Hello marafiki,
Nahitaji mtu aliye soma pharmacy kwa level ya certificates na diploma.
Atume CV yake kwenye WhatsApp number 0759883335
Kituo cha kazi ni Kilosa Morogoro kwenye Polyclinic nzuri sana.
Maswala ya salary yatajadiliwa pale atakapokuwa amebahatika kupata kazi na kabla ya ku-sign...
7 REASONS WHY DEGREE HOLDERS ARE POOR?
Gbenga Adebambo
The Guardian
BASICALLY, there are seven reasons why degree holders are poor.
1. THEY DON’T THINK BEYOND THEIR CERTIFICATES
Albert Einstein said, “Education is not the learning of facts, but the training of the mind to think.” Have you...
Hi Wakuu!
Nimepata one of the business partner ambaye yupo Canada ameniomba nimsaidie kutafuta utaratibu unaohitajika kufuata katika uagizaji wa Vifaa tiba Toka Bangladesh.
Mtaji siyo tatizo Utaratibu ndiyo ninaouhitaji najua tunaingia kwenye Vita na Wahindi Lakini hakuna namna as i believe...
Hi Team am looking for a serious Business Partner who is ready partner in business that am thinking to start with immediate effect.
The partner must be able and have patience in doing business and should be either residing Dodoma, Morogoro or Singida.
I will love if the business partner would...
Wakuu nini maana ya ndoto Inayohusu wanga wakitaka kumdhuru Mwanao ..imenitokea Mimi tena nimeota mara mbili.... ya kwanza ilikuwa saa kumi na dk 40 ambapo nilitewa chumbani na mwenzie anayelala naye kuwa baba fulani kuna jitu linamkandamiza kifua na linataka kumuaa.
Basi walipohamia kwangu...
Wakuu hivi majuzi nikienda kufanya checkup baada ya kusikia maumivu kwenye goti walipopima nikaambiwa uric acid imezidi nikatumia dawa walizonipa basi baada kama wiki pakatulia sasa nikapiga vyombo aisee baada ya siku mbili maumivu ya me rudi kwa kasi ya hatare.
Najua humu kuna waganga wa kila...
Jamani
Hivi kweli uvaaji wa Pete kwenye vidole vya mkononi na miguuni hivi wanajua maana zake au wanaiiga tuu.
Ukiangalia waimba nyimbo za injili , ukiangalia hawa wadada wa mjini, ukiangalia wasomi ni shida.....Hivi ni kweli wanajua maana zake.
Tusaidiane tafsri zake
Sent using Jamii Forums...
Wakuu Mimi ni miongoni ambao siwapendi paka kidogo, kwa kuwa siamini hawa Mapaka ni wema kabisa hasa hii mipaka Pori ambayo kazi yake ni kuzurura tu huwa muda mwingine nayaona kama mashirikina tu
Naomba mwenye u juzi wa kuua haya Mapaka. Sibarikiwi kuyaona paka ambaye sijawahi kumfuga
Ndugu @...
Kwa wale waliobahatika kuingia Mahabusu watakubaliana na Mimi kuwa kila Mahabusu kuna wafungwa ambao muda wote hawataki kutoka Mahabusu na muda wote wapo kwa ajili ya kuwapa na kusikiliza mshitakiwa ameletwa magereza kwa kosa Gani?
Na pale anaposema ukweli wake na kama kweli hahusiki removal...
Ushauri,
Ukitaka kuoa au kuolewa kamwe usimdharau mama au Baba yako. Hata Babu yako amedumu na bibi yako kwa kuwa alichaguliwa Mke au Mume na Wazazi wake..
Ni Ushauri tu.
Hivi Kwa nini siku hizi Wadada wetu wanapenda kujisendoff kutoka Kwa familia yao hata kabla ya Muda kufika? Je ni kutokana na Utandawazi? au Mihemuko ya Mungiliano wa Uhuru Jinga?
Mifano Michache kwa nini wewe binti unasoma certificate lakini unaamua kuhama nyumbani kwa wazazi wako unaamua...
Kitu Gani ambacho hujawahi kufanya na hata ukishauriwa kuacha maovu uyafanyao huwezi kuacha Mpaka ukifanye kwanza? Je usipokifanya utakuwa umepungukiwa nini katika uumbaji wako?
Natamani nijue kwa Nini watu wanafika mazingira ya Kulipiza kisasi Je baada ya kulipiza kisasi unajisikiaje ...
Wakuu..
Navuviwa na Karama kuponya mioyo iliyopondeka kwa adha mbali mbali kupitia huduma ya uimbaji? Naomba kama kweli kuna Kundi ambalo linaimba kwa haki na Kweli na Nyimbo zao zina Gusa shida za watu na kupitia nyimbohizo Ushuhuda na Uponyaji hutokea naomba connections? Mimi ni mtunzimzuri...
Wakubwa Shikamooni...
Kwa takribani wiki sasa kumekuwa na mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu kwa kuanisha jinsi gani Wadau humu wanavyoloweka na walivyo wakwale kwenye sekta nzima Ngono zembe.
Nimekaa nimetafakari nikajiuliza hivi mleta Mada lengo lake nini? Ni kuaminisha Umma kuwa...
Kwa kipindi sasa naimekuwa fashion kubwa sana Mahusiano Mengi kutosimama wala kuwa na hulka ya Heshima tena hasa kama Mnaishi Mbali ila niwambie kitu Mwanamke akianza tabia ya nje hata uwe na hela kiasi gani huwezi mrudisha tena katika akili yake. Mnaopitia changamoto hiyo eleweni hivyo.. Siku...
Wakubwa Mwenye uelewa na hii danadana iliyoongelewa Bunge lilopita Atujuze hapa nilishaanda makabrasha yangu kesho naelekea kunako Offisi sasa kabla hawajaanza na story za kikokotoleo Niambieni mapema
Wakubwa,
Naombamnisaidie jinsi ya kurudisha Account yangu ya Hotmail ilikuwa ipo vizuri tu lakini juzi wakati na login inaniletea ujumbe kuwa inupdate nilipoclick next mpaka leo siwezi kuaccess mail zangu kabisa.
Please msaada wenu
Wakuu naandika kwa masikitiko leo nikiwa kwa ofisi kuna mdada kanihadidhia tabia za wanaume siku hizi kuwa wanaongeza kwa kuwaingilia wake zao kinyume na maumbile na anasema ndiyo chanzo cha ndoa nyingi kumwaga manyanga. Jana nimeongea na Mdada fulani ananiambia ameachana na Mwanamume wake...
Mkuu kuna mdogo wangu wa kike anasumbuliwa na Maruhani mno, moja ya matukio yanayomsumbuwa ni pamoja na muda mwingine kushindwa kupumua, au kupoteza nguvu au kuwa na hali ya kuyumbayumba kama mtu anayetaka kupandisha majini, anapenda sana kuwasha udi mno chumbani mwake, pia kuna muda akiamka...
Capetown complex Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara kwa kitendo cha kufuata matakwa ya mahitaji ya lesseni. Kuruhusu na kuendelea kuwaruhusu watoto wa umri wa Chini ya umri wa mwaka mmoja Kuruhusu kuendelea kuwepo Bar hadi saa sita u siku wa manane. ... Nina picha na video za...