Search results

 1. stickvibration

  Tigo, kwanini mnatulazimisha kukopa kwa kuweka kiasi kikubwa cha bando kwenye Tigo Niwezeshe?

  Mimi ni mteja wa hii kampuni kuanzia Tritel hadi kampuni kuuzwa kwenda Mobitel pia kampuni ikauzwa kwenda Buzz hadi leo hii kufikia kampuni kuitwa TIGO. Mimi yule yule nipo tu na hata namba ni ile ile tu. Tatizo kubwa ni pale nikitaka kujiunga Siku Bonus ya Internet napata ofa ya 2000=1GB kwa...
 2. stickvibration

  Tigo sometimes mtuhurumie

  Naimani wana JF wenzangu wote hamjambo na asubuhi njema hii, bila ya kuelezea sana turejee kwenye mada yetu kujiunga tigo size yako, unapata dakika kadhaa na gb2.5 kwa sh 2500 wiki nzima. Cha ajabu hizo mb 2500 ni wizi mtupu sijaingia youtube wala twitter wala sija download kitu na pia na...
 3. stickvibration

  Usijaribu kuchaji Simu yako kwenye bus za Ally's Star

  Bila ya kuchelewesha muda Wana JF wenzangu, nirejee katika mada kwa yaliyonikuta, nikiwa safarini kutokea Dodoma kuelekea Mwanza na Ally's Star Bus. Ilikuwa ni alfajiri ya saa12 asubuhi tulipoanza safari yetu, nikiwa nimekaa kwenye seat yangu ilikuwa ni namba moja (Extra One). Baaada ya kupita...
 4. stickvibration

  Tunabishana hapa

  Kuna jeshi la migambo Kuna jeshi la police Kuna jeshi la FFU Kuna jeshi la JWTZ.. [emoji134] Eti tuna bishana ni jeshi lipi likiingia mtaani lazima pawe kimyaaaa...[emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
 5. stickvibration

  Naomba msaada wa kuwapata wataalamu wa Cyber Crime

  Naomba msaada kwa wenye kufahamu namba za Wahusika wakuu wa Cyber crimes (TCRA) nimeibiwa simu na IMEI namba ninazo Sent using Jamii Forums mobile app
 6. stickvibration

  Mh Rais Wetu asipochaguliwa 2020 kutuongoza,Nitaandamana

  Wanajamvi bila ya kusita masema toka moyoni kwangu mimi sina chama wala sio mwana siasa Lakini wallahy kama rais magu hajapita ktk uchaguzi wa 2020 ntaandama,potelea mbali wacha nife,jina langu na kumbukumbu itabaki kwa wana JF wenzangu[emoji1321]‍♂️
 7. stickvibration

  ANDIKA “YES”

  Kama kweli wewe unaamini kuwa utakuwa na mapenzi na JAMII FORUM mpaka mwisho wa uhai wako andika “YES”[emoji1427]
 8. stickvibration

  Wahenga Mpo?

  Hii ilikuwa ni Awamu gani?
 9. stickvibration

  Msaada jinsi ya kumpata Mwewe wa Clouds

  Wanajamvi naomba mnijuze jinsi gani ya kumpata yule mwewe wa clouds Tv, manake sisi wakazi wa huku kirumba mwanza tumechoshwa na mgao wa umeme na barabara zimeoza
 10. stickvibration

  Kwa wale wana JF wenzangu wenye kutegemea maji ya visima watapata tabu saana kuvilipia

  Kwa wale wana JF wenzangu wenye kutegemea maji ya visima watapata tabu saana kuvilipia
 11. stickvibration

  Uzi maalum kwa wale waliotengana mume/mke

  Bila ya kupoteza muda, natumai wote mpo salama, wanajamvi, Ningependa tuchangie hoja katika uzi kuwa ni kipi ama kitu gani unacho kikumbuka sana alichokufanyia mkeo ama mumeo wakati bado mkiishi pamoja. Kwa mimi binafsi hakuna kitu ninacho kimiss kwa mama watoto wangu kabla ya kutengana nae...
 12. stickvibration

  Aina 8 za wanaume hatari

  _____________________________________ *AINA NANE ZA WANAUME HATARI.* *↓↓ 1-ASIE PENDA KUFANYA KAZI AKISUBIRI ALISHWE NA MKE.* Huyu ni hatari kwa sababu hatokuwa na ujasiri wa kumkemea mke pale anapokosea kwa kukhofia mke asije kasirika na kusitisha huduma ya kuilisha familia. *↓↓ 2-ADHWWAAQ...
 13. stickvibration

  Tetesi: Bora muandamane mitandaoni tu

  Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
 14. stickvibration

  Tetesi: KUELEKEA KWA VITA VYA 3 VYA DUNIA

  Rais wa Marekani amewafukuza wanadiplomasia 60 wa Russia waliopo nchini humo na Rais wa baraza la Ulaya Donald Tusk amesema wanachama 14 wa umoja wa Ulaya utawafukuza wanadiplomasia wa Russia kwa kile alichodai kuunga mkono Uingereza ambao ndio walioanza kuwaondoa wanadiplomasia Russia kwa kile...
 15. stickvibration

  Uzi maalum kwa waliofumaniwa na kusutwa

  Habarini wakuu, Kama mada inavojieleza hapo juu. Sioni sababu ya kusema mengi saana Isipokuwa hakuna siku ambayo sintoisahau kama ile sikukuu ya VALENTINE DAY. Nilimdanganya dem wangu kuwa nimepata safari ya ghafla ya kwenda Dar kikazi, Huku nikawa nimeshampanga mchepuko wangu ntatoka nae...
 16. stickvibration

  Standard Gauge ikikamilika,ipewe jina la MAGUFULI TRAIN

  Habari za Jumapili wanajamvi wenzangu, Leo nimekuja hapa kutoa mapendekezo tu au niseme kwa mtazamo wangu binafsi hii reli yetu inayojengwa kwasasa hapa nchini siku ikikamilika ipewe jina la MAGUFULI TRAIN. Nasema haya kwasababu hii project ya Standard Gauge ni historia ktk nchi yetu kuwa na...
 17. stickvibration

  Tutafakari hivi inakuaje hadi mh mbunge kuachia kiti chake?

  Msaada wakuu:-Najiuliza saaana lkn sijapata bado jibu lake, hivi inakuaje mbunge wa chama fulani wa jimbo flani ameng’atuka rasmi ubunge na kukihama chama chake na kujiunga na chama fulani, Yaani mtu anaweza kufanya maamuzi kama hayo na kuutema mshahara wa ubunge, posho za bungeni, mkopo wa...
 18. stickvibration

  Natafuta soko la samaki aina ya kambale

  Msaada kwa mwenye kufahamu soko la samaki aina ya kambale anifahamishe Ninao wengi saaana ktk bwawa langu
 19. stickvibration

  Ni kitendo gani ukifanyiwa unajihisi sio poa

  Wanajamvi hatimae nimerejea tena kwenu kuhusiana na hili swala la ukifanyiwa kitendo na mtu ama mwenzako unajihisi sio poa kabisa Kwa mimi binafsi nikimpigia mtu simu halaf akaikata hua najisikia vibaya saana Sasa sijui na nyinyi wenzangu ni kitu gani ukifanyiwa unajihisi sio poa
 20. stickvibration

  Kwa wale wafugaji wa kuku wa kisasa na wa kienyeji tukutane hapa

  Habarini wafugaji wenzangu natumai nyote ni wazima. Kama mada inavyojieleza hapo juu,nia hasa nikupeana ushauri juu ya ufugaji wetu wa kuku,na kuambizana jinsi gani ya kupambana na maradhi yanayowasibu kuku zetu
Top Bottom