Mi nadhani kinga yangu ni ndogo maana nimeugua mara mbili ni ndani ya mda mfupi sana nadhan ni interval ya mwez mmoja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia nimeliwaza hili mama aliamua kumsaidia kulingana na uwezo na maono yake na akakiri kuwa chakula hakikuwa shida tena then akaamua kutupa Dawa. Akawaza aanze kwenda kwa kina mwamposa then anataka msaada gan mwingine??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wajibu wa serikali kuhakiksha Mwananchi wake anapona hata kama hana bima, unaposema wakitoa zaidi ya wanachopokea wana collapse sasa serikali inamchango gani hapo??
Mwizi haki yake ni kuuwawa we unaetetea hujawahi kuibiwa, huku mtaani kwetu wezi wanatulaza macho mtu umetafuta mali kwa shida halafu yeye anakuja kuiba na pengiza anaweza kukujeruhi halafu unamtetea hujajuwa uchungu wa kuibiwa. Ndo maana jpm alisema majambazi wanyang'anywe silaha haraka haraka...
Kichwa cha habari kinahusika, Natafuta fundi wa welding mwenye generator na machine ya welding. Mi Naishi mpiji magoe mbezi ya kimara ambako umeme haujafika ninakazi ya siku moja. Ninatafuta fundi atakae kuja na vifaa vyake aje afanye kazi kwa masaa 8 na atakuwa kamaliza. Alietayari anichech...