Search results

 1. PSPA Pure'12 udsm

  PC inauzwa, HP 620

  Used laptop inauzwa kwa anaeyehitaji, imetumika miezi 4 tu na ipo katika hali nzuri kabisa. Haina tatizo lolote la kiufundi, hivo kwa mnunuzi atapewa warrant ya angalau mwezi mzima incase of any technical fault. Specifications: 1. Hard disk 320GB storage capacity 2. Ram yake ni 3GB 3. Processor...
 2. PSPA Pure'12 udsm

  Prof.Anna Tibaijuka, Jobs

  JOB ALERT! Are you interested in joining the NGO community, working to bring relief to those most affected by extreme poverty in Africa? Send me your CV through my email annatibaijuka200@gmail.com or visit ONE to apply. Minimum qualification is Secondary Education and must be willing to work in...
 3. PSPA Pure'12 udsm

  Msaidizi wa kazi za ndani anapatikana

  Mfanyakazi wa kazi ndani anapatikana. Mie sio dalali, kwa anaehitaji ataongea nae na kukubaliana nae moja kwa moja. kwa aliye-serious ; 0621 025089
 4. PSPA Pure'12 udsm

  Msichana wa kazi za ndani yupo

  Msaidizi wa kazi za ndani kwenda na kurudi anapatikana. Ni msafi, mchapakazi, anajitambua na mcha Mungu. Anapatikana Dar tu. kwa anaehitaji huduma hii aniPM. mshahara usipungue 90,000. Yaani angalau 3000 kwa siku.
 5. PSPA Pure'12 udsm

  Empower ni matapeli?

  Nilituma CV yangu kwa Empower. Kwa wasiowajua Empower, ni recruitment Agency hapa Dar es salaam.Ofisi zao zipo msasani tower opposite na CCBRT. Kwanza kabisa ni lazima nikiri kwamba wimbi la ukosefu wa ajira ni kubwa sana na linazidi kuongezeka kila siku. Kwa kanuni za kijasiliamali...
 6. PSPA Pure'12 udsm

  Mgomo wa madereva Tanzania wanukia: Je, Makonda kuongoza mgomo huo kama alivyoahidi?

  Ndugu Wana-Jamvi! Mgomo wa madereva unanukia kuanzia Jumatano wiki lijalo baada ya kikao chao cha mwisho cha tarehe 23/6/2015. Imedaiwa kwamba wamiliki wa magari wamekuwa hawahudhurii vikao, kitu kinachitafsiriwa na madereva kama ni dharau kwao na kwa serikali. Kwahiyo wameazimia kwa kauli...
 7. PSPA Pure'12 udsm

  Huawei y530 inahitajika

  Kwa yeyote anaeuza simu tajwa hapo juu used lakini ikiwa katika hali nzuri naihitaji. Kuna watu wana hujuma sana,mnaweka battery mbovu, memory card mnatoa cover na screen protector ndo mnauza utafikiri tunakomoana wakati unapewa hela. Acheni hizo,be fair. Mi nataka used, najua dukani...
 8. PSPA Pure'12 udsm

  Huawei 530

  Natafuta Huawei 530, iwe used lkn angalau iwe ktk hali nzr. Kama unayo niPM tufke bei. Pia km utakua na simu inayolingana na hyo karibu.
 9. PSPA Pure'12 udsm

  Naitaji Friji Size ya Kati

  Kwa mwenye kuuza friji-friza used size ya kati iliyo katika hali nzuri aniuzie. Nicheck kwa; 0718257680
 10. PSPA Pure'12 udsm

  Maambukizi ya Pili ya Gonorea yanatibika?

  Hi! Kuna mtu ameambukizwa Gonorea kwa mara ya pili sasa. Kwa mara ya kwanza alitibiwa mwezi April mwaka huu na kupona. Sasa ameambukizwa tena na anahitaji ushauri wa kitabibu kama anaweza kutibika kabisa bila kupata madhara ya kudumu kama vile kupungua nguvu za kiume na/ au kupoteza uwezo...
 11. PSPA Pure'12 udsm

  Dawa mseto imenimaliza, Simfikishi mwenza wangu

  Wiki mbili zilizopita niliugua malaria na kikohozi. Daktari akanishauri nitumie dawa mseto na Ampicilyn. Baada ya kumaliza dozi, nimepungua nguvu za kiume hadi nashangaa. Nikipiga goli moja, jongoo hapandi tena hadi asbh. Nikijaribu kuunganisha, yaani two-in-one, Dushe linasinyaa ghafla...
 12. PSPA Pure'12 udsm

  What is the proper diet after sex?

  Habari gani pareeeeee!!!? Nimekuwa msomaji wa forum mbali mbali hasa kwenye mambo ya mapenzi. Kwa asilimia kubwa wengi wamekua wanafundisha mbinu za kumnasa mtu wa ndoto yako both me and ke. Leo natamani sana wale wataalam wa Lishe waje watoe somo juu ya masuala ya mlo kamili kwa wapenzi...
 13. PSPA Pure'12 udsm

  Eti, kunenepa kupita kiasi ndio sababu ya wanaume wengi kutafuta mpango wa kando?

  Eti unene wa wake unawafanya wanaume kuwa na mipango ya kando? Je ni kweli wake wanaponenepa upita kiasi ndio sababu ya waume zao kuwa na mipango ya kando? Nchini Kenya mjadala umezuka kwenyemitandao ya kijamii kufuatia maandishi yamwanamke mmoja akiwalaumu wanawakewanene kupita kiasi kwa...
 14. PSPA Pure'12 udsm

  Some girls you should grow up!

  Unakutana na mdada cute,intellectual unaamua kuspend nae for sometimes as ur heart commands u. U take more than six months kumtongoza tu hadi mnaafikiana japo with millions of conditions kwamba hutotaka game mapema. Unalibaliana ili kumprove km ur there for her in sweets na bitter...
 15. PSPA Pure'12 udsm

  You don get urs at 20's, Hesabu we ni looser!

  True relationship never come frm blue sky,needs time,tolerance, commitment n positive attitude to ur partiner kwamba hata inapotokea amekosea you just experience the pain huku moyoni ukijisemea s/he had good intention but it came as uncertainty. Actually hii attitude haiji mara moja. Na mtu...
 16. PSPA Pure'12 udsm

  Jobless-Graduates Association Press Conference

  Ndugu Wana-bodi Nawasalim sana! Kutokana na hali ya ajira nchini kuwa mbaya kiasi cha kutisha, huku serikali kama mwajiri mkuu na chombo pekee nchini cha kuzalisha fursa za ajira nchini kutokua na chembe ya dalili za kufanya jitihada za makusudi za kupunguza kama sio kumaliza kabisa janga...
 17. PSPA Pure'12 udsm

  Jobless-Graduates Association Press conference

  Ndugu Wana-bodi Nawasalim sana! Kutokana na hali ya ajira nchini kuwa mbaya kiasi cha kutisha, huku serikali kama mwajiri mkuu na chombo pekee nchini cha kuzalisha fursa za ajira nchini kutokua na chembe ya dalili za kufanya jitihada za makusudi za kupunguza kama sio kumaliza kabisa janga...
 18. PSPA Pure'12 udsm

  TRA wametoa Nafasi za Ajira

  Salaam. TRA wametangaza nafac za kazi kwa wenye masomo ya Economics, law, accountacy, customs, taxation, business administration, finance etc. Deadline ni 20 April. Age limit ni 30 yrs. Application zinafanyika online kupitia www.tra.go.tz then unabofya kwenye vacancies. Watumie vijana...
 19. PSPA Pure'12 udsm

  Natafuta chumba Dar!

  Wanajamvi Heshima Mbele! Nafanya kazi maeneo ya Mikocheni. Natafuta chumba cha kuishi maeneo jirani kama vile Mwenge, Kawe, Kijitonyama, Kinondoni,Sinza, Magomeni, mbezi beach. Au sehem ambapo nitapata usafiri wa moja kwa moja hadi kazini kwangu. Chumba kiwe na umeme na maji au km maji...
 20. PSPA Pure'12 udsm

  Natafuta chumba cha kupanga DAR

  Wanajamvi Heshima Mbele! Nafanya kazi maeneo ya Mikocheni. Natafuta chumba cha kuishi maeneo jirani kama vile Mwenge, Kawe, Kijitonyama, Kinondoni,Sinza, Magomeni, mbezi beach. Au sehem ambapo nitapata usafiri wa moja kwa moja hadi kazini kwangu. Chumba kiwe na umeme na maji au km...
Top Bottom