Search results

 1. Tuna

  Afrika Kusini: Mtanzania atuhumiwa kuchoma moto Chuo Kikuu cha Cape town

  Habari za Mchana Wakubwa,Kuna news inatembea inamuhusisha Mtanzania na Uchomaji moto wa University of Cape town. ===== Frederick Mhangazo has appeared in CPT’s Regional Court on Tuesday, accused of starting the Cape Town fires that destroyed almost 600 hectares of land and several local...
 2. Tuna

  Wakamatwa na dawa za kulevya wakiwa njiani kuelekea Zanzibar

  Habara za saa hizi Wakuu,Kuna hizi habari sijuwi kama zina ukweli sema ni kwamba kuna jamaa Wawili na Dada mmoja wameng'oka na kilo kadhaa za Heroin wakiwa njiani kuelekea Zanzibar.
 3. Tuna

  TANZIA: Ndugu yetu Hamza Shaaban Semboga a.k.a GAZZA ambao umetokea Jumatatu asubuhi Goodwood station in Cape Town

  Wakuu habari za mida hii Nilikuwa nataka kuwafahamisha habari ya Msiba wa ndugu yetu Hamza Shaaban Semboga a.k.a GAZZA ambao umetokea Jumatatu asubuhi Goodwood station in Cape Town. Marehemu alichomwa visu na Mtanzania Mwenzake wa kuitwa Chamchele. Tuko kwenye mipango ya kusafirisha...
Top Bottom