Search results

 1. samua

  Mbona hatusifiwi?

  Hali zenu wanajf......natumai wote ni wazima...... Leo nataka nitoe dukuduku langu la siku nyingi......wenzetu wembamba,wanene,wafupi,warefu,weupe,weusi wanasifiwa mbona sisi size ya kati hatusifiwi????? Naamini sisi ndo tupo vizuri.......kwasbb sio wanene wala si wembamba,na wala si wafupi na...
 2. samua

  Mafua na kifua

  Hali zenu jf doctor naomba mnisaidie dawa ya mafua na kifua spitali nimeenda nimepewa satrin na amplicox halafu presha angu imeshuka kidogo jeee niendelee nazo hizi dawa au niache manake naona nafuu iko mbali
 3. samua

  Nauliza

  Assalaamu alaykum wanajamii hali zenu????mm niko poa[emoji3] [emoji3] [emoji3]......naomba kuuliza Eti 1.kuwa na mke mfupi mume awe mrefu ndo raha au 2.Kuwa na mke mrefu mume awe mfupi ndo raha au 3.Nyote muwe mnalingana kwa vimo urefu ama ufupi ndo raha????? Binafsi napenda mwanaume...
 4. samua

  Nisaidieni

  Hali zenu wanajf natumai nyote hamjambo.....nisaidieni mwenzenu nisiwe na mawazo mda wote nakosa raha sili nkashiba silali kwa raha nnachotaka sikijui naona vurugu tuuu pesa ipo bf yupo mtoto nnae sasa sijui nna nini..... Nisaidieni waungwana........maneno ruksa macho yangu tuu...
 5. samua

  Nimerudi

  Hali zenu wanajf......habari za eid????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Najua mtanishangaa sana lkn nimeshindwa kustahamili kuachana na jf nimeamua nirudi kijiweni. Ruhusa kunichamba kunitukana kunishushua yote nayakubali kwasbb naipenda jf[emoji3] [emoji3] [emoji3] .
 6. samua

  Kwaherini

  Mambo zenu wanajf.......leo ndo siku yangu ya mwisho jukwaani nawaomba mnisamehe kila niliyemkosea.....kila la kheri.... Sent using Jamii Forums mobile app
 7. samua

  Nampenda mwanaume anaevaa miwani

  Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni..... Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
 8. samua

  Naomba msaada

  Hali zenu wanajf.......memory card angu sijui ina matatizo gani nikidownload vitu inanambia internal storage isn't enough nikiangalia GB za memory card zipo nyingi tuu nimejaribu kueka anti virus lkn bado tatizo lipo. Naomba mnisaidie mwenye kujua
 9. samua

  Achari ya ukwaju

  Mahitaji Ukwaju 2 paketi Chumvi kiasi Tende 1/4 kikombe Pilipili mbichi 1 Namna ya kutayarisha Toa kokwa ukwaju kisha roweka na maji moto. Chambua tende utoe kokwa weka kando. Tia vitu vyote katika mashine saga hadi vitu visagike. Mimina katika bakuli tayari kwa kuliwa. Note: Ikiwa huna tende...
 10. samua

  Habari

  Hali zenu wanajamii......mm ni memba mpya naomba mnikaribishe mwenzenu
Top Bottom