Twende moja kwa 1 kwenye mada maana kuna wateja wamenizunguka hapa!
Mtaani kwangu nina jirani yangu single mother, imekua na kawaida kila nikitoka kazini mtoto wake ananikimbilia huku anaita "babaaa! Babaa! Babaaa!" kutokana na hali ile nimekua nikipendezwa sana na yule mtoto mara nyingne ikawa...
Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.
Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.
Sasa huyu binti nimekua...
Habari yenu wazee wa kazi !
Bajeti yangu ya leo ! . . . .
Asubuhi SUPU YA KUKU WA KIENYEJI NA FANTA PINEAPPLE
Mchana MIHOGO YA KUKAANGA NAKITIMOTO NUSU
Usiku BIRIANI na PEPSI ya BARIDI
K ya 80,000
haya mwagikaaaaaa nawewe!
Bajeti yako ya leooo
Miaka miwili nyuma niliachana na binti mmoja single mother, alikua na mashauzi sana na kujiona mzuri ikatokea tukaachana, ni binti aliekua ananichukulia poa sana aliniona sina pesa.
Sasa leo, niko zangu kwenye pantoni natoka zangu Kigamboni, mara uso kwa uso naonana nae kwenye panton...
Habari zenu wakuu
Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU
Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!
Karibuni wadau mtiririke
Kiukweli niwe wazi, mimi ninafuga jini qmbalo nalitumia kunipatia mali na kupata ninachotaka, lakini sasa cha ajabu linakua linataka kuplay role ya jini mahaba kwa kila msichana nitakaekua nae, yani kwamba nalo linataka mwanamke nitakaekua nae kimapenzi...!
Hii kitu inanipa stress sana...
Yaani hii imekaaje?
Unakuta mtu unapania kabisa kua nikimpata huyu naoa kabisa, lakini baada ya kumpata na kupata unachotaka unaona kama yaani hana jipya, na unakua huna hamu naye kabisa, yani hata akikuita unatamani hata kupasuka kwa hasira, hii imekaaje?
Habari zenu wakuuu!
CCM oooyeee!!
Unajua juzi bana niligombana na shemeji yenu, ni binti tuu hajafikisha hata miaka 23, sasa tumegombana mimi nikapiga zangu kimya nayeye akajidai kama anakaza hataki kuomba poo.
Sasa uzalendo ukamshinda maji yakamfika shingoni, eti ananiita tuongee, nafika...
Tokea nizaliwe, sijawahi kupiga kura wala kua upande wowote wa chama cha siasa, lakini kwa sasa kutokana na uchaguzi huu uliopita wa 2020 nimevutiwa sana na mimi niwe mwanachama kindakindaki wa CCM.
CCM Inajua namna ya kujiendesha na imeshawin mentality ya watanzania, yaani CCM wanajua kabisa...
Wanawake wengi mnashindwa kuelewa, wakati unatongozwa pale unapewa ahadi kibao, ikiwemo kua utaolewa ile inakua ni zuga tuu, ili mtu apate anachotaka.
Sasa mtu nmekutongoza, umekubali lakn kila siku story ni zilezile kila saa "TUNAOANA LINI SASA!!?" HIVI KAMA NINATAKA KUKUOA SI NITAKUOA TUU...
Kuna nchi africa inaweka uchaguzi wake mambo hadharani kama Wamarekani wanavyofanya? Au Africa nzima ndio walewale unakuta vyombo vya habari vyote, wasanii na watu maarufu wote wanamsampoti mtu mmoja? Na sio kwamba wanamsapoti wanampenda ila ni order, usipofuata utapata tabu sana.
Habar zenu wakuu.
Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vizuri nikamkumbuka vizuri kua ni alienisajilia lain week moja nyuma.
Tuliongea sana, akaniahidi ipo siku atakuja kwangu kunitembelea, nakumbuka siku ile nilisajili laini na...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kama mnavyojua, inasemekana baadhi ya mitando mikubwa ya kijamii imefungiwa hapa nchini, kwahyo yakupasa kuwa na Virtual Private Network (VPN) ili kuaccess mitandao hiyo.
Ukiachilia mbali kua mfanyabiashara mkubwa hapa mjini wa maduka ya vifaa vya ujenzi, pia...
Habari zenu wazeee.
Leo nimekuja serious sana wakuu.
Kuna kitu kinanitatiza sana, mimi ni mkristo ila niseme ukweli sio mhudhuriaji wa kanisani kabisa yani ni mkristo tuu jina, ila familia na ukoo mzima ni wa kikristo.
Sasa katika pitapita zangu za kimahusiano ya kimapenzi nimekua nikiwapenda...
Twende straight kidogo, tuokoe mda.
Kiufupi nimemtongoza mfanyakazi wangu wa hapa dukani ninapouza vifaa vya ujenzi, yeye ndio anashughulikia mahesabu ya mauzo baada ya hapo ananiletea mimi nahakiki tuu, kwahiyo faida nnayoingiza na mauzo yote anayajua.
Huyu hajaolewa,lakini ana bwana...
Wataalamu mpo? Kwema?
Niliwamisi sana.
Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka akapendekeza twende kwake nikapumzike kwanza then ndio niende home kwangu kwakua kwake sio mbali na hapo...
Habari zenu wadau,
Juzi jumatatu kuna mwanamke nilimpata kimasihara tu, nilimtongoza jumamosi jumatatu akaja home. Yaani tayari akawa mwanamke wangu.
Sasa sijui anajishtukia kwamba nimempata kimasihara na kiulaini aana au? Maana muda mwingine ananiambia hata nimwambie nampenda maana tokea juzi...
Mke wangu mtarajiwa, ambaye nimepanga nimuoe, hakika anajifua vilivyo ili kuingia kwenye ndoa. Kwanza hana mambo mengi, msikivu na mstahimilivu wa nyakati zote, akipokea mshahara wake ananipa wote nimshkie, na akiwa na shida anaomba hela kiunyenyekevu hata Kama mshahara wake nakaa nao Mimi, Kwa...
Habari, Kwa jina najulikana kama Secretary Pompeo, Leo nataka nikuandikie ukweli unaohusu mtandao wa Instagram jinsi unavyoweza kubadilisha maisha ya mtu katika suala zima la kipato.
Kwanza kabisa, nakumbuka kipindi Cha miaka miwili nyuma, nilikua nikiingia Instagram naona post za mtu anajiita...
Habari za masikuuuu.
Kuna kisa kimoja hivi kilinitokea juzi nikikumbuka nacheka Sana, Kuna binti mmoja hivi anafanya kazi Pharmacy "Duka La Dawa", nimemfatilia tokea mwezi wa tatu hivi lakini akanikazia tuu.
Anakujaga nyumbani kunitembelea lakini anaishia nnje tuu anaogopa kuingia ndani...