Mimi niliomba connection kwa mtu fulani kigogo najuana naye akanivungia basi hata sikuomba hizo nafasi kwani nilishajua mapema sintotoka bila ya connection
Kwa mujibu wa kijana wake alikuwa Dar na alipaswa kurudi Dodoma lkn baada ya hapo hakuonekana na simu hazipatikani mpka maiti ilivyokutwa ofisini
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeuawa ni baba wa jirani yangu inasemekana alikuwa dar kwenye kikao ambacho alitumwa kumuwakilisha sheikh wa mkoa wa Dodoma, baadaye mawasiliano na familia yake yakapotea ndo mchakato wa kumsaka ukaanza kwa kumshirikisha RPC wa Dodoma ambaye naskia wanafahamiana. Jana jioni jirani yangu huyu...
Hakuna kitu kama hicho kijana, mie no mmoja wao pioneers, niliosoma nao wengine ni Managers kwenye mashirika ya UN, regional administrative secretary, bankers, administrators wa NGOS, Sales Officers, usiishi kwa kukariri
Acheni kututusi nyie Mimi ni product ya UDOM 2007, nipo kazini na maisha yanasonga, vijana wamelishwa propaganda Sana, walimu wangu UDOM nakumbuka ni products za UDSM, MZUMBE, SUA. Kama mtu ni kilaza basi wasituhumu chuo