Search results

 1. jobe ayoub

  Heka 20 zinauzwa bei poa

  Kwa wale wenye kuhitaji mashamba yenye ardhi mpyaa(virgin land), haijawahi kulimwa chochote. Au wajariamali wanaotaka mapori ya kuanzisha shule za bweni au viwanda. Basi wawasiliane nami watapata taarifa kamili. mahali: Kijiji: KIPANGEGE Kata: SOGA KONGOWE/KIBAHA UMBALI: KM 15, Kutoka...
 2. jobe ayoub

  Dr. Kitila na Mwanakijiji wawavaa wapinzani na wahafidhina...

  Kitila Mkumbo Bado tuna safari ndefu sana ya kuwaelewa CCM. Yaani kuna mtu alitarajia kwamba Sitta angetenda tofauti na wanavyotenda CCM? Yaani kuna watu walijifanya kusahau kwamba Sitta ni member wa cabinet au ndio kusema hawajui jinsi cabinet inavyofanya kazi? Yaani Waziri mwandamizi...
 3. jobe ayoub

  Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

  Samuel Sasali anasema:- Kulikuwa hakuna haja ya Kutumia Mamilioni ya fedha kwa ajili ya Tume Ya Warioba Kukusanya maoni na Kujifungia wakati Rais anasema yale mambo ya muungano yanaweza kutatulika. Kulikuwa hakuna haja Kukusanya maoni ya Watanzania Kwa ajili ya Ukomo wa Ubunge wakati...
 4. jobe ayoub

  Lissu amvaa tena zitto.....

  . Zitto atatimuliwa MNADHIMU Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tindu Lissu, amesema Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe atakoma kuwa mwanachama mara tu baada ya mahakama itakapolirudisha suala hilo chamani. Katika mahojiano maalum...
 5. jobe ayoub

  Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

  Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?
 6. jobe ayoub

  Mbwembwe za udiwani moro chadema achukua form......

  Msafara wa mgombe udiwani kwenda kuchukua fomu uwanja wa nanenane zilipo ofisi za Msimamzi wa uchaguzi MGOMBE Udiwani kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro kwa tiketi ya Chadema Juma Tembo juzi amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo kwa mbwembwe baada ya kusindikizwa na msafara wa magari...
 7. jobe ayoub

  Waziri mwakyembe afanya ukaguzi wa bei za tiketi alfafjiri maeneo ya visiga

  Waziri wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri...
 8. jobe ayoub

  Kweli CCM ni mzigo kwa wa-tz,sikia ya mama Makinda leo bungeni...

  Baada ya kuombwa mwongozo wa kumlipua Zambi(mbunge na mwenyekiyi wa ccm-mbeya) kuchukua hela za safari kwa kazi za kibunge na kuzitumia kwenye ziara na kinana na kushindwa kufika eneo la tukio; Makinda ajibu; Jamani wabunge nimeshasema wale wote waliochukua hela za umma na hawakufika kwenye...
 9. jobe ayoub

  Werema jibu hoja hizi kwa watanzania sio kung'ang'ania Zitto...

  (Hayo ndio maazimio ya Bunge ambayo Werema anakwepa kueleza utekelezaji wake. Hii ni vita ya Watanzania, Waafrika na wanyonge wote. Sio vita ya mtu mmoja. Wanaharakati wabebe kazi hii takatifu ya kutokomeza ufisadi) Hayo ndio maazimio ya Bunge ambayo Werema anakwepa kueleza utekelezaji wake...
 10. jobe ayoub

  Record za ccm zisizoweza kufikiwa na chama chochote tanzania

  Hata kikiingia chama kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za CCM kuvunjwa 1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa nini nchi yake ni maskini 2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia bungeni baada ya...
 11. jobe ayoub

  Ilimtoka povu dkt. Asharose Migiro alipotembelea mkoani Njombe

  Gari aliyokuwa amepanda Katibu wa NEC,Siasa na mahusiano ya Kimataifa,Dkt Asharose Migiro ikiwa imepoteza muelekeo,kufuatia eneo hilo kukumbwa na utelezi mkubwa kutokana na mvua iliyokuwa imenyesha.Dkt.Migiro alikuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana walipokuwa...
 12. jobe ayoub

  Huu ndio utatu wenye tofauti ulio katika CHADEMA..Slaa, Zitto na Mbowe

  NAKUMBUKA vema kana kwamba ilitokea jana tu. Takribani miaka kumi iliyopita, kijana mmoja mwembamba alisimama katika mojawapo ya kumbi zilizopo ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Alikuwa akiomba nafasi ya kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA. Baadaye...
 13. jobe ayoub

  Mashamba yanauzwa..

  Kwa wale wenye kuhitaji mashamba,basi waje kwangu.nauza mashamba ya heka(acres) 20. mahali yalipo. kijiji cha VIKUGE (SOGA) kongowe-kibaha km 15 kutokea kongowe. kwa maelezo zaidi wasiliana nami.. 0717 096 380 KARIBUNI
 14. jobe ayoub

  Ripoti ya un: Yaianika serikali, yadai watanzania ni watu wasio na furaha

  RIPOTI YA UN: YAIANIKA SERIKALI, YADAI WATANZANIA NI WATU WASIO NA FURAHA Naibu waziri wa fedha, Saada Salum Wakati Tanzania ikitajwa kuwa ni miongoni mwa nchi zenye amani na utulivu, imebainika kuwa Watanzania ni miongoni mwa watu wasio na furaha na waliokata tamaa hapa duniani. Ripoti...
 15. jobe ayoub

  Wanawake 8,000 singles waandamana kuishinikiza serikali iwasaidie waolewe!

  kumbe kuna watu wanalilia ndoa,wengine wanafanya madudu Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single wiki iliyopita waliandamana kutokana na upungufu...
 16. jobe ayoub

  Lipumba alivyo mtathimini Kikwete

  ‎ Mwenyekiti wa chama cha wannachi (CUF)Pro Ibrahimu Lipumba alisema rais kikwete ana weza kuweka rekodi ya rais wa mwisho... katika kusimamia shughuli za serikali toka tulipopata uhuru , alisema katika marais wote waliomtangulia, rais Kikwete ameshindwa vibaya katika kusimamia...
 17. jobe ayoub

  Nyerere ana maneno huyo!!

  "...Kama mtu akikufanyia jambo la kijinga, ukajua kakufanyia jambo la kijinga, naye akajua amekufanyia jambo la kijinga ukakaa kimya, atakaudharau....BY JK Refer, jinsi ccm wanavyotufanyia ufisadi wanajimikisha nchi na kutufanya mazuzu kwa sababu tumekaa kimya. sasa wemefikia mahali viongozi...
 18. jobe ayoub

  Kesi ya viongozi wa CHADEMA kesho

  Kesi ya maandamano ya January 5,inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA, Mh Mweyekiti Taifa, Mh Katibu mkuu na wenzanke itaendelea kesho mahakama kuu Arusha, tujitokeze kwa wingi
 19. jobe ayoub

  Story mbaya yenye mafunzo mabinti

  Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi letu likawa huru alipoanza maisha yake mwenyewe. Sikuwa najua lolote kuhusu mapenzi...
Top Bottom