengi kuliko tz
Marekani kuna zaidi ya watu milion 200
China zaid ya bilion 1.4
Ss kwa wat milion 50+ kuna haja ya kuwa na uzaz wa mpango
Nchi kama Denmark,Ukrain leo hii wanalia kuwa na idad ndog ya watu
Nchi imejaa wazee t vijana hakuna na hayo ndo...
Hapo bila kutafsir unadhan hizi shule za st. Kayumba kuna mtt atakaelewa???
Hao wanafunz wanaokuja sekondari IQ zao zip chini sanaaa
Hata kutamka neno la kingereza ni ishu
Utamfundishaje mtt kama huyo hata kusoma sentens ya kingereza hawezi??
IF IT AINT BROKEN DONT FIX IT
ww mwenyew...
kwani mmeshasahau?????
katiba ilibadilishwa..mwenyet aliopo madarakani anapita bila kupingwa mpaka kipindi cha ukomo wake ma madaraka ufike[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pc yangu Dell latitude inawaka kwa sekunde kadhaa,taa za kuwaka zinaonesha imewaka
Display haionesh chochote halafu inajizima gafla yenyewe
Je tatizo hapo ni nini?????
Kwa dhana hyo ingekuwa kila anaejiajir bas ni billionea hasa kwa nchi yet hii ya tz
Kila mtu anajinasif kajiajir lakin hatuon chochote kinachofanyika
Hao mabilionea wenyew waliojiajir tz ni wakuhesab
Mbona hatuwaoni nyie mliojiajir hum??
Mbona kuna wajasiriamal wengine wamewekeza kweny elimu...