Search results

 1. Mapolomoko

  Majambazi yanatamba yatakavyo wilaya ya Biharamulo

  Tunaomba IGP aongeze nguvu, vijana wake wameshindwa. Kwa juma moja wameshavamia nyumba zaidi ya tano. Wananchi tunaishi kwa hofu kwani ni mara ya kwanza kuvamia mjini.
 2. Mapolomoko

  Msaada: Elimu ya watu wazima

  Wadau wa Elimu mi nataka kujiendeleza japo umri umekwenda. enzizetu kwenda shule ya upili ilikuwa shughuri. ukizingatia shule ilikuwa moja MWANZA na baadae ikaja PAMBA. nifuate nini ili niweze kusoma Elimu ya watu waziwa. nimeishia std (vii) asanteni
 3. Mapolomoko

  Kutoa taarifa POLIS ni hatari kwa maisha yako

  Naomba mada hii isifutwe ili watu wawe na tahadhari wakati wa kutoa taarifa za kiharifu. Iko hivi mwezi wa saba nilienda kutafuta eneo la kuchimba Bwawa la samaki nilienda mpakani mwa poli la BURIGI na kitongoji cha KISUMA. ktk pitapita zangu --->
 4. Mapolomoko

  Uchaguzi CHADEMA Biharamulo

  Mwenyekiti Bavicha Deus lusiani. katibu Venas Lubaga. Bawacha Mwenyekiti Pendo Ngonyani, katibu ni Oliva Martin. Mwenyekiti wazee Mantoni Kanywagi, katibu Batromeo. Kamati tendaji ni Dastan, Juma Masankara, Hawa Idirisa na Elias Selemani.
 5. Mapolomoko

  Wakati mkihangaika kuihujumu,CDM, sisi tunaimarisha

  Wapenda mabadiriko ote mnaombwa kuchangia ujenzi wa OFISI ya chadema jimbo la BIHARAMULO magaribi. hapozamani hatukuwa na Ofisi tulikuwa tunapanga ktk majengo ya watu, mbunge wetu MBASA na madiwani wakachanga wakanunua kiwanja jirani na kwa marehemu FARESI KABUYE (mbunge wa zamani TLP) hivyo...
 6. Mapolomoko

  Wakati mkihangaika kuihujumu,CDM, sisi tunaimarisha

  Wapenda mabadiriko ote mnaombwa kuchangia ujenzi wa OFISI ya chadema jimbo la BIHARAMULO magaribi. hapozamani hatukuwa na Ofisi tulikuwa tunapanga ktk majengo ya watu, mbunge wetu MBASA na madiwani wakachanga wakanunua kiwanja jirani na kwa marehemu FARESI KABUYE (mbunge wa zamani TLP) hivyo...
 7. Mapolomoko

  Naomba kuuliza kuhisu mafunzo ya JKT kwani siyaelewielewi

  Huu mpango wa vijana ote wanao taka kuingia vyuo vikuu mbona haufuati utaratibu wa kijeshi? ninamaanisha kupima afya ya mlengwa kabura ya kuanza mafunzo, nasema haya ni kutokana na maelezo ya jeshi lenyewe kuwa binti aliye kufa amekufa kutokana na upungufu wa damu ambao ni tatizo lake la...
 8. Mapolomoko

  Nataka kuninua Laptop

  Nimeiona aina ya (NEC) mi sina uzoefu (utaaramu) msaada kwa anae ijua aina hii
 9. Mapolomoko

  Twimelagi Abhasuku.ma

  Wadumoka waliso gete mhwanji gwamunyo
 10. Mapolomoko

  Homa ya Dengue imeishia wapi?

  Kwanini watawala wetu hawawi wakweli, kwanini wasituambie kama walivyo tuambia Mikoa ya kanda ya ziwa kuwa tunapulizia sumu ya ukoko a.k.a. (sumu hatari ya D.D.T) au mnajua mkiwaambia watu wa Dar kuwa hii ni sumu ya D.D.T watakataa kupuliziwa? kwani sumu hii ni hatari kwa viumbe hai. naona...
 11. Mapolomoko

  Mwana mziki JET MAN ni mgonjwa

  Ndugu zangu wana JF, Hususani wanamziki na wakazi wa MWANZA . mtajwa hapo juu ni mugonjwa sana kwani hawezi hata kutembea, kwa. kwa wasio mfahamu anaitwa SAMSON WILISON alisomea shule ya msingi Nyamanoro na kuhitimu mwaka 1994, akajiunga ktk mziki enzi za kina JONTWA JOKER,kwa atakae guswa...
 12. Mapolomoko

  Msimu wa Asari

  wana JF hukuniliko kwasasa huu ndio msimu wa Asari, kwa anaehitaji ujazo wa lita 20, ni shilingi 150,000. utaletewa popote ulipo
 13. Mapolomoko

  Wabunge wa Zanzibar

  kwa ujumla wao, wanaume kwa wanawake, wamejaariwa kwa rugha za kashifa
 14. Mapolomoko

  Wapigwe tu, yageukia asikari polisi. mmoja atolewa jicho

  Asikari polisi wa Biharamulo Kagera jumapili ya talehe 26, amepata kipo cha mbwa mwizi kutoka kwa asikari wa JWTZ Biharamulo. ilikuwa hivi. mnamo saa saba usiku wakiwa doria, walienda kufunga disiko Robart Hotel. na kuwakuta njagu. ndipo ukatokea
 15. Mapolomoko

  Doctor wa humu msaada wa haraka unahitajika

  Wapendwa habarini za asubuhi jana arufajiri niliamka kuwahi shamba nikiwa njiani alitokea mdudu na kuniuma mdomo wa juu mdomo ukaanza kuvimba. nilivumilia uvimbe nikijua utaisha, mdaulivyokuwa ukisonga ndinvyo na uvombe ulivyokuwa unaongezeka. ni.eamka asububi hii naona hata uso nao umevimba...
 16. Mapolomoko

  Kikongwe auwawa usiku huu Biharamulo

  Leo nimelala shambani. mdahuu tunaamshwa, kwenda kwenyetukio la kuuwawa kwa bibi mmoja. kauwawa na watu wasio jurikana. nikitongoji cha Kibengo, kijiji cha Luziba, kata ya Luziba, Biharamulo Kagera.
 17. Mapolomoko

  Murugenzi wa chama cha waathirika (SHIDEFA) Biharamulo

  Inasikitisha na kuhuzunisha sana kuona anae takiwa kuelimisha ndiye anae poteza huyu jamaa anasambaza HIV kwa makusudi. anatembea na watumishi wa ndani hapa wilayani kwa kuwarubuni yeye ni mtu wa Ngara, na hawa dada zetu wengiwao hapa wana toka Ngara
 18. Mapolomoko

  Wana mme inatuhusu

  uvaaji wa chupi au nguo yoyote inayo bana inasababisha haya kwa mtambo wa kutengenezea watoto (1) kupinda (2) kupungua ulefu ndo sababu hawapo wanao weka vipini (nzinga) kwasasa (3) kupungua nguvu. vaa pajama ili wakati wa asubuhi ijinyoshe vizuri,
 19. Mapolomoko

  Nataka kurudi kwetu nifanyeje?

  Habari ndugu ktk JF. Mi kabira langu ni Mngoni. ninataka nirudi kwetu, A/KUSINI. sasa nauliza nifanyeje ili nirudi kwetu
 20. Mapolomoko

  MSUKUMA mgonjwa mahututi atoa mpya

  Kunamusukuma aliugua mahututi. ikabidi abebwe kwenye machela kubelekwa kwenye tiba, wakiwanjiani kunawengine wakawa wanategea kubeba. jamaa akalalamika, eee! namdebhagadohu abo mtonibhuchaga. yaani nimesha wajua ambao hamunibebi, jamaa wakamshusha
Top Bottom