Search results

 1. mpiga domo

  Unpopular Opinion: JF Edition

  Habari Za Weekend Wakuu, Leo ni zamu ya Unpopular Opinion JF Edition Toa wazo lako lolote kuhusu maisha, mapenzi, kazi, biashara au JF ambalo unaliamin na kukubaliana nalo ila watu wengi hawakubaliani nalo au Jamii haikubaliani nalo Haya Twendeeeee
 2. mpiga domo

  Somo la Usaliti Clouds FM

  Habari Wakuu, Huyu Yuda anayeongelewa kipindi hichi Clouds FM sasa hivi ni nani. Huyu Yuda inasemekana walipanga jambo na wenzake ila akawasiliti. Somo la Pasaka hii ni Usaliti. Yuda huyu anayeongelewa kwenye hichi kipindi cha Clouds FM ni Yuda huyu wa kwenye biblia au ni mwingine? Kwasababu...
 3. mpiga domo

  Wanawake Wadangaji wamehamia Linkedin

  Habari za Jioni Wakuu, Naona kumekua na wimbi la wanawake wadangaji kwenye mtandao pendwa wa professionals kwa jina la Linkedin. Hawa wadangaji walianzia Badoo, wakaenda facebook ikachuja, wakaja JF, wakaenda insta sasa soko limekua gumu wameamua kufuata watu katika maeneo yao ya kazi. Huko...
 4. mpiga domo

  Asili na Chimbuko la Makabila Yote Tanzania na Africa

  Heri ya Mwaka Mpya Great Thinkers, Leo nimeamua kuja na huu uzi mahususi kwasababu ni mwisho wa mwaka na wengi wetu tunapenda kurudi makwetu. Wapare na Wachaga wataenda kwao Kilimanjaro, Wameru, Wambulu na Wamasai wataenda kwao Manyara na Arusha. Wasukuma, Wahaya na Wanyamwezi wataenda kwao...
 5. mpiga domo

  Njia za Kufuta Madeni 2018 na Kupata Financial Freedom

  Habari wakuu, Hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza kuzifuata ili uondokane na madeni mwaka 2018. Madeni ni chanzo cha umaskini na kuua biashara za vijana wengi. Pia athari kama magonjwa ya moyo, msongo wa mawazo n. k 1. Andaa list ya madeni yako yooteeee. 2. Orodhesha na yatenge katika...
 6. mpiga domo

  INAUZWA Iphone 6s with 64GB for Sale

  Iphone 6s for sale
 7. mpiga domo

  Ukweli Mchungu: Chadema Bado Haiko Tayari Kupewa Dola

  Habari Wakuu, Kwa maoni yangu ambayo nimejitahidi nisiwe biased and subjective as much as possible nimekuja kufikia hitimisho kwamba Chadema kimfumo, kichama, kiuongozi na kitaasisi hawako tayari kupewa dhamana ya kuongoza nchi ama kushika dola. In simple language Chadema is still at its very...
 8. mpiga domo

  One Plus 5 is Hereee, a Deal Breaker?

  Habari wakuu, Nilikua naangalia live launch of One Plus 5 ambayo imefanyika mda mchache uliopita nchini China. And kwa nilichokiona hii ndo inaweza kuwa simu bora kwangu kwa mwaka huu kutokana na vitu vikuu vitatu. 1. Affordability-Bei yake itakua inaanzia Euro 479 2. Specs-nitaleta list...
 9. mpiga domo

  Trump aonekana kumsukuma Rais wa Montenegro

  Katika mkutano uliofanyika hapo jana wa Nato, Trump alionekana kumsukuma Raisi wa Montenegro ili apate nafasi nzuri yeye ya kupiga picha. Na hakuomba msamaha wala kujutia kitendo hicho. Nilichojifunza kutokana na tukio la jana ni kwamba, "Money can't buy class" Video hii hapa Link ya hiyo...
 10. mpiga domo

  Inakuwaje Syria, Somali, Iraq, Congo zinatuzidi kwa Furaha

  Habari Wakuu, Leo kwenye gazeti la New York Times nimeona tumeshika tatu mkia kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha. Syria pia yupo juu yetu. Inakuwaje wakuu hadi North Korea wananchi wake wana furaha kuliko siye. Hadi Somali ambapo watu wanajitoa mhanga kila siku. Unaweza kuhisi...
 11. mpiga domo

  JBL Charger 3 For Sale

  Habari wakuu, Brand New Original JBL Charger 3 bluetooth portable speaker for sale@ TZS 500,000
 12. mpiga domo

  Kada wa Chadema

  Habari za Jumapili wakuu, Kuna mwenzetu humu ndani anajiita Kada wa Chadema. Lakini kwa uchunguzi mdogo nilioufanya ni kwamba anatumia jina la Kada wa Chadema ila hana mahusiano yoyote ya kiitikadi na Chadema. Ukitaka kulijua hili angalia post zake zote za nyuma ndo utagundua anatumia jina...
 13. mpiga domo

  Nchi zinazoongoza Kuangalia Video za Pilau za Mtandaoni

  Hi Wanabodi, Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli. Hii hapa jionee mwenyewe.
 14. mpiga domo

  Taarifa ya SSRA kuhusu Fao la Kujitoa

  Habari wanabodi, Hii ni taarifa ilipo kwenye website ya SSRA kuhusu fao la kujitoa.
 15. mpiga domo

  Neno Mungu anawaona...

  Habarini za mchana wakuu, Kumekua na wingi wa utajaji wa hili neno, "Mungu anawaona" pale inapotokea ukandamizaji wa haki au mambo yanapofanywa mrama na group flani. Kusema, "Mungu anawaona" inamaanisha hamna njia nyingine ya utatuzi wa tatizo na kwahiyo unamuachia Mungu atatue hilo tatizo...
 16. mpiga domo

  Je, Firauni (Pharaoh) alikuwa Mweusi au Mweupe?

  Habari za Jioni Wakuu, Naomba nitumie kiswahili na kiingereza ili kueleweka zaidi. Mimi naji'consider ni atheist nayeamini zaidi katika facts more than hearsay , ila kuna swali limekua likinitatiza na kunivunja moyo kuhusu science. Tafuta utafutavyo, Google uwezavyo lakini hutapata jibu...
 17. mpiga domo

  SSRA: Fao la Kujitoa lilishafutwa Tangu mwaka 2012

  Habari Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii nchini (SSRA) Bi Irene Isaka amesema marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 2012 yalikwishafuta vipengele vya kujitoa kwenye baadhi ya mifuko ya jamii. Amesema pia kuwa agizo la Bunge ilikuwa ni kuitaka...
 18. mpiga domo

  KAGERA: Watanzania 56 watekwa na kuuawa na askari wanaodhaniwa kuwa wa nchi jirani

  Habari wakuu, Kuna habari nimeona ITV sasa hivi kuwa kuna watanzania 56 maeneo ya Kagera wameuawa na wanajeshi wanaodhaniwa kutoka Rwanda. Ni kweli nachokiona au ni miujiza hii? Ndo huyu tunayemuita Rafiki wetu na tunataka tuite wataalamu wake wa IT au itakua ni watu wenye nia mbaya wanaotaka...
 19. mpiga domo

  Press Release TRA kuhusu VAT

  Habari za Asubuhi Wakuu, Taarifa kutoka TRA zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutoa ufafanuzi kuhusu VAT je ni za kweli? Mwenye taarifa za kweli atuambie. Bandiko lenyewe hili hapa.
 20. mpiga domo

  Tetesi: Wafanyabiashara Wakubwa Arusha kuhojiwa!!!!

  Habari wakuu, Kuna taarifa ambazo sina uhakika nazo nimezipata kutoka Arusha kwamba kuna wafanyabiashara wamechukuliwa kwa siri kuletwa huku Dar kwa mahojiano. Je kuna taarifa zozote za ukweli kuhusu hili mwenye nayo atujuze. Hizi taarifa nasikia zimetapakaa mkoani humo kwamba wafanyabiashara...
Top Bottom