Search results

 1. Chujio

  atii...hebu tufikirie kidogo

  salamu! kwa wale wakristo.. na waamini wengine ati medically speaking, na kwa physiological facts naombeni sababu zilizopelekea kifo cha Yesu 1. hypovolemic shock 2. shock due to pain 3..... 4..... 5..... .. .. .. karibuni tujadili.. naomba tusiliidiscuss kwa kulenga imani, let's view it...
 2. Chujio

  waandishi wa magazeti...msituharibie lugha tafadhali

  hili halijaanza jana wala juzi ila siku hizi imezidi mno na kuwa kero. tafadhali sana waandishi wa magazeti, naombeni mzigatie uandishi wa kiswahili fasaha na sahihi pasipo kukera wasomaji... unakuta mwandishi kabisa anaandika neno "razi" au "lazi" badala ya radhi kwenye gazeti linalosomwa na...
 3. Chujio

  sikiliza mazungumzo haya...

  wikipedia: ninajua kila kitu google: nina kila kitu facebook: namjua kila mtu internet: bila mimi hamna kitu umeme: endeleeni kuongea.....
 4. Chujio

  Hodi..hodi....

  hodi hodi uwanjani, kwa wa vioo vya rangi na wa viganjani, nakaribia uwanja wa nyumbani, ....niendelee? :redface:
Top Bottom