Search results

 1. Mshinga

  Rais Magufuli hawezi kuwa sahihi katika hili la mikopo chuo kikuu

  Kwa hiyo aliyesoma private ndiye mzima na aliyesoma serikali ndiye mlemavu. Nimesema hiki ni kiwango kidogo kabisa cha kufikiri na nimetoa maelezo mengi na ushahidi mwingi kwamba unayemwita mlemavu anaweza asiwe mlemavu na unayemwita mzima anaweza asiwe mzima
 2. Mshinga

  Rais Magufuli hawezi kuwa sahihi katika hili la mikopo chuo kikuu

  MAGUFULI HAWEZI KUWA SAHIHI KATIKA HILI LA MIKOPO. Kabla ya kuanza kujadili kauli hii ya Rais kwanza niorodheshe #interesting_facts katika swala hili. 1. Je uliwahi kujua kamba pesa inayotumika kusomesha wanafunzi vyuo vikuu na VETA ni pesa inayotolewa na shule binafsi ikiwemo na makampuni...
 3. Mshinga

  American Computer scientists say they have strong evidence election was rigged against Clinton

  Kura za wajumbe bado hazijapigwa mpaka tarehe 19/12/2016. Na kama kura zitahesabiwa upya na kutoa matokeo tofauti basi huenda swala hili likafika mahakamani na kuamriwa mshindi wa kura halali katika hayo majimbo. Na kama Clinton kashinda basi Trump atapokonywa hayo majimbo na Urais unahamia kwa...
 4. Mshinga

  Natafuta nesi wa kubadilishana nae kituo cha kazi.

  Nipo wilaya ya Kilosa(Morogoro) nataka kubadilishana na mtu aliye wilaya ya Kishapu(Shinyanga). aliye tayari anitafute inbox.
 5. Mshinga

  Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

  kuna watu hawana kabisa akili kama huyu mleta mada. umeandika nini ? hueleweki unakunya ama unaharisha, unahara ama unatapika. si ungechambua. hamnazo
 6. Mshinga

  Hivi Sare za shule na viatu, hairuhusiwi kuchangishwaa??

  hii ndio nini? hakuna mchango wa sare na haukuwahi kuwepo popote. hizo zilikuwa biashara za kuwalazimisha wanafunzi kununua sare za shule katika miradi ya walimu kwa bei kubwa na misare ya ovyoovyo. sare ni lazima kila mwanafunzi kuwa nayo ila sasa washone wenyewe makwao.
 7. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  wewe hujielewi kabisa. hapa tunaongelea watu kugushi vyeti wewe unatuambia habari za watu ambao hawakugushi na serikali inajua hivyo na wala hawana hivyo vyeti. tunaongelea waliogushi siyo watu waliopata ruhusa ya kusomea fani hiyo huko nyuma bila kuwa na qualification zilizopo sasa...
 8. Mshinga

  Pentagon: Russia's S-400 Air Defense in Syria Forces US to Ground Warplanes

  hakuna ndege duniani yenye uwezo wa ku operate mbele ya S 400 hata hiyo F 22 raptor ya marekani haidhubutu na hata SU 34 na 35 za Urusi hazina ubabe huo mbele ya S 400. Ingekuwa S 300 ningekuelewa kuna ndege chache kama hizi zinaweza kuoperate lakini bado katika high risk kwa kuwa bado hata s...
 9. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa serikali iliruhusu watu kugushi vyeti wakasome mambo ya afya kisa wengi wamekimbia sayansi?
 10. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  wakiamua kutract vyeti kwa system mbona watadaka wengi wengi. NECTA wanasystem tayari. wakiambiwa wote wawasilishe namba ya vyeti vyao na taarifa za vyeti vyao afu NECTA waingize kumarchisha matokeo wapo watakodakwa kibao. Hasa waliotoa vyeti mtaani. wanaotumia cheti kimoja zaidi ya mtu...
 11. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  hakuna watu feki wewe. kuna vyeti feki. ufeki wa cheti unatokana na sababu mbalimbali mtu kuwa na cheti ambacho hakitoki NECTA bali ni cha kuunda mtaani. mtu kuwa na cheti feki kinachotoka NECTA ila kafanya mchakato wa kukipata.Ukifatilia details ikiwa ni pamoja na uhalali wa mtu...
 12. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  ina maana hujui maana ya kugushi ? hawa wote wapo katika kundi la kugushi vyeti. kufanyiwa mtihani na kufaulu ni sehemu ya kugushi nao wakibainika waondolewe tu. ukibainika hujui kusoma wala kuandika ila umepita unafutwa shule. na mara nyingi hawa huishia kupata 0 form four na...
 13. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  kwanza ujue kuwa hizo kazi nyingi mbovu zinasababishwa na hao waliofoji vyeti. MAKANJANJA. usitake kuwaaminisha watu kuwa wenye vyeti halali ndio wanasababisha kujengwa kwa miundombinu mibovu na majengo mabovu afu wenye vyeti kwa kufoji ndio wanajenga vitu vizuri. Huu ni upuuzi wa hoja...
 14. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  yaani upite form four kihalali,form six mpaka chuo afu uwe hujui kuandika barua ya kawaida kuomba kazi? huyo ndio wale wa vyeti feki. labda kuandika barua kama professional hapo sawa. mfano huwezi kulazimisha kila aliyesoma Physics,Chemistry na Biology aandike barua nzuri sawa na aliyesoma...
 15. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  wataisoma namba. afu wafanyakazi kama hawa ndio wanasababisha wenzao waumie. hawa hata ukitokea mgomo wa Madaktari na manesi kudai kuboreshwa maslahi huwa hawadhubutu kushiriki mgomo. wao wanaenda kazini kama kawaida kwa kuwa ajira ikiondoka ndio kwa heri tena
 16. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  wapi pameandikwa Tanzania kazi hufanyika kwa mazoea tu? hata Engineer anaweza kumtibu mgonjwa?
 17. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  hii kaguakagua ya vyeti ni homa ya taifa kwa sasa
 18. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  wapo wengi wenye vyeti halali wanafanya kazi ya halali kwa taifa. hao wa kugushi watumbuliwe tu. watu wanahenyeka na kusugua makalio miaka na miaka kusoma afu wengine wanaenda stationary tu na kuhitimu form four,kuhitimu cheti cha afya nk nk. haikubaliki na uhuni huu ukomeshwe...
 19. Mshinga

  Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

  ili wajue shida waliyoslisababisha kwa kuwakosesha ajira wanaostahili na kuwafanya walale njaa ilihali hawakustahili.
Top Bottom