Habari,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), wanafanya Mkutano na waandishi wa habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, Ufipa, Kinondoni, Dar es Salaam, kuanzia saa 5 asubuhi, leo Jumatatu, Mei 6, 2019.
Tutawaletea Updates ya kila kinachojiri
UPDATES:1115HRS
Bado hawajaanza...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
JESHI LA POLISI LIWAACHIE WENYEVITI WA VIJIJI WALIOKAMATWA ZIARA YA RAIS MAGUFULI, MKOANI MARA
Wenyeviti wawili wa Serikali za Vijiji, Jijini cha Natta, Kata ya Natta, Serengeti na Kijiji cha Kewanja, Kata ya Kemambo, Tarime Vijijini ambao wote wanatokana...
Ni kama anautekeleza nusu nusu. Ausome vyema ushauri huu aone Wazee wa CHADEMA walimshauri kukutana na makundi gani katika jamii na afanye kitu gani.
BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA
TAARIFA ILIYOSOMWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 13/03/2018
Ndugu wanahabari
Baada ya tafakuri ya kina kuhusu...
Kuhusu habari za kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHAADEMA) kimejitoa kushiriki uchaguzi wa marudio katika majimbo ya Kinondoni, Siha na kata nane;
1. Ni uzushi unaosambazwa na watu ambao wameona dalili za kushindwa uchaguzi huo, hivyo wanafanya mbinu za kuuhadaa umma wa Watanzania...
BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA
TAMKO LA BARAZA LA WAZEE KUPITIA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA WAZEE DUNIANI 1/10/2017
Ndugu wanahabari
Tunashukuru kwa fursa hii nyingine ya kukutana na kuzungumza na Watanzania kupitia vyombo vyenu vya habari.
Kama mjuavyo leo ni Siku ya Wazee Kimataifa ambayo...
Kuhusu mchango wa matibabu ya Mhe. Tundu Lissu
Tunaomba kuwataarifu wanachama, wapenzi na wafuasi wa CHADEMA pamoja na watu wote wenye mapenzi ambao wanawiwa kuchangia kiasi (kitu) chochote kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki...
Hivi kwanini Waziri wa Ujenzi wakati huo aliuvunja huo mkataba wa serikali na SCEL? Kwanini fedha hazikulipwa wakati zikingali dola mil. 25?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hilo kosa la kusema makosa ya rais hadharani ni kosa kwa mujibu wa kifungu gani vile katika vitabu vyetu vya sheria nchini? Sheria za nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu, amekamatwa na Mlinzi wa amani alipokuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime-Rorya linamsaka kwa nia ya kumkamata na kumweka chini ya ulinzi Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche muda mfupi baada ya jeshi hilo hilo kumwachia kwa dhamana na kumtaka aripoti kituoni Agosti 6, mwaka huu.
Kama ilivyotaarifiwa awali kuwa Mbunge huyo...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA
TAMKO LA KULAANI KAULI AU MAPENDEKEZO YA MZEE ALI HASSAN MWINYI YA KUTAKA KUVUNJWA KWA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Ndugu waandishi wa habari
Sisi, Baraza la Wazee wa CHADEMA tumeomba kukutana nanyi leo kwa...
Katibu Mkuu wa Chama Dkt. Vincent Mashinji amemaliza mkutano na waandishi wa habari punde ambapo ametoa kauli ya chama kuhusu mjadala wa suala la mchanga wa madini
(makinikia), sekta ya madini na msimamo wa Chadema katika kulinda rasilimali za nchi kwa ujumla kwa maslahi ya Watanzania.
CHAMA...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA HALIMA JAMES MDEE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA...