Search results

 1. SINA JINA1

  Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

  Mwanakijiji ulipoleta bandiko lako kuhusu Dr. Slaa -Kwamba CDM ikae na Dr. Slaa ili kuridhia matakwa ya Dr. Slaa aliyoyaweka kuhusu kumpokea EL. Katika bandiko lile nilikueleza wazi kwamba wewe na genge lako huna nafasi ya ushawishi tena kwenye mbio za MABADILIKO. Tafuta njia nyingine ya...
 2. SINA JINA1

  Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

  Nachofahamu ni kwamba wananchi wamechoshwa na utawala mbovu wa ccm , so wanataka ccm iondoke madarakani. Mifano hai ipo kwenye majimbo ya ccm mwaka 2005,2010 ambayo watu walichoka na wagombea wakapigia upinzani bila kujali ni nani. Kama kuna anayefikiri ana ushawishi zaidi ya wananchi wenyewe...
 3. SINA JINA1

  Upepo wageuka tena, Juma Duni Haji kuwa Mgombea Mwenza wa Lowassa

  Ninachojua MasterMind wa michezo yote ni EL mwenyewe, Hata kipindi EL anarudi nyuma kumpisha JK Rostam aligoma ili kwasababu EL ndiye MasterMind -Alikubali. Inawezekana ni mbinu mbadala kwa EL kumwadaa Magufuli . Ila kwa upande mwingine wa shilingi inawezekana.
 4. SINA JINA1

  Profile ya Dr Slaa

  Nimependa sana mtiririko wa makala yako.
 5. SINA JINA1

  Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

  Pongezi sana mkuu mwanakijiji kwa bandiko lililojaa uchambuzi makini. Huwa kuna maswali mengi sana najiuliza kwanini Mwanakijiji umekuwa na mtazamo chanya kwa Dr.Slaa zaidi ya CDM? Haya ni mambo ambayo najiuliza sana bila kupata majibu-Napata na mashaka kuwa jitihada zako za kuwa...
 6. SINA JINA1

  Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

  Subutu yao!. Kama hawajui nguvu ya mwenyekiti kwenye vyama vyetu wakawaulize 'afulila,Zitto na Hamad Rashid...watakuwa wamejifukuzisha uaanachama wenyewe
 7. SINA JINA1

  Dr. Slaa: Natishwa

  Wamewezwa kweli.Kutwa nzima humu ni Slaa, EL -Kahama ,anatishwa , haridhiki....haa haa haa
 8. SINA JINA1

  Mafuta yashuka bei

  Washushe tu, kura kwa EL
 9. SINA JINA1

  Has Dr. Slaa quit politics?

  He has came out, just go through https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/897834-dr-slaa-uongo-ni-dhambi-na-siko-tayari-kuishiriki.html
 10. SINA JINA1

  Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

  Unahisi nini muda huu ambapo wale walikuwa wanakutusi kwa matusi yote mpaka ya nguoni na kukushambulia kwa kila namna ndio wamegeuka kuwa wafuasi wako!?. Naamini kabisa kuna mahala umeteleza japokuwa kuwa na msimamo tofauti na wenzako si dhambi. Naamini kabisa kwenye hili si kutofautiana...
 11. SINA JINA1

  Rais Kikwete ni kweli umepewa Rushwa na TANECU?

  Hongera sana Mwandishi kwa bandiko lako refu; Pia nakupongeza kwa wewe kuwa mkazi wa Mtwara kwani uliyoyaandika yanajionyesha wazi kuwa wewe ni mwana Mtwara. Kabla sijaanza kuchambua ulichokileta humu jamvini ningependa usome uzi huu...
 12. SINA JINA1

  Waziri wa Nishati na Madini afanyiwa maombi ya nguvu ofisini kwake leo

  Ngoja tuone kama maombi yatasaidia , maana jamaa ni mropokaji utafikiri anaimba mipasho.
 13. SINA JINA1

  Sijaridhishwa na Namna Waandishi wa Global walivyomhoji Binti aliyedai amebakwa!!!

  mimi pia nilishawahi kufungwa nikiwa darasa la tatu, so jifunze kujenga hoja na kujadili kwa umakini zaidi.
 14. SINA JINA1

  Posho Bungeni: Zitto, Lema katika vita ya maneno

  Hapo zitto anapomuuliza Msando wala sishangai, kwa faida ya wanajamvi ni kwamba kipindi Lema amenyang´anywa ubunge kule Arusha Msando alikaririwa na watu wake wa karibu kuwa atagombea jimbo lile kwa kuwa Lema hangeruhusiwa kugombea tena . Huyu ni weakili ambapo alitakiwa kuonyesha ushirikiano...
 15. SINA JINA1

  Obama: "Americnas are exceptional" VS Putin: “God created us equal"

  Ila naona marekani wanafikia mwisho wa ubabe wao .Ingekuwa enzi zile wasingekaa mezani na Russia ,wangemtandika Syria
 16. SINA JINA1

  Katibu Mkuu (Sophia Kaduma) Arubuniwa Na Mh. George Mkuchika Dhidi ya TANECU Ltd

  Hujasoma vyema kilichoandikwa hapo juu ,huyo mama ni Boss wa mrajis ila hapo tunazungumzia sheria . Sheria hamtaji Katibu Mkuu inamtaja Registrar ambaye anateuliwa na Raisi tofauti na wakurugenzi wengine wa Idara ,hapa ni kwamba unachotaka kutuaminisha kuwa Katibu mkuu wizara ya fedha anaweza...
 17. SINA JINA1

  Katibu Mkuu (Sophia Kaduma) Arubuniwa Na Mh. George Mkuchika Dhidi ya TANECU Ltd

  Halafu cha kushangaza anawasemea wanaushirika ili hali yeye si mshirika . Taarifa zilizopo wilayani kwake newala Hawataki kumsikia hata kidogo .Anatapatapa kwenye korido za wizara ya kilimo bila mafanikio
Top Bottom