Search results

 1. nivoj.sued

  Kanisa liko sahihi kukataa padre wa Bukoba kugombea ubunge

  Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana. Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
 2. nivoj.sued

  Uchaguzi 2020 Mapingamizi ya Wasimamizi Uchaguzi Kata yatikisa Karagwe

  Mapingamizi ya Wasimamizi wa Uchaguzi wa Kata yameitikisa Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya aitwaye Godfrey Mheruka. Kati ya wagombea 23, kuna wagombea udiwani 12 kutoka Chadema ambao wameenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi wa Kata. Takwimu zinaonyesha kwamba...
 3. nivoj.sued

  Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

  Ha ha ha! We kiboko! Basi tuanze kutafuta kengere then tutafute mfungaji wa kengere kwenye mguu wa serikali. Mjadala uendelee.
 4. nivoj.sued

  Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

  Serikali imesema corona haitasimamisha uchaguzi wala Bunge
 5. nivoj.sued

  Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya 14 Katika Katiba ya Tanzania

  Nimekuelewa. Lakini mapendekezo yote haya yametokana na maoni ya wananchi kupitia tume za Nyalali, Kisanga na Warioba. Wananchi wamekwishapata fursa ya kusema wanachotaka. Mawazo yao yaliminywa tu. Yamefufuliwa. If so kuna haja ya consultation juu ya haya?
 6. nivoj.sued

  Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

  Rafiki, Kuna kitu kipya HAPA. Hebu pitia uongeze/upunguze minofu kama kawaida yako...
 7. nivoj.sued

  Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

  Acha vurugu, soma HAPA uweke minofu..
 8. nivoj.sued

  Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

  Hello, Tayari nimefanyia kazi ushauri wako kama ifuatavyo: 1. Nimefomati rasimu ya muswada kwa kutumia mfano wa Mabadiliko ya 13 ya mwaka 2000 2. Rasimu ya Muswada wa Mabadiliko ya 15 nimeitundika HAPA. Pitia halafu unipe feedback...
 9. nivoj.sued

  Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya 14 Katika Katiba ya Tanzania

  Wadau, Nimepitia uzi wenye jina "Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania" na kupenda mjadala ule ambao mpaka sasa umeshirikisha watu 9000. Pia nimepitia mabandiko mengine yenye kujadili mada hii tangu mwaka 2015. Hivyo nimeshawishika kuandika rasimu ya mabadiliko ya katiba yanayojadiliwa. Nayaweka...
 10. nivoj.sued

  Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

  Kalamu1, Andiko hilo limeboreshwa ili kukuonyesha ratiba husika. Soma hiyoooo.
 11. nivoj.sued

  Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

  nivoj.sued, Andiko hili limeboreshwa kwa kuongeza ratiba, bajeti na mgawanyo wa majukumu!
 12. nivoj.sued

  Barua ya wazi kwa Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi

  Observe the following rules of intellectual engagement: 1. Avoid argumentum adhominem 2. Avoid fallacy of association 3. Avoid genetic fallacy 4.....
 13. nivoj.sued

  Barua ya wazi kwa Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi

  . Observe the following rules of intellectual engagement: 1. Avoid argumentum adhominem 2. Avoid fallacy of association 3. Avoid genetic fallacy 4.....
 14. nivoj.sued

  Barua ya wazi kwa Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi

  Barua ya Wazi kwa Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi-DSM Mpendwa Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi! Kristu! Sikupenda kabisa kuwasiliana na wewe kwa mfumo huu, lakini kwa vile sina jinsi nimelazimika kufanya hivyo. Nimejitahidi...
 15. nivoj.sued

  TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

  Mhandisi Lwajabe, mkuu wa miradi ya Umoja wa Ulaya, katika Wizara ya Fedha, amekutwa ameningia mtini huko Mkuranga, Mkoa wa Pani. Hatunaye tena. Kwa habari zaidi soma hapa.... http://mwanahalisionline.com/mhandisi-lwajabe-mkuu-wa-miradi-wizara-ya-fedha-akutwa-ameninginia-mtini/
 16. nivoj.sued

  Operesheni ya usafi wa Mazingira: Mgambo wa Makonda wanaruhusiwa kuwafunga wananchi kwenye depo ya Gerezani Kariakoo?

  Wadau, Kuna kisa naomba niwashirikishe kwa ajili ya tafakari na ushauri kwa vigogo wa vyombo vya ulinzi na usalama. Ni Alhamisi 25 Aprili 2019, saa nne asubuhi, nashuka kutoka katika dala dala kwenye kituo cha mabasi cha Posta Mpya. Ni kama meta 50 kutoka kituo kidogo cha Polisi kilichoko...
 17. nivoj.sued

  What do our laws say about a Professional Advocate who Lies Under Oath?

  Hellow learned fellows, I am a respondent in an Appeal to The High Court (Labour Division) representing myself, where the Appellant is represented by a professional Advocated. What bothers me is not the fact that I don't have legal representation as I am proportionately competent to argue my...
 18. nivoj.sued

  Mafuriko: Mama Tibaijuka adai hakukuwa na dhamira ya kisiasa kulinusuru bonde Msimbazi wakati yuko Ardhi

  Nimefurahishwa na uzi huu unaobeba mawazo ya Profesa Anna Tibaijuka kwa sababu tatu. Kwanza, ndio jana nimetoka Dodoma na kushangaa maamuzi yaliyofanywa na uongozi wa mkoa huo kuhusu mabasi ya usafiri wa umma yanayotoka na kuingia mkoani humo. Abiria wote wanapaswa kushuka stendi ya NANENANE...
Top Bottom