Nahitaji ufafanuzi mpana kwa jinsi magu anavyolibeba hili janga na akiendelea kutuhamasisha tuondoe hofu na tujifunze namna ya kuishi na ugonjwa wa huu corona!
Swali:
Kuna jinsi watu wanaweza kujifunza jinsi ya kuishi na ugonjwa wa mripuko zaidi ya kuudhibiti ukaisha??
Sent using Jamii Forums...
Acha upumbafu nifurahie kwa lipi... Hoja zenu n zakiwenda wazim... Tupeni taarifa sahihi hata kama n mmoja au hakuna kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ndege zilizonunuliwa tuliambiwa idadi yake?? Inshindikanaje kwenye coron na tutaipamaje serikali utendaji wake kama haitoi taarifa sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app