Search results

 1. King_mwanamalundi

  Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

  mkuu, huyo tayari zilishamruka. awahishwe hospital tu
 2. King_mwanamalundi

  Madikteta wa Familia tunaweza kudai Demokrasia?

  kwamba hii nayo ni demokrasia? Mtoto kupanga "budget ya family". Hebu kuweni serious.
 3. King_mwanamalundi

  Makamu wa Rais mteule, Dkt. Philip Mpango kuapishwa, Machi 31 saa 9 alasiri - Dodoma

  kwa hiyo tuwasamehe kina Harry James! Maana matamko yao ya kudunga watu sindano za sumu yalikuwa influenced na aina ya uongozi?
 4. King_mwanamalundi

  Masomo 21 Kwa Ajili ya karne ya 21: Ukweli Kinyonga, Kuna Ukweli Bandia Unaodumu Milele

  kudai kwako "uchambuzi yakinifu" wa uhusiano kati ya soda za Coca Cola na magonjwa, ni ushahidi mwingine wa dunia inaishi na kuamini ukweli wa kutunga na kubuni. Kuhusu dini, hana cha kuthibitisha (kuwa ni ukweli wa kutunga) kwa kuwa hakuna ushahidi wa kihistoria, sayansi au hata wa kimantiki...
 5. King_mwanamalundi

  Mwalimu mstaafu apata kichaa baada ya kudhulumiwa milioni 20

  Shida sio hiyo Shida sio hiyo mkuu. mtu anaenda kukopa akijua kabisa atalipa within 3 months kisa tu NSSF wamemwambia aende mwezi ujao. mwaka unapita, miwili. NSSF anazungushwa. Hivi mtu amekukopesha 10m miaka miwili unataka umrudishie 1.3m?
 6. King_mwanamalundi

  Mwalimu mstaafu apata kichaa baada ya kudhulumiwa milioni 20

  Swali ni. kwanini ukope kama terms za mkataba hukubaliani nazo?
 7. King_mwanamalundi

  Mwalimu mstaafu apata kichaa baada ya kudhulumiwa milioni 20

  Tz tuko kama mazuzu, yani unapoenda kukopa unanyenyekea weeee kwenye kulipa unajitia wazimu. Eti amechanganyikiwa.
 8. King_mwanamalundi

  Mwalimu mstaafu apata kichaa baada ya kudhulumiwa milioni 20

  Unajua amekaa na hela ya watu kwa muda gani? Unaijua interest rate ya mkataba wao?
 9. King_mwanamalundi

  Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

  lini na wapi alijithibitisha na kivipi?
 10. King_mwanamalundi

  Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

  unaweza kuthibitisha mungu yupo? Let alone kumpa vidole vyenye uwezo kutype.
 11. King_mwanamalundi

  Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

  Tatizo ni kwamba, imani haitoagi majibu sahihi. Wapo waliwaamini wenza wao kuwa hawatasalitiwa ila wakasaritiwa. wapo walioamini watasaritiwa ila hawakusaritiwa. imani ni upuuzi.
 12. King_mwanamalundi

  Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

  hakunaga kitu kinaitwa free will, mimi sikupenda kuzaliwa mweusi tena Tanzania. Free Will iko wapi apo?
 13. King_mwanamalundi

  Serikali ya DRC yasema kundi la waasi wa FDLR-FOCA, limetekeleza mauaji ya Balozi wa Italia

  hata wakitambua watafanya nini? Mataifa mengi hasa ya Africa yana maraisi ambao hawakuchaguliwa na wananchi na hakuna kitu "wananchi" wanafanya. Uganda kwa mfano! "urais ni taasisi inayoteuliwa na mfumo sisi ni wawakilishi tu na kwenye maamuzi hatumo" Roma mkatoriki.
 14. King_mwanamalundi

  Serikali ya DRC yasema kundi la waasi wa FDLR-FOCA, limetekeleza mauaji ya Balozi wa Italia

  DRC ni taifa jina. Rais wao tu anateuliwa toka Kigali. Utaita taifa nalo hilo?
 15. King_mwanamalundi

  Serikali ya DRC yasema kundi la waasi wa FDLR-FOCA, limetekeleza mauaji ya Balozi wa Italia

  Rwanda ni kinchi tu chenye ukubwa wa mikoa miwili ya Tanzania, ukiona wanajeuri ya kufanya ivo jua ni agent tu wa wakubwa. na hao wakubwa ndo wanaofanya "majirani" tuogope kuingilia ugomvi.
 16. King_mwanamalundi

  Serikali ya DRC yasema kundi la waasi wa FDLR-FOCA, limetekeleza mauaji ya Balozi wa Italia

  ni mimi! acha kudanganyika na porojo za kitoto. waasi wadumu zaidi ya miaka 25 bila kumshambulia adui yao ni waasi gani hao. Hujiulizi? Congo mbona wanamjua na huwa wanamtaja mhusika.
 17. King_mwanamalundi

  Serikali ya DRC yasema kundi la waasi wa FDLR-FOCA, limetekeleza mauaji ya Balozi wa Italia

  Maigizo yao ya uasi yanaiingizia pesa ndefu Rwanda, ni kitega uchumi kikuu cha Rwanda wataondokaje kwa mfano!
Top Bottom