Search results

 1. ray57

  Wapi naweza pata Driving School Morogoro

  Naomba kujua wapi kuna driving school Morogoro. Ukiachana na VETA. Nimeenda VETA wamenambia mpaka mwakani.
 2. ray57

  Room Attendant Needed Drive In Lodge

  Nenda kwenye interview na Mawasiliano yapo hapo
 3. ray57

  IT Teen Needed (Expect in Graphic Design and Web Development)

  Natafuta Kijana aliye interested katika Graphic Design and Web development. Education level : Certificate/DIPLOMA Location: Morogoro Call: 0677 507205
 4. ray57

  Room Attendant Needed Drive In Lodge

  Msata Wilaya: Chalinze Mkoa: Pwani
 5. ray57

  Room Attendant Needed Drive In Lodge

  We are looking for a reliable and friendly Room Attendant to join our hospitality team in order to provide superb customer service to our guests. Your duties will include ensuring that assigned rooms are fully stocked, cleaned, and serviced to a high standard. You should also be able to resolve...
 6. ray57

  Naomba kujua, Ali Express, Amazon, Alibaba, eBay wapo nchi gani?

  Tafuta ofisi katika mkoa uliopo, utazipataaa. Kuna mawakala. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. ray57

  Kuna programming language nyingne ni bora uzitumie tu kuandika web Apps za kawaida sana

  Tatizo la programmers wengi tuna fail si kwa kuwa hatujui ku code ila hatujui which is best language to use when it comes to solve problems. Yani tunasomaa somaa tuu kisa umesikia flan anafanya java na wewe unaenda soma java kuna watu wana fanya python na wewe unakimbilia python mwisho wa siku...
 8. ray57

  Computer skills & Web Programmig

  Kama bado hujapataaa nitafute tuyajenge
 9. ray57

  Computer skills & Web Programmig

  Nitafute tuyajenge
 10. ray57

  Attn: Website and Management System!

  Website na Management system huwa zinatofautiana kulingana na requirements husika za project yako. Hivyo ni vyema ukaeleza requirements zako katika hiyo website na system kisha ukapewa bei elekezi. Kwa website na management system unaweza kunicheki inbox au kwa number yangu +255 759 019 408 Kwa...
 11. ray57

  Heat press Machine-Tshirt printing Machine inauzwa

  Heat Press Machine
 12. ray57

  Intern: Website & Graphics Design

  Na kama ni mzoefuu je??
 13. ray57

  Web designer anatakiwa

  Ameshapatikana
 14. ray57

  Developers wa Tanzania Tunashindwa wapi??

  Sasa kitu kizuri ni kujua ni sababu zipi zinafanya zitoboe na zipi zinafanya zisitoboe.... kujua ugonjwa ni njia moja wapo ya kujua utatafutaje tiba na kupambana nao.
 15. ray57

  Developers wa Tanzania Tunashindwa wapi??

  Nimelala nikaamka na akili zangu za usiku, nikawaza sanaa, Kwa nini app, system,site nyingi za Tanzania huwa zinazaliwa na kufa kwa muda mfupi? Kwa nini hazitoboi? kwa nini hazipati nafasi ya kujikita juu na kujiendesha? Hapa kutakuwa na sababu nyingi sanaa zinazopelekea kuwa na haya matatizo...
 16. ray57

  Serious coders hawaivi chungu kimoja na maisha ya kijamii (anti social)

  Raia mmeanz akushusha sumu za errors na Fatal Errors humu, mada imebadilika anayekuja comment ni wale wale wa PC na Vidole kwa keyboard................ haya maisha ni matamu
 17. ray57

  Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

  Mpe Bange mbichi. Usizidishe kipimo atakuwa na kichaaaa
 18. ray57

  Picha ya Siku: Ulinzi wa Raisi Magufuli unatisha.

  Sasa watanzania mnataka alindwe nani. Mbona akili ndogo hivyo?! Tatizo historia zinawaponza kisa Nyerere au Kikwete hakuwa na walinzi hivi basi ndio utaratibu nani kasema.
Top Bottom