Search results

 1. kombaME

  Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

  Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala. 1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo. 2. Usizae na mwanamke msomi...
 2. kombaME

  Msaada hii alama ina maana gani kwenye Redmi 9t

  Wakuu kuna alama inatokea kwa juu kwenye notification pale, nimejaribu kufactory reset ila bado ipo, ukiwasha data au ukizima bado ipo tu, ila ukitoa lain ndo inapotea. Ukiweka tu lain inakuja haijalishi data ipo on au off. Na hiyo notification inakuja na kupotea, km nilivyotuma kwenye picha...
 3. kombaME

  Wanaume tuishi na Wanawake kwa akili

  Mungu aliposema tuishi nao kwa akili alikuwa na maana yake kwasababu alijua kwamba wana akili sana na ni yeye ndiye aliyewaumba, usijaribu kumbishia kwasababu kipindi anawaumba wewe hukuwepo, katika maneno muhimu aliyeamua kuyaandika na hili la tuishi nao kwa akili akaliweka, kama unavyojua...
 4. kombaME

  Kubana matumizi ni moja ya sifa muhimu ya mke bora

  Naona mnalisahau sana hili, mnazungumzia chura, mara sijui mcha Mungu lakin nawaambieni njia rahis zaidi ya kuwa maskin ni kumpata mwanamke asiyejua kubana matumizi, mwanamke anayependa kushindana na kujionesha kwamba always yupo juu. Mwanamke wa namna hii ni tatizo, utatafuta hela sana...
 5. kombaME

  Wanawake Tafuteni hela zenu, Kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

  Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela. Wadada...
 6. kombaME

  Namshukuru sana Mzee wangu kwa kunifanya kuwa "mwanaume"

  Nimemkumbuka baba angu leo, asubuhi nikampigia simu tukaongea zaid ya dk 40 tumeongea mengi sana, huyu ni mzee wangu, mzazi hasa ni zaidi ya mlezi kila kitu nilivyo leo ni msingi wa huyu mzee, km ni bahat namshukuru Mungu baba nimepata asee, simuweki mbali mama angu ila baba ni zaid kwangu japo...
 7. kombaME

  Hebu lete "top 3" ya mechi bora za fainali UCL kuanzia mwaka 2000 na kuendelea

  Kwa upande wangu 1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta 2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya moto, niwaambie tu wadogo zangu, Arsenal mnayoiona sio hii. 3.2008, Man u Vs Chelsea, dk 90 1-1...
 8. kombaME

  Mjadala: Kwanini shule za Kiislamu hazifanyi vizuri kwenye matokeo ya Mitihani

  Naomba uzi uwe safi, udini usiingie humu, nazungumzia shule za kiislam sio dini ya kiislamu, maana huko kweny shule hata walimu wakristo wapo, ila huwezi kumkuta mkristo kwenye dini ya Kiislamu. Karibuni walimu mnaofundisha huko, wazoefu kt kuendesha shule, na wadau wote, Kwanini shule za...
 9. kombaME

  Ukweli Mchungu kwa Waafrika

  Jisomee mwenyewe
 10. kombaME

  Wanamichezo hebu njooni tuongee kidogo kuhusu Azam Fc

  Hii timu ndio iliaminika kuwa mbadala wa Simba na Yanga katika mfumo mzima wa uendeshaji na ili hilo lithibitike lazima timu iwe competitive, lakini naona kama Azam inakoelekea siko kabisa, ilianza vizuri ligi na hii hutokea mara nyingi lakini sasa hivi naona imeanza kurudi nyuma zaidi, mechi 6...
 11. kombaME

  Kumpenda mtu asiyekupenda inakera lakini kupendwa na usiyempenda inakera zaidi

  Utakuta mtu humpendi alafu yeye anakupenda kupita maelezo, huwa ni kero kubwa sana, anakuganda anapiga simu mfululizo kama umemchukulia maini yake, ukimblock anakutafuta kwa namba mpya anaandika msg za kulalamika hadi kero, usiombe kupendwa na mtu usiyempenda, inakera sana hii kitu
 12. kombaME

  Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

  Mdogo wangu mpendwa amechaguliwa hapo first round, naomba msaada kufahamishwa mambo kadhaa.. 1. Malazi, vp kuhusu hili, kuna hostel za kutosha au ajipange kuchukua room mtaani, au anatakiwa awahi sana ndo atapata? Na km anapata hostel wanaishi wangapi kwa room moja? 2. Chakula, gharama za...
 13. kombaME

  Kuomba tena chuo wakati ulipata mara ya kwanz inaweza sababisha upoteze nafasi kwenye chuo ulichopata?

  Dogo amechagulia SUA Bsc.Human Nutrition, ashapewa hadi admission letter, sasa yeye hataki, anataka MD, ameamua kuapply tena vyuo vingine kujaribu kuomba MD, sasa je hii inaweza kusababisha SUA atemwe? Au haina madhara?
 14. kombaME

  Sababu ya mashabiki wa yanga kuwapiga mashabiki wa simba ni hii....

  Simba na Yanga ni watani wa muda mrefu, utani unaendana na majigambo na tambo za hapa na pale, sasa kwa miaka hii ya karibuni Simba imeiacha mbali sana Yanga zaidi ya kuwa bingwa wa Kihistoria Yanga hana lingine la kumtambia Simba, ndo maana inapofika kwenye utani Simba wanakuwa na tambo nyingi...
 15. kombaME

  Top 4 EPL 2020/2021

  Lete yako, mimi yangu... 1.Liverpool 2.Chelsea 3.Man city 4.Man united
 16. kombaME

  Kaka yangu Lissu utakuwa tayari kupokea matokeo ya Urais pindi utakaposhindwa?

  Tundu Lissu, mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chadema, ni mwanasheria nguli sana mwenye asili ya kutopenda kushindwa na kung'ang'ania jambo, alipigwa risasi nyingi mwilini mwake lakini Mungu amemsaidia amerudi akiwa hai japo amepata hitilafu kadhaa katika mwili wake. Najaribu kumuangalia huyu...
 17. kombaME

  Kwasasa Yanga haina kocha mkuu wala Msaidizi, wanasajili wachezaji kwa kufuata ushauri wa nani??

  Hii inanishangaza sana, Maana ninachojua Mwalimu ndo huwa anapendekeza aina gani ya mchezaji asajiliwe kutokana na falsafa yake na aina ya mpira anaofundisha, sasa hawa Yanga wanasajili vipi wachezaji bila Mwalimu?? Nani anashauri mchezaji wa kusajiliwa?
 18. kombaME

  Mabinti wanachukia mahusiano mapya maana inawabidi wazuge hawapendi hela mwezi mzima

  Ile kujifanya wife material na usimuone amekupendea hela inabidi wajibanebane asiombe hela angalau mwezi, huku wanatamani kuhongwa balaa na kukutengenezea mazingira ujiachie akupige kirungu cha maana
 19. kombaME

  Diamond Platnumz na WCB kiujumla mnatukosea

  Nyie watu mnatukosea sana, mmeamua kabisa kuyachosha masikio yetu, hadhi ya Diamond na Wasafi kwasasa ni kubwa sana, kwasasa mpo kwenye wakati wa kutengeneza uniqueness yenye hadhi ya juu, kwanini mnatufanyia hivi?? Hapa katikati mmeanza kutoa nyimbo ambazo hazieleweki, mnapayuka payuka tu...
 20. kombaME

  Kwanini tuzo za BET2020 hakuna msanii hata mmoja kutoka Afrika Mashariki?

  Nimejaribu kucheck orodha sijaona hata msanii mmoja kutoka nyumban na EA kwa ujumla, hii maana yake nini? Mziki wetu umeshuka? Au wasanii wetu washalizika? Au tuseme ushindani umezidi... Majina ya wanaowania tuzo kwa wasanii kutoka Afrika; Burna boy (Nigeria), Innos B (Congo), Sho madjiz...
Top Bottom