Search results

 1. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Kabisa ,maisha mafupi sana
 2. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Kaikuta pombe mkuu.
 3. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Nitakuvunjia mm kwako sasa
 4. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Sasa mm sinywi kijinga hivo utapata wapi nafasi ya ujinga huo, nakunywa pombe inatosha naenda home nikiwa fiti.
 5. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Usizingue ujue
 6. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Sema mwenyewe nataka niache ila sasa kuna nguvu inanishinda
 7. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Umeona sasa mkuu Nina mwaka mzima tunaishi hajakwama chochote.
 8. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Pole pole mkuu matusi sio poa
 9. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Iko hivi yy hapendi ninywe haijarishi nilewe au nionje na matumizi ndani nafanya kama.kawaida. nmvisha namlisha kila.kitu yani. Yy anachukia kitu kunywa pombe basi
 10. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Pombe za kawaida mkuu, sometimes kuna kuzidisha ila sio Mara zote pia kwa mwezi naweza tumia Mara 2au 3
 11. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Kabisa namuona mama.bora
 12. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Sio Mara zote nakunywa kwa furaha mkuu wakati mwingne hasara tu. Sema kuacha sasa.
 13. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Kuna kitu hapa kikubwa sana.
 14. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Wee sio mtumiaji wa tungi, huijui !!
 15. Hendisamu

  Pombe inaharibu mahusiano yangu

  Aiseee unadhani kubadilika ni simple mkuu.
Top Bottom