Search results

 1. INRI

  Majibu ya Inter university transfer yanachukuwa muda gani na yanapatikana wapi?

  Habari wakuu, Nauliza baada ya TCU kufunga dirisha tarehe 14th December 2020 kwa waombaji wa kuhama chuo Je, majibu huchukua muda gani? Je, majibu unayapata wapi? Ndugu yangu ananisumbua hapa nimeona nilete hili suala humu kwa msaada zaidi. Kama kuna mtu kajibiwa nifahamu Ahsante!
 2. INRI

  Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

  Nawasilimu wakazi wa JF! Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili. Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya ndani kutoka kumoyo. Hizi ni zile picha ambazo LISSU hatumii wanafunzi, Wasanii na kusomba watu...
 3. INRI

  Tukio la Bustani ya Edeni na uhalisia wa siasa

  Habarani wakuu! Leo kipindi nimeamka asubuhi, nikawa natafakari juu ya yaliyotokea pale bustanini Eden na yanayotokea nchini katika uwanja wa siasa. Kwanini nimehusihanisha matukio haya mawili kwa pamoja? Kila mtu aliyesoma vizuri na kuelewa vitabu vya Bibilia na Quran, anaweza kuelewa nini...
 4. INRI

  Mapenzi nimeyanyooshea mikono

  Habari wana MMU. Naomba nisimulie yaliyonipata siku ya jana Jumapili. Nina mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano hata miezi minne haijafika. Kiukweli nilipenda haswa mpaka muda huu, naye nafahamu alinipenda sijajua baada ya hili tukio la jana. Tukio lenyewe ni baada ya kuchukua simu yangu na...
 5. INRI

  Kuna future kweli hapa?

  Za jumatano huku wote. Kwa maelezo ya rafiki ni hivi... Alikutana na bae wake kupitia hizi app za kudate ( Tinder, Badoo etc). Walikutana siku hiyo hiyo baada ya kuchat hadi kupeana namba. Huyo Bae si Mtanzania, ni kutoka nchi jirani na Tanzania. Walikutana Hotel moja, 2nd class in Dar. Pindi...
 6. INRI

  Uzi maalumu wa kukutanisha na watu mliopotezana maishani

  Habari wanabodi wote humu ndani. Nikiri kwenye maisha nilishawapoteza watu muhimu sana miaka hiyo bila kuwapata mpaka hivi leo. Tulipotezana na rafiki yangu mmoja, tulikuwa na interest sawia, kama usomaji wa novels, gardens, nk. Tulifanya kazi ya garden mpaka wazungu walikuja kuishangaa jinsi...
 7. INRI

  Samsung S6 edge 64GB Bei Ya Offer

  Sent using Jamii Forums mobile app
 8. INRI

  Najitolea kudesign garden

  .
 9. INRI

  LG G3 Mpya Inauzwa

  .
 10. INRI

  Nauza Laptop HP

  .
 11. INRI

  Third Or Fourth Year Student Anaye Uza Room Na Vitu Vyake

  Habari Wakuu! Nipo Mwaka Wa Kwanza Udsm, Natafuta Mtu Mwenye Room Maeneo Ya Sinza, Survey, Mwenge Au Mawasiliano Ili Tufanye Utaratibu Wa Kuachiana Mikoba. Mwaka Wa Pili Sitaki Nikae Tena Hostel Hakuna Changamoto Hata Upatikanaji Wa Madeal Ni Mbinde Sana Ukilinganisha Na Kitaa. Pia...
 12. INRI

  Tecno K9 Plus For Sale

  .
 13. INRI

  Uzi Wa Kumpa Wervemarcel Pongezi.

  habari wakuu ! nimekuwa mdau mzuri wa jukwaa la elimu mara baada ya kutoka kwa matokeo ya vyuo vikuu. katika pita pita zangu nimemuona wervemarcel akijaribu kutupa updates za admissions japo sikuwepo tangu mwanzo ila nimesoma post zake kwa umakini uliokubuhu nikang'amua kwamba amejizatiti...
Top Bottom