Search results

 1. Parabora

  Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

  Habari zenu wakuu, bado lock-down inaendelea huku. Ukiachana na hilo kuna memba kanituhumu hapa kwamba niko bongo nilitaka kuleta uthibitrisho wa picha ama video lakini baada ya kuona kejeli nimegundua kumbe watu humu wanachukia sana kusoma maandiko ya namna hii nimeamua kuachana na kujibu ule...
 2. Parabora

  Kwanini watanzania hasa waliosomea Lugha wanashindwa kuchangamkia fursa za kazi za ualimu wa Kiswahili, Kiingereza na utafsiri wa lugha nchini Japan

  wakuu bado lock-down inaendelea japo kuna mwanga unaanza kuonekana baada ya hotuba ya leo ya waziri wa uchumi wa hapa switzerland bwana Guy Parmelin kuonesha matumaini ya kulegezwa kwa masharti katika phase ijayo ya kupambana na huu ugonjwa. Turudi kwenye tafakuri ya leo kama heading...
 3. Parabora

  Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

  Wakuu leo nimeenda kupanga foleni ya kuchukua chakula cha bure kinachotolewa na mamlaka za jijini hapa kwa ajili ya wahamiaji, nimeona haiwezekani na ni ujinga mwarabu na raia wa ulaya akapange foleni ya kupata hiki chakula halafu mimi ninunue wakati ubora ni uleule na hakuna masharti kwenye...
 4. Parabora

  Matajiri wa jiji la Geneva(Switzerland) waanza kugawa chakula na mahitaji muhimu bure kwa wahamiaji masikini na waliopoteza ajira

  Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
 5. Parabora

  Kwa hali na Changamoto za dunia ya Sasa katika ajira, Kuna umuhimu mkubwa sana kupata elimu katika vyuo vya nje

  Huku bado lock-down inaendelea wakuu japo Cha kushukuru ni maambukizi mapya yamepungua sana na huenda masharti yakalegezwa siku za hivi karibuni, lakini kipindi hiki ambacho hatuna ratiba nyingine nimeamua tuwe tunajadili mambo muhimu na yenye afya kwa vijana wenzangu. Leo tujadili hasa umuhimu...
 6. Parabora

  Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

  Kama nilivoahidi toka mwanzo kipindi hiki ambacho nipo lock-down nitakuwa na-share hapa taarifa mbalimbali za baadhi ya nchi nilizowahi kuishi na kufanya kazi ili kwa wale walio na ndoto za kufika wapate japo ufahamu kidogo kuhusu hizo nchi na fursa mbalimbali zinazopatikana katika mataifa hayo...
 7. Parabora

  Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

  Kipindi hiki ambacho niko kwenye zuio la kutoka nje liliowekwa na mamlaka ya jiji nililomo nimeamua kuwa nashare hapa baadhi ya mambo ya nchi nilizowahi kukaa ili ziwe na manufaa kwa wenye malengo ya kutafuta maisha nje ya Africa mashariki. Juzi nilileta andiko linahusu nchi ya Uswisi baadhi ya...
 8. Parabora

  Kwanini asilimia chache tu ya wanaume wa Ki-Africa ndio huoa Wazungu na kati ya hao asilimia kubwa huoa wazee?

  Hili suala mimi binafsi limekuwa likinitesa sana pamoja na kuwa nje kwa mda mrefu na mahusiano tofauti tofauti lakini linapokuja suala la kuoa napata wakati mgumu sana nikiwa naamini kwamba mwanamke wa ndoto yangu atatoka ukanda wa Africa mashariki. Na hii sio kwangu tu black wengi ambao...
 9. Parabora

  Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

  Nikiwa bado kwenye msoto mkali wa lockdown JamiiForums imekuwa sehemu mojawapo ya kuniondoa upweke, asikuambie mtu ni kazi ngumu sana kukaa ndani masaa yote kwa mtu mwenye akili timamu. Leo na-share na nyie japo kwa machache kuhusu hii nchi ninayoishi kwa sasa (Uswisi) ili kama kuna mtu anataka...
 10. Parabora

  Hivi hawa wanaomsifia Magufuli huwa wanalala kweli?

  Kama heading inavyojieleza, hivi hawa wanaomsifia magufuli huwa wanalala saa ngapi? Kwa kipindi hiki ambacho huku niliko jiji ninaloishi liko chini ya zuio la kutoka nje ya nyumba, mitandao imekuwa sehemu yangu kubwa ya kutembelea mda wote kwa vile sina ratiba nyingine tofauti, kwa huko...
 11. Parabora

  Namna zuio la kutoka nje(Lockdown) lilivyoanza kuniletea msongo wa mawazo

  Kipindi hiki ndio natambua kwa nini Uhuru ni moja ya haki muhimu na msingi kabisa ya Binadamu yeyote aliye hai ni zaidi ya siku 30 Sasa tangu mamlaka za jiji ninaloishi litoe zuio la kutoka nje ya makazi yetu kuzuia maambukizi zaidi ya COVID-19 kuenea nchini, pamoja na kwamba gharama za bidhaa...
 12. Parabora

  Hivi watu wanawapendea nini Wazungu katika Mahusiano au mazoea yangu ya ku-date ngozi nyeusi yameniathiri?

  Habari zenu Wanabodi, Tuendelee kupambana na Corona ni hatari sana, nikiwa niko chini ya amri ya Serikali ya kutokutoka nje mwezi na ushee sasa imekuwa ni gereza kwangu asikuambie mtu maisha ya kujifungia sehemu moja ni magumu mno lakini hamna namna ili kujilinda lazma tutii amri. Turudi kwenye...
 13. Parabora

  UGANDA: Spika Mwanamama wa Bunge la Uganda kamjibu kwa kumtunishia Misuli Museveni

  Hakika siasa za hoja zina radha yake, huko Uganda Spika Mwanamama aliidhinisha kiasi cha $2.6m kwa wabunge ili wajikimu kipindi hiki Cha Corona. Kila Mbunge amepata Tsh 5.3+m pesa za Tz jana Mseveni akasema wabunge wanatakiwa kurudisha hizo pesa na akaongeza kwamba ni kama wamekosa uzalendo...
 14. Parabora

  Poleni watumishi wa UMMA: Kesho kaeni mbali na TV msije mkazimia, COVID-19 itakuwa sababu

  Nianze kutoa pole kwa watumishi wa umma nchini kote, wale wa sekta binafsi neno pole sioni Kama ni sahihi kwao kwa asilimia kubwa Kama hawako ICU basi wamekata pumzi kabisa. Kesho inaenda kuwa siku ngumu sana kwenu, nawaona "watumishi wa serikali" wanaohudumiwa kila kitu bure kwa Kodi za umma...
 15. Parabora

  Kwa yanayoendelea huko nyumbani Tanzania, Nashawishika kuchuku uraia wa huku niliko kwa wazungu

  Pamoja na kwamba niko nje na Tanzania, nafuatilia sana taarifa muhimu zinazohusu nchi yangu, Kutokana na hili janga la corona na kwa jinsi linavyoshughulikiwa Sikuwahi kujua viongozi wa nchi yangu hawana uthamani kwa watu wao kwa kiasi ninachokisikia, BBC Swahili jana wamenifanya nifikiri...
 16. Parabora

  Ni muhimu sasa viongozi wa nchi hii waishi kwa kutegemea mishahara yao

  Kwa maamuzi yanayofanywa na viongozi wetu Kuna haja Sasa ya kuwaondolea hizi HUDUMA za bure Kama usafiri, nyumba, chakula, malipo ya house girl, gharama za umeme na maji, matibabu na mengineyo wabaki na ULINZI tu na badala yake waishi kwa KUTEGEMEA mishahara yao Kama watumishi wengine, hii...
 17. Parabora

  Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

  Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote...
 18. Parabora

  Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

  Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nakuwa mtu mzima najikuta nakojoa nikiwa nimekaa bila kugusana na uchi wa mwanamke, sio memba wa CHAPUTA ila sperm zilipita huku akili ikiwa imestuck na misuli ya uume ikiwa imesimama zaidi ya mshale ukiwa kwenye mwendo. Usiku wa jana ni moja ya matukio ambayo...
 19. Parabora

  Hali ishaanza kuwa mbaya hapa Geneva, Corona anataka kuletea balaa

  Hapa katika nchi ya Switzerland hali haikuwa ya kutisha, lakini tangu wiki hii ianze mambo yamebadilika Corona anasambaa kwa kasi, mpaka leo kwa takwimu za serikali tayari kuna caases 4002 nchi nzima waliothibitika na ugonjwa huu na watu 982 ambao ni wa maambukizi mapya, watu waliokufa mpaka...
 20. Parabora

  Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

  Kabudi akiwa anahutubia wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania wa wizara ya mambo ya nje huku niliko, Ameeleza wazi hamna nyongeza ya mshahara kwa mwaka na malipo ya masaa ya ziada yanaondolewa, Kwa vile yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri sitilii shaka kusema yawezekana huu ndio msimamo wa...
Top Bottom