Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending.
Jabali la muziki wa Africa almaaluf Diamond Platnumz amempa elimu ya bure Majizo umuhimu wa views na...
Mimi nakushauri achana na kusoma IT kama ada ni mgogoro jifunze skills unazoweza ingiza pesa haraka uku unapambania mambo mengine.
Soma Graphic design, copywriting, videography & photography unaweza soma mwenyewe hata online. Ukiwa na hizi skills ni wewe tu sasa uamue ulale njaa au uingize pesa.
Busara kwenye radio? kwa faida ya nani anamsema hivyo binti yake? Okay kasema binti yake kalaanika, amepata nini cha maana baada ya kusema hayo. Binti kimyaaa matokeo yake baba ataonekana mibange.
Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika.
Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...