Uwezo wa Mowawa sikudhani kama unaweza kubezwa kiasi hiki, Mkwawa alikuwa mtu na akili nyingi sana katika utawala wake, inasemekana Mkwawa angekuwa hai basi kusini mwa Tanzania yote ingekuwa yake.
Isike baada ya kuogopa kupigwa na Mkwawa basi akamtoa binti yake aje kuolewa na Mkwawa ili...
Si kweli, ni uongo kabisa, wahehe hawajawahi kupigwa na wangoni kamwe.....hakuna kabila lililowahi kumpiga mhehe.....hiyo sehemu iliitwa Makambako ikiwa na maana sehemu ambayo mahafari wawili walikutana....yaani ng'ombe dume zilipokutana.....kwa kihehe makambako manaake mafahari
Iringa ya wapi dogo acha uongo, kama ni jiwe gagilonga haliko hivyo hata ile milima mbele isingeonekana.......usidanganye watu, kama ingepigwa Iringa ungeona vile vihenge vya NMC, ungeiona Mlandege si hayo mamilima yanayoonekana
Duniani siku hizi 160Km/H siyo story tena, sasa wanazungumzia mpaka 420KM/h, halafu mtoa uzi kasema kwa afrika ni south afrika tu sijui Morocco kaiavhia wapi
Kuna siku nilisafiri kwenda singida nikafika saa 10 na nusu usiku....nikawaza nichukue lodge ya nini wakati saa nne nitatolewa....nikalala zangu kwenye gari tu.
Mimi sijui upande huo, Ila NSSF Iringa mi sijapata ubabaishaji huo, mimi tarehe niliyoambiwa ndiyo tarehe ambayo kweli mtonyo ulianza kuingia, sikumuona yoyote wala kutoa chochote...