Search results

 1. stickvibration

  Ndoa ni kujitoa Sadaka na Uvumilivu

  Duh...hadi maza katoka[emoji1787][emoji1787]
 2. stickvibration

  House4Sale Nyumba ya ghorofani inauzwa Upanga

  Tatizo ya hizo Flati ukinunua utajikuta tena kuna gharama za kulipia kila mwisho wa mwezi...mara unaambiwa Parking Fees..mara Lift Fees.mara hela ya usafi mara hela ya mlinzi..unajikuta kila mwezi unaambiwa ulipe 200$USD
 3. stickvibration

  Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

  Hili swala la stakabadhi ghalani nlishawahi kulifikisha hadi kwa Mh Bashe Naibu waziri wa kilimo Tatizo la serikali yetu WANAINGIZA SIASA KATIKA BIASHARA YA MAZAO..[emoji2211]
 4. stickvibration

  Usiombee kukosa hela

  Kwangu kila kukicha ni bora ya Jana[emoji2211] Hadi huwa naijutia Kura yangu nliopiga wakti wa uchaguzi[emoji2211]
 5. stickvibration

  Joto kwa wachimbaji Wadogowadogo

  Urojo na viazi mbatata[emoji2211]
 6. stickvibration

  Hivi inawezekana ukahama na mita yako ya umeme?

  Naomba mnifahamishe gharama za kufungiwa mita ya Luku ktk kibanda changu cha biashara
 7. stickvibration

  Museveni and Suluhu Signing The EACOP Tripartite Project Agreement

  Tangia mama achukue nchi,najihisi kama nimezaliwa upya[emoji2211]
 8. stickvibration

  Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

  Ingeoendeza saana kama ungeambatanisha na hizo.pic za Email humu
 9. stickvibration

  Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

  Tozo za serikali zimezidi saana. Mama hakukosea kusema mnatumia nguvu na mabavu kwa kudai kodi. Bila ya kutumia akili na maarifa[emoji2211]
 10. stickvibration

  Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

  Baada ya Pasaka..Kuna mtu ataapishwa baada ya Ndugulile kuchemka[emoji2211]
 11. stickvibration

  Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

  Dah.. Hapa najihisi kama wana JF tumezaliwa upyaaa[emoji2211]
 12. stickvibration

  Wasanii kwenye nyimbo za maombolezo mmebugi sanaaa

  Hahaaahaah Hapa ndio utaona pengo la John Komba
 13. stickvibration

  Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

  Akimleta MWANDOSYA kuwa VP..hapo mama atapiga bingo...[emoji2211]
 14. stickvibration

  Rais Magufuli: Wanaoikosoa serikali kwa staha hatuwachukii

  Hii nii sawasawa na wale wanaosema Usitoe Talaka ukiwa na hasira kali[emoji849][emoji3]
 15. stickvibration

  Tigo, kwanini mnatulazimisha kukopa kwa kuweka kiasi kikubwa cha bando kwenye Tigo Niwezeshe?

  Na muda huo huo niliongea na Customer Care na akanijibu...endelea tu kukopa2000 na ulipe 2400 ili upate GB 2.5 kwa kupitia TIGO NIWEZESHE unless utaishia kupata GB1 kwa elf2000 Maelezo na nimesnap shot juu[emoji1787][emoji115]
 16. stickvibration

  Tigo, kwanini mnatulazimisha kukopa kwa kuweka kiasi kikubwa cha bando kwenye Tigo Niwezeshe?

  Inanibidi nikope tu kwa kupata Gb 2500 Hali ya kuwa Tigo Pesa Yangu ina balance ya Elf 50 ...hii inamaanisha kuwa tunalazimishana kulipa kwa Intrest. Unakopa 2000 kisha lipa 2400[emoji3][emoji3] Vingenevyo kama hutaki kulipa kwa RIBA basi nunua kwa pesa yako kifurushi cha INTERNET kwa elf 2000...
 17. stickvibration

  Tigo, kwanini mnatulazimisha kukopa kwa kuweka kiasi kikubwa cha bando kwenye Tigo Niwezeshe?

  Mimi ni mteja wa hii kampuni kuanzia Tritel hadi kampuni kuuzwa kwenda Mobitel pia kampuni ikauzwa kwenda Buzz hadi leo hii kufikia kampuni kuitwa TIGO. Mimi yule yule nipo tu na hata namba ni ile ile tu. Tatizo kubwa ni pale nikitaka kujiunga Siku Bonus ya Internet napata ofa ya 2000=1GB kwa...
Top Bottom